Top Tweets for #JobDoYourJob
SPIKA NI MAVAZI TUU AU KUNA UNALOFICHA NYUMA YA PAZIA ?
#jobdoyourjob

#JobDoYourJob
Achana na mavazi ya wanawake.- Acha kuvunja katiba na kuweka wanawake 19 wasio na chama bungeni π€£π€£π€£
Nice try though!
#TutaelewanaTu ππ½

Safi @BawachaTaifa ! Naona wanatafuta laana akina Afande Muroto! Hebu oneni kweli akina mama hawa unaenda kuwapiga na kuwaumiza sababu gani? Kuandamana ni haki yao! Msiingilie huu mzozo π wao ishu yao ni na Ndugai
#JobDoYourJob ππ½ #NdugaiLindaKatiba
Nawakumbusha @BawachaTaifa mnachofanya kupinga uvunjaji wa katiba na Ndugai ni sahihi kwani #WenyeNchiWananchi
Ndugai hatawajibishwa na mtu mwingine bali sisi wananchi ππ½
#JobDoYourJob #NdugaiLindaKatiba

Ndugai anavunja Katiba makusudi kwasababu anajua kuwa anakinga ya kutoshitakiwa. #JobDoYourJob
#LindaKatiba
Nani amwajibishe Ndugai? Ni wazi mtu pekee aliyekuwa na influence naye ni Magufuli! Kwa mwenyekiti wa sasa wa CCM, ni wazi Ndugai haoni kama kuna wa kumwajibisha! Ndo maana aliwaambia wabunge 19 βmuwe na amani kabisaβ wakati ANAVUNJA KATIBA! Je #WenyeNchiWananchi?
#JobDoYourJob

Mh Lilian Kimei Katibu wa kamati ya uenezi kanda ya pwani (kimbunga kinaanzia pwani) #jobdoyourjob
Much love and power to @BawachaTaifa π
Jibu sahihi kabisa kwa Afande Muroto - ye siyo mwanasiasa! Awaache maana mna jambo lenu na Ndugai ππ
#JobDoYourJob #NdugaiLindaKatiba ππ½
Ndugai Msikilize Mwenyekiti wa Bavicha Dodoma hapa.. Chadema ina wanawake wapambanaji wengi wewe umebahatika kuwajua hao Covid 19 tu kwasababu Chama kilifanya uwajue..@AishaSMadoga
Ndugai #jobdoyourjob unaujumbe wako wako kutoka kwa Mh @AishaSMadoga aliyekuwa mgombea ubunge Dodoma mjini na mwenyekiti wa vijana mkoa wa Dodoma.

Tunakukumbusha Ndugai kuwa ib 71(1) (e) ya Katiba yetu iko CLEAR! Ubunge unakoma mbunge anapoacha kuwa mwanachama wa chama alichokuwamo wakati alipochaguliwa/teuliwa kuwa Mbunge! Hawa 19 si wabunge - utake usitake! Katiba ni sheria mama #LindaKatiba #JobDoYourJob #ChangeTanzania

Tunakukumbusha Ndugai kuwa ib 71(1) (e) ya Katiba yetu iko CLEAR! Ubunge unakoma mbunge anapoacha kuwa mwanachama wa chama alichokuwamo wakati alipochaguliwa/teuliwa kuwa Mbunge! Hawa 19 si wabunge - utake usitake! Katiba ni sheria mama #LindaKatiba #JobDoYourJob #ChangeTanzania

Narudia tena bila kwenda kukiwasha bungeni Spika atatuingiza kijiti jichoni ni lazima atuonyeshe katiba anayo itumia ni ipi na sisi tumuonyeshe tunasimamia katiba gani?... -- Askofu Bagonza #HekimaZaBagonza #ChangeTanzania #JobDoYourJob Y#LindaKatiba https://t.co/qUv3RtEHpY
Tamko la bavicha kwa spika ndugai
Last Seen Hashtags on Sotwe
tobrut
Seen from Malaysia
ε₯³ε
Seen from Japan
jcjackoff
Seen from Poland
hurryup2021
Seen from United States
minichat()*++filter:native_video
Seen from United States
SarahArabic
Seen from Turkey
ΓΌniversiteli
Seen from Turkey
minichat()()()()*+filter:videos
Seen from United States
Luxycapi
Seen from Algeria
Enloqueces
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers










