Top Tweets for #Hamadai
The Story Behind #NARUDI ๐
Nikiwa Nimeshaandika Na Kurekodi Ngoma Almost 10 Kwenye Album Yangu, Producer #Sampamba Alinitumia Hii Beat Nikaipenda Sana.
Akili Yangu Ilikuwa Imeshachoka Kuandika Na Kurekodi, Ndio Nikaituma Hii Beat Kwa Mwanangu #Hamadai Moja Ya Msanii Namkubali Sana Uandishi Wake Na Hasa Melody๐ฅ
Nikamwambia Hama Anzisha Wewe Hii Project Tafuta Idea Tia Verse Ua Na Chorus Then Nitumie Ukimaliza, Mimi Nitakufata Wewe Ulichoanzisha Kukiimbaโฆ.We Niachie Tu 16Bars Za Verse Ya Pili!!
Masaa Machache Mbele Hamadai Akatuma Project Ikiwa Na Huo Mverse Wake Wa Kwanza Na Chorusโฆ๐๐๐ Nilipenda Sana Idea Yake Namimi Fasta Nikachora 16 Zangu Nikarekodiโฆโฆ
FINALY TUKAPATA HUU MUWA, Alitaka Tuuite NAKUPENDA Nikakataa Coz Nyimbo Za NAKUPENDA Zipo Shazi, Tuuite NARUDIโฆ.Na Producer #Sampamba Akaupitisha!!
Wimbo Huu Ni Maalumu Kwako Shabiki Yangu Tumia Wimbo Huu Kumuimbia Mpenzi Wako Pale Unapommiss Na Unaporudi Nyumbani Kutoka Safarini/Kazini Au Kwenye Mihangaiko!!
LINK ๐๐ป
https://t.co/w3toaQsF4X
#5Selekt: Msanii wa muziki Dozen amesema alishawai ibiwa wimbo wake na msanii #Hamadai na kuahidiwa kupewa hela lakini hakulipwa na wimbo ukatoka na #Hamadai kwenye Interviews akiulizwa anasema nyimbo kaandika yeye mwenyewe.
#5Selekt #HainaKuchoka #EastAfricaRadio
Miongoni mwa vitu vichache ambavyo ni nadra kutokea ni pale msanii anapoweka wazi kuwa wimbo wake fulani uliandikwa na mtu fulani...msikilize hapa @Phina__tz akimpa maua yake mwandishi wa 'hit sing' ya 'Upo Nyonyo' #Hamadai ambaye pia ni msanii wa #BongoFleva
#AlasiriLounge #UTV108

Essentials Playlists for @Micky_Singer @_Kusah_ #Hamadai @gigymoney1 on @audiomackafrica @audiomack check em out


Leo kwenye #Mtaa107 tutakuwa na msanii wa #BongoFleva #Hamdai ambaye tutapiga naye stori kibao kuhusu muziki wake na mambo mengine mengi.
Unaweza kuuliza maswali hapa ambayo ungependa kumsikia #Hamadai ayajibu.
Ungana na #DJBike kuanzia saa 8:00 mchana kupitia 107.3 pekee.

New Video by #Hamadai Feat @OfficialAliKiba Niamini Link https://t.co/32lVZ7ueTC | Supported by @SlideDigitalTZ
Mziki wa ๐น๐ฟ (Bongo Flava) umepenetrate #ZAMBIA. Nimekua mahala for about 2hrs and all that time playlist ni from Bongo Land... I could here more of @diamondplatnumz , @harmonize_tz , @OfficialAliKiba , The African boy himself (#JumaJux), na #Hamadai.. this market is potential.

Studio na #Hamadai tunamalizia kuandaa wimbo. Mashairi na melody vipo tayari kilichobaki ni kushambuliwa.
La carrera de la tanzana #Zee_Cute parece despegar con este tema junto a #Hamadai, que responde "nakuja" (voy, en swahili) a su llamada @Angeles_Jurado @61chema @joantp @ArtAfricanUVa @MujeresxAfrica @Iremescudero @slunacom @Culturafricana @elenagomezdiaz
https://t.co/8TElBJVpIk
Last Seen Hashtags on Sotwe
srchafreen
Seen from Algeria
cornudo suegro
Seen from Mexico
torii
Seen from United States
actress ai sex
Seen from Turkey
้ธกๅทดๅฅๅญ
Seen from United States
transmature
Seen from United Kingdom
snapme
Seen from Germany
tรผrkliseliifลa
Seen from Oman
brosis()**************** + filter:native_video
Seen from United States
minichatt ()()()()()()****************** + filter:native_video
Seen from Japan
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

















