Top Tweets for #INATOSHA
@SimbaSCTanzania Kama tetesi zilivyo bora GSM na Silent Ocean au DP World wachukue Club wana Msimbazi wapate furaha @moodewji wimbo wa Mangungu umefika mwisho, NYOTE ondokeni kwa heshima yenu. Poromoko letu na mafanikio ya Yanga ayavumiliki kama wewe ni Simba SC damu damu. #Inatosha
@MariaSTsehai @mangekimambi Pamoja na kuibiwa rasilimali zetu huku wanatuacha masikini wa kutupwa......
.... BARABARA WANAZOPITISHA HAYA MALORI ZIMEHARIBIKA NA ZINAENDELEA KUWA MBOVU ZAIDI KILA SIKU๐ญ๐ญ.
Safari ya masaa 2 sasahivi inachukua masaa 4 ili ufike uendako.
#INATOSHA
#NoReformsNoElection

"Hata kama penzi maji masafi niacheni nayanawa" moja ya mistari unayopatikana kwenye ngoma ya #Inatosha yake @marioo_tz yenye jumla miaka 5 tangu itoke rasmi
Nini mawazo yako #Marioo alimaanisha nini hapa?
โ๏ธ @mkogoty
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
@Iamcrispin2 Habari RapCaviar, Karibu SelcomPesa! ๐ Tunafurahi kuwa nawe ndani. Jitayarishe na miamala kwa urahisi kiganjani mwako. #SelcomPesa #Inatosha
@MariaSTsehai Shangazi @MariaSTsehai wasikusumbue kichwa hao,sisi vijana tumeshapoteza Imani nao,ko wasitegemee mwakani kuungwa mkono au kuwa nao kwenye maandamano yoyote yakupigania matumbo yao, ishakua mbwai kila mtu afe kivyake, tumechoka kutumika kama madaraja #Inatosha
@JabirSaleh @chapo255 @prince_coutureT Kofia Hip hop Mavazi ya kipedeshee ndama ๐.
Umejaa mule mule kwa Fid Q usoni nioneni bishoo lkn moyoni hardcore . Mbaba si walishaomba poo lkn ๐๐
#inatosha
At what point is enough, enough?
Harmonize once said๐ถ. I swear to my dead body simwamini rafiki anekulipia kodi pengine anafurahi kumpigia hodi ๐ถ#INATOSHA ft Abby chams ๐ฅ
Natetea unyanyasi wa kijinsia kwa pande zote mbili wanaume na wanawake.
#INATOSHA wanawake mkiolewa toeni unyumba hii mnapata dhambi hata kwa Mwenyezi Mungu.

Eeeenh Mwenyezi Mungu tunajilinda kwako sisi wanawake na shari za tunaowajua na tusiowajua. ๐คฒ๐พ
Ukatili dhidi wa wanawake sasa #INATOSHA โ๐ฟ

Angemposti tu hata kama ni ile ataona peke yake maskini! ๐๐๐
๐ถ #Inatosha; @iamlavalava
๐ฝ๏ธ Hisani
#OngeaUsikike
Njooni na Hapa mseme tusubiri na story ya upande wa pili. Ukatili dhidi ya watoto HAUKUBALIKI, huyu tumuite ni Mwanaume wa aina gani?!
#INATOSHA wanaume ongeni nyie kama nyie mkanyane hizi tabia sio sawa.
Leo umemtwanga Mama kesho umemuingilia Mtoto ukatili sasa basi.

๐
๐พโโ๏ธUbakaji
๐
๐พโโ๏ธUkeketaji
๐
๐พโโ๏ธMimba za Utotoni
๐
๐พโโ๏ธNdoa za Utotoni
๐
๐พโโ๏ธUpigaji
Watetezi wa @GlobalGoalsUN nchini #Tanzania waungana na @UNFPA katika #16Days za kupinga ukatili dhidi ya wanawake, wasichana na watoto kwa kusema #INATOSHA. https://t.co/W3qRSuYzw4 v @UNFPATanzania
Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia Vimekuwa vikishamiri katika jamii yetu na waathirika wakubwa wakiwa ni WANAWAKE, WASICHANA na WATOTO.
#INATOSHA #16DaysofActivism
@UNFPATanzania
@umojawamataifa
@unitednations_tz @maendeleoyajamii
@WiLDAFTz
@HalimaKopwe_
@ms_bendera

The Solidarity message from #UN ๐บ๐ณ SDGs Champions (Celebrities & Influencers) on 16 Days of Activism
Agenda 2030 #EndGBV & Harmful practices #FGM #ChildMarriage
Sema Hapana #INATOSHA ๐๐ผ
Rights & choices for all
#UNTZ
#16DaysOfActivism
Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia Vimekuwa vikishamiri katika jamii yetu na waathirika wakubwa wakiwa ni WANAWAKE, WASICHANA na WATOTO. #INATOSHA Tunapaswa kuwa na Jamii yenye Ustawi Kwakuzingatia Haki za Binadamu #Agenda2030 #MalengoYaDunia
Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia Vimekuwa vikishamiri katika jamii yetu na waathirika wakubwa wakiwa ni WANAWAKE, WASICHANA na WATOTO. #INATOSHA
#16DaysofActivism
@UNFPATanzania @umojawamataifa @unitednations_tz @maendeleoyajamii @wildaftz @mutrah1 @mamybabytz @halimakopwe
Last Seen Hashtags on Sotwe
dogknotting
Seen from Turkey
tรผrbanlฤฑ
Seen from Spain
wasmo somali
Seen from Kenya
omegle
Seen from Canada
escortgirlsparis
Seen from United States
momson filter:videos
Seen from United States
RCLRCSC
Seen from Colombia
teenager
Seen from United States
เธญเธธเธเธฃเธเธดเธเธเนเธฃเธฑเธเธเธฒเธ
Seen from Thailand
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers



















