Top Tweets for #JKCI
Pleased to see #Xiamen Cardiovascular Hospital, Xiamen University, sign a letter of intent for cooperation with the Jakaya Kikwete Cardiac Institute (#JKCI) in Tanzania, paving the way for practical collaboration in areas such as professional training, clinical technical exchanges, academic research and medical innovation.

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (#JKCI), Juni 12, 2026 sambamba na uzinduzi wa miradi; Kitabu cha mwongozo wa upandikizaji wa moyo pamoja na jengo la vipimo na utawala.
Nawe Mwananchi unaweza kuungana na Wadau wengine Duniani kutoa hoja yako na kushiriki kwenye mijadala mbalimbali kupitia https://t.co/dDd21Ugmlv, tembelea tovuti hiyo, jisajili kisha anza kutumia.
Fuatilia zaidi https://t.co/WHrvtveF4h
#JamiiForums #JFAfya #PublicHealth #Uwajibikaji
Dr. Peter Richard Kisenge ametangaza kwa heshima na moyo wa shukrani utoaji wa huduma za afya bila malipo kwa wahitimu wa Programu ya Mwanamke Kiongozi Kundi la 11, kama ishara ya kuthamini mchango wao na kuunga mkono ustawi wao wa kiafya.
#Cohort11CSR | #FemaleFutureTz | #JKCI

DAR: Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv anadai baadhi ya Wahudumu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (#JKCI) upande wa V.I.P hawana mawasiliano mazuri na Wagonjwa wao, pia wanapoulizwa wanakuwa wakali na kutotoa majibu ambayo si mazuri na wanatoa huduma kwa kujuana
Akijibu hoja, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa JKCI, Anna Nkinda anasema “Huduma ya V.I.P ni nzuri na wastani tunaona Wagonjwa 40 kwa siku, hata Wagonjwa wa Idara nyingine wote wanapewa vipaumbele, hawatoi huduma kwa kujuana.”
Soma https://t.co/ZIF3OP2KEb
#JamiiForums #PublicHealth #Accountability #Governance #ServiceDelivery

“Honored to attend the 7th Pediatric Echocardiography Course at JKCI - MNH! Excited to enhance my skills in echocardiography and improve care for children. Grateful to the team for sharing their expertise! #PediatricCardiology #Echocardiography #jkci

AFYA: Taasisi ya Moyo Jakaya kikwete (JKCI) imesema Magonjwa ya Moyo ni miongoni mwa Magonjwa ambayo yamekuwa yakisababisha vifo vingi nchini hususani vya ghafla
Akizungumza kuhusu maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani, Septemba 29, Mkurugenzi Mtendaji wa #JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema "Duniani kote karibia Watu Milioni 17 wanapoteza maisha (kila mwaka) kwa sababu ya Magonjwa ya Moyo, mfano kwa Nchi yetu tatizo la Moyo limefikia 13%."
Naye, Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto kutoka JKCI, Dkt. Sulende Kubhoja amesema Watoto chini ya Miaka 18 wengi huugua magonjwa hayo tangu kuzaliwa kwao, tofauti na Watu wazima ambao sababu ni mtindo wa maisha
Soma https://t.co/Tzhs9wciU7
#PublicHealth #JFAfya #WorldHeartDay #JamiiForums

TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji mahiri Nchini, Gardner G. Habash maarufu 'Captain' amefariki Dunia, leo Aprili 20, 2024
Hadi umauti unamkuta #Gardner alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (#JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na changamoto ya Shinikizo la Damu
Kabla ya Kifo, Gadner alijipatia umaarufu kutokana aina ya utangazaji wake wa ucheshi kupitia vipindi vya jioni ambapo alianzia katika Kituo cha Redio cha Clouds FM baadaye Times FM, E-FM na kisha kurejea Clouds FM
Soma https://t.co/0eISCVbQV1
#JamiiForums #RIPGardner #JFMatukio

It was an honor to be invited faculty at the first Cardiology Tanzania conference in Zanzibar organized by JKCI. Also did complex procedures with Dr. Gandye as part of Madaktari mission. #cardiotan #jkci #madaktari @drdavidsingh @malbag1 @StanfordMed

Utafiti mpya wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (#JKCI) uliochapishwa Oktoba 17, 2023 katika Jarida la Kisayansi la Kimataifa la Sage, umeonesha Wagonjwa wa Moyo waliowekewa Betri ya Moyo (#Pacemaker) wamepata hatari ya kukumbwa na changamoto ya Akili
Utafiti huo ulihusisha Wagonjwa 6 waliofanyiwa vipimo vya mtambo mkubwa uitwao #CathLab
Mkuu wa Idara ya Utafiti wa #JKCI, Dkt. Pedro Pallangyo, amesema “Waliofanyiwa utafiti wote walipata changamoto ya #AfyaYaAkili, mfano mwingine ni hivi karibuni mgonjwa aliyewekewa Betri ya Moyo alijirusha kutoka ghorofani na kufariki.”
Soma https://t.co/Lk2SvbtmEZ
#Afya #PublicHealth #JamiiForums #MentalHealth #JFAfyaAkili

Ungana na @malickmansoortz, @kissadaniel2 na @exaudwamtei muda huu ndani ya Supa Breakfast ya #EastAfricaRadio
#NguvuZaKiume #JKCI #Hospital #Muhimbili
Interesting study
Consumption of Energy drinks and Myocardial infarction a study from #JKCI The Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)
https://t.co/Y7f8ejEiWg
DAR: TAASISI YA JAKAYA KIKWETE YAKANUSHA KUISHIWA VIFAA VYA KUREKEBISHA MAPIGO YA MOYO (PACEMAKER)
Mdau wa https://t.co/OgiXhqmXJu amedai Taasisi ya #JKCI imeishiwa vifaa hivyo na kuna Wagonjwa wamepoteza Maisha kwa kukosa #Pacemaker
Soma https://t.co/xBkbyzHVrL
#JFHuduma

#VGE in Comoros
#MedicalTourismTZ
#JKCI @TaasisiMoyoJKCI
✅ International Medical Tourism
✅ Education Programs
✅ Swahili Language Course @bakita_tz
JANUARY 1, 2023 #TANZANIA's plan to become a #medicaltourismhub is becoming a reality after the government's grand move to expand the Jakaya Kikwete Cardiovascular Institute (#JKCI) to its 50,000 square metre of land at Mloganzila near Dar es Salaam
https://t.co/PbfcYCf4e5

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat(())*************************************************************
Seen from Philippines
รับงานสุขสวัสดิ์
Seen from Thailand
cute boy
abusekink
Seen from United States
omegle
Seen from Turkey
นัดเย็ดหนองคาย
Seen from Thailand
taboo()***********************
Seen from United States
brosis (*) video
Seen from Switzerland
LadyPays
Seen from Mexico
败北
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers





























