Top Tweets for #JaMuMi


Jamhuri Ya Muungano wa Midosho #JaMuMi


Wanangu mnaokujaga kunisagia Kunguni....nawasalimia kwa jina la Jamhuri Ya Muungano wa Midosho #JaMuMi.....
Mnani inspire sana mjue....


Hello team MIDOSHO.
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Midosho #JaMuMi.
#MidoshoInaathiriUchumiWako
Ndio muelewe kwanini genuine brands bei zake zimechangamka!!
Mtu unamwambia Jeans 👖 150,000/- anatamani aibamize simu sakafuni.
Mnanisoma nyie wa Jamhuri ya Muungano wa Midosho #JaMuMi ?


Nimecheka sana.... kifupi hiii #JaMuMi inakwenda next level halafu sasa @hamzaalbhanj anavaa mikato ya #JustFit 😂😂😂😂

DEAL DONE: Club ya @azamfc imekamilisha usajili wa striker hatari kutoka Jamhuri ya Muungano wa Midosho (JAMUMI) striker hilo limesainishwa leo na CEO wa @azamfc bwana @AbdukarimAmin na kukabidhiwa jezi ya Prince Dube

Jamhuri ya Muungano wa Midosho #JaMuMi.
Nyie jamaa mnaweza kubadili mtazamo wa Dunia Khaaaaaaa.
😂😂😂😂😂.
Ndo nini hiii?

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Midosho #JaMuMi alitutembelea kwenye tent letu la #StreetSoul na kujifunza mambo kadhaa kuhusu Original Brands....na namna ya kuzitambua....
Shukran sana Learned brother @hamzaalbhanj

Brother @masoudkipanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Midosho #JaMuMi amentumia meseji anawashukuru kwa kuwatambua...Mwisho anaulizia sizes GANI anavaa Dada Barbra ???
Hii #PAMU anayoipenda wataleta kwake😂😂😂😂

"Mh mgeni rasmi.....kama tulivyosema hapo awali tunaomba na sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Midosho #JaMuMi bidhaa zetu zipunguziwe 18% ya Kodi"

user experience vs. design .
Powered by #JaMuMi

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers












