Top Tweets for #JamiiTalks
Dkt. Shakilu: Saratani ya Damu inafanana kwa dalili na Malaria kwahiyo Mgonjwa hutibiwa Malaria kutokana na kushindwa kupima Saratani zilizopo
Kwa sababu hiyo wanapofariki huandikwa kama wamefariki kwa Malaria, lakini inakuwa ni Saratani iliyosababisha kifo
#JamiiTalks #Cancer
Dkt. Shakilu: Pia kuna aina fulani za Saratani huwashambulia Watu kutokana na asili yao ya Ngozi
Kwa takwimu za Marekani, #Leukemia huwashambua Watoto wengi wenye Ngozi nyeupe (Wazungu) kuliko wenye Ngozi nyeusi (asili ya Kiafrika)
#Cancer #Saratani #JamiiTalks
Dkt. Shakilu: Kuna aina za Saratani ambazo Watoto wanaweza kurithi hujionesha mapema sana, mara nyingi ni mwaka wa kwanza
Saratani ya kurithi sanasana ni Saratani ya Jicho
#JamiiTalks #Saratani #Cancer
Dkt. Maryam: Ukiniuliza chanjo ipi ni bora, mimi nitasema ni chanjo yoyote ambayo ipo mbele yako kwasababu Chanjo hizi zote tulizoletewa ni bora
Kama unapata fursa ya kuchanja ni bora kuitumia kuchanja na sio kusubiri chanjo fulani
#UVIKO3 #JamiiTalks
Dkt. Elisha Osati: Ni kweli unapopata ugonjwa mwili unatengeneza kinga
Lakini kwa tafiti ambazo zimeendelea kufanyika imeonekana ile kinga tunayopata baada ya ugonjwa haichukui muda mrefu
#JamiiTalks #UVIKO3
Dkt. Elisha Osati: Ni kweli mtu anaweza kuugua baada ya kupata Chanjo. Malengo mapana ya Chanjo sio tu usipate ugonjwa
Lazima Watu waelewe ukipata Chanjo unaweza kuumwa, ila ugonjwa wako utakuwa 'very mild'
#JamiiTalks #UVIKO3
Dkt. Francis: Kuwalazimisha Watu kupata Chanjo ni suala zuri, lakini kwa kuwa tuna Chanjo chache haitawezekana kwa kuwa hazitoshi
Ukiona juhudi zilizowahi kuwekwa kwenye Vitambulisho vya Wajasiriamali unaweza ukaona kuwa inawezekana kuwafikia Watu wote
#UVIKO3 #JamiiTalks
Neema Lugangira: Kwenye upotoshaji wa masuala ya #COVID19, kundi ambalo limeonekana moja kwa moja ni kundi ambalo hata mimi nimo
Wataalamu wa Afya mnayo kazi kuhakikisha hakuna jumbe tofauti kati yenu nyuma ya pazia. Lipo kundi ambalo halikubali chanjo
#JamiiTalks #UVIKO3
Mbunge @neemalugangira: Tusiwe na hofu kuhusu Chanjo zilizopo ku-expire. Hata Afrika Kusini batch kubwa ya kwanza ya Chanjo ili-expire
Tupo katika sensitive period ambayo Chanjo imetambulika. Kuna kundi kubwa lipo katikati halijafanya maamuzi
#JamiiTalks #UVIKO3
Dkt. Francis: Tulikosea kukosa mpango wa namna ya kutoa Chanjo kwa kudhani kwamba Rais akichanja basi watanzania watachanja
Lazima tuwe na kampeni ya kitaifa ya kuchanja kama tulivyokuwa na kampeni ya kitaifa ya COVID-19
#UVIKO3 #JamiiTalks
@OlengurumwaO: Huenda tusifikie lengo la uchanjaji. Mentality ya kwamba #Tanzania ni kisiwa na hatuwezi kuathiriwa ni kubwa sana
Tulikosea kuamini kama Rais amechanja Watanzania wengine nao watachanja. Hatuna coordinated campaign ya Watanzania kuchanjwa
#JamiiTalks #UVIKO3
Dkt. @ElishaOsati: Hizi dozi za kwanza zinaweza zisifike malengo zikaexpire. Tuliochanja tukijitokeza zaidi na kuwa Mabalozi Watu watachanja
Ukimbadilisha Mtu mmoja kwenye Familia, wengine nao wanabadilika
#JamiiTalks #UVIKO3
@drnamala: Watu wanaotoa taarifa za uongo ni vema Vyombo vya Habari viwafuate na wahojiwe ili kufahamu ni vigezo gani wanavyovisimamia
Kisha wanahabari wajibu zile hoja za wote wanaotoa taarifa za uongo. Lakini tukiacha waongee tu, tutawagawa Watu
#UVIKO3 #JamiiTalks
@OnesmoOle: Ukiangalia kwa mtazamo wa Haki za Binadamu haifai kulazimisha Watu kuchanja kwa sababu suala la Afya ni suala binafsi
Lakini inapokuja suala la COVID-19 ni tofauti kwa kuwa sio binafsi tena kwani Watu wanaumwa kwa kuambukizana. Sio kama Kisukari.
#UVIKO3 #JamiiTalks
@neemalugangira: Lipo kundi kubwa ambalo halijaamua kama linataka kuchanja au la, tunapaswa ku-focus kwenye kundi hilo
Political will ipo kubwa sana, lakini lazima tuunganishe effort zote (Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wasanii nk) tuweze kuongea lugha moja
#UVIKO3 #JamiiTalks
@Mbaraka_Islam: Sisi kama Vyombo vya Habari tuna wajibu mkubwa wa kusaidia jamii. Hili suala linahusu Maisha ya Watu
Tufike mahala tuchukulie hii kama vita kwasababu Watu wanakufa. Bahati mbaya tumeweka mzaha wakati Watu wanapotea huku tunawaona
#JamiiTalks #UVIKO3
Mbunge Viti Maalum @neemalugangira: Tunahitaji Wataalamu wetu wa Afya kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa sahihi.
Vituo vya Afya vipo ngazi zote. Wenye Nguvu ya Hisia na wenye Utaalamu washirikiane kwa pamoja kuhamasisha
#JamiiTalks #UVIKO3
Dkt. @aikande Kwayu: Ni muhimu kuwashirikisha Viongozi wa Dini kwa nguvu sana ili kuhakikisha Chanjo inaongelewa Misikitini au Kanisani
Suala la wasiwasi wa Chanjo sio kwa Tanzania tu ni Duniani kote
#JamiiTalks #UVIKO3
Dkt. @aikande Kwayu: Wananchi hawawezi kuona tupo 'serious' wakati kuna mikusanyiko mikubwa
Ile imani ya kwamba Ugonjwa upo, tukachanje ni lazima tuoneshe hatari ya Ugonjwa na tuoneshe tupo serious kupambana nao
#JamiiTalks #UVIKO3
Dkt. @ElishaOsati: Kila siku napokea Watu ambao wanataka niwahakikishie wakachanjwe. Sio kwamba hawataki ila wanataka uhakika
Tukiendelea kutoa Elimu itakuwa jambo zuri. Bahati mbaya hatutoi takwimu lakini tuna Wagonjwa wengi katika Wodi zetu
#JamiiTalks #UVIKO3
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
