Top Tweets for #Igunga
Wananchi waliwadhibiti vijana waliotaka kufanya vurugu kisha wakarudi kuendelea na mkutano.
Asante #Igunga
Makamu Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn akihutubia mkutano wa Igunga asubuhi ya leo tarehe 10 Juni 2025.

#IGUNGA WASEMAVYO WALIPAKODI WILAYA YA IGUNGA BAADA YA KUPEWA ELIMU YA KODI MLANGO KWA MLANGO 06 MEI, 2025.
#IGUNGA Maafisa wa TRA, leo 06 Mei, 2025 wameendelea na zoezi la utoaji elimu ya kodi mlango kwa mlango kwa Wafanyabiashara wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora ikiwa ni mwendelezo wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero za Wafanyabiashara.

#IGUNGA Maafisa wa TRA, leo 06 Mei, 2025 wameendelea na zoezi la utoaji elimu ya kodi mlango kwa mlango kwa Wafanyabiashara wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora ikiwa ni mwendelezo wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero za Wafanyabiashara.

#IGUNGA Maafisa wa TRA leo 05 Mei, 2025 wametoa elimu ya kodi mlango kwa mlango kwa Wafanyabiashara wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora ikiwa ni mwendelezo wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi ya mlango kwa mlango yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero za Wafanyabiashara.

#IGUNGA TRA leo 05 Mei, 2025 imeanza Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi ya mlango kwa mlango kwa Wafanyabiashara wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora. Katika kampeni hiyo, Maafisa hao walipata fursa ya kuzungumza na Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Mhe. Sauda Mtondoo kuhusu masuala ya kodi.

The government of Tanzania aims to produce 100,000 tons of cotton from the Igunga District in the Tabora region in the mid-western part of the country.
https://t.co/qOVEI4QFWk
@WizaraKilimo #Igunga #cotton @HusseinBashe


@434_engineer @iamcleopatricia Sawa na shilole anayongeaga yote mtandaoni hayana ukweli wowote njoo kwetu #IGUNGA wazawa tukupe ukweli mtupuππ
Mzee Hamisi Rabii ni mfano wa wazee imara kabisa na wachapa kazi. Licha ya umri wake, lakini ana imani kubwa ya mageuzi. Alinikumbusha kwamba mwaka 2012 tulikuwa pamoja #Igunga kwenye uchaguzi mdogo. Anafanya kazi kubwa #Singida.
#TheFutureIsPurple
#TheFutureIsACTWazalendo


TABORA: Mahakama ya Wilaya ya #Igunga, imemtia hatiani Leonence Manyila Doto, Mtendaji wa Kata ya #Lugubu kwa kosa la kughushi muhtasari na kuhamisha Tsh. 7,600,000 kutoka kwenye akaunti ya Kata na kuingiza kwenye akaunti ya fundi badala ya kulipa Tsh. 600,000
Mshtakiwa amehukumiwa kwenda jela Miaka 2 au kulipa faini ya Tsh. 1,400,000
Soma https://t.co/cfifR5EzC2
#KemeaRushwa

Last Seen Hashtags on Sotwe
ama2000
minichat
Seen from India
SantaMariaCollege
Seen from United States
XperienceBarcelona
Seen from United States
smno
Seen from United States
smno ()()()()()()() filter:native_video
Seen from United States
SHAPER
Seen from United States
pakistani #aunty
Seen from United Kingdom
Klassekampen
Seen from United States
nolimit() +filter:native_video rape
Seen from India
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




























