Top Tweets for #KAFIRI
Imamu al-Twahawi (aliyefariki mwaka 321 H) amesema:
❝Hatumhukumu yeyote miongoni mwa watu wa #Qiblah kuwa ni #kafiri kwa sababu ya dhambi, maadamu haioni kuwa dhambi hiyo ni #halali.❞
Nasema: Ni wangapi wanaohalalisha yale ambayo Allah ameyaharamisha?
Masufy; 🤔
_wanahalalisha bidaa ambayo ni haramu
_Wanahalalisha ushirikina
_Wanahalalisha mziki na nyimbo

HUKUMU YA MTU ANAYEIDHIHAKI DINI ILI #KUWACHEKESHA WATU!💦📚
Shaykh Ṣāliḥ al-Fawzān amesema:
“Hukumu yake ni kwamba yeye ni #kafiri, awe amefanya hivyo kwa #dhati, kwa #mzaha, au kwa lengo la #kuwachekesha watu. Hivyo, anakuwa #kafiri baada ya kuwa na imani. #Dini si jambo la kufanyiwa mzaha na dhihaka.”

ANAYEHUKUU KWA #SHERIA ZISIZOKUA ZA ALLAH SIO #KAFIRI MPAKA AKIRI SHERIA HIZO NI BORA KULIKO SHERIA ZA ALLAH📚💦
>>>Hivyo sio sawa kumuona au kumsema mama samia au viòngozi wengine ambao ni waislamu kwamba ni #MAKAFIRI
Imām Sulaymān bin ‘Abdullāh bin Muhammad bin ‘Abd al-Wahhāb رحمه الله amesema:
“ Ama yule anayeitambua [haki] moyoni mwake na kukiri hukumu ya Allah kwa ulimi wake, lakini akatenda kwa nje jambo linalokwenda kinyume nayo katika mambo ya matawi, basi huu ni ukafiri maalumu wa kivitendo ambao haumtoi mtu katika Dini.
Ṭāwūs alisema kuhusu ukafiri ambao haumtoi mtu katika Dini: ‘Haufanani na yule anayemkufuru Allah, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake.’
Na Sufyān al-Thawrī amepokea kutoka kwa Ibn Jurayj, kutoka kwa ‘Aṭā’ kwamba alisema kuhusu jambo hili: ‘Ni ukafiri ulio chini ya ukafiri, dhuluma iliyo chini ya dhuluma, na dhambi iliyo chini ya dhambi.’ Imepokewa na Ibn Jarīr.
Na Wakī‘ amepokea kutoka kwa Sa‘īd al-Makkī, kutoka kwa Ṭāwūs aliyesema: ‘Kuhukumu kwa yasiyokuwa yale ambayo Allah ameyateremsha si ukafiri unaomtoa mtu katika Dini, ikiwa ndani yake anakiri hukumu Yake na anaipenda.’
Na imepokewa kutoka kwa Ṭāwūs, kutoka kwa Ibn ‘Abbās aliyesema: ‘Huo si ukafiri mnaoufikiri.’ Al-Ḥākim ameipokea na kusema kwamba inakidhi masharti ya usahihi ya Masheikh wawili [al-Bukhārī na Muslim], ingawa wao hawakuirekodi.
Makhaوارij walielekea kwenye kuifanya hukumu hiyo kuwa ya jumla kwa kutegemea maana ya dhahiri ya Aya, wakidai kwamba yeyote anayehukumu kwa yasiyokuwa yale ambayo Allah ameyateremsha ni kafiri; na kwamba yeyote anayefanya dhambi amehukumu kwa yasiyokuwa yale ambayo Allah ameyateremsha, hivyo ni lazima awe kafiri.
Hata hivyo, ijmā‘ ya Ahl al-Sunnah wal-Jamā‘ah imeshikamana kwa uthabiti na kinyume cha msimamo wao. Aidha, sisi hatumtangazi mtu kuwa ni kafiri isipokuwa pale anapoacha kuhukumu kwa yale ambayo Allah ameyateremsha kuhusu Tawḥīd, bali akahukumu kwa kinyume chake, akafanya shirki, akawaunga mkono watu wake na kuwasaidia dhidi ya watu wa Tawḥīd; au akaacha kusimamisha nguzo za Dini kwa ukaidi au uasi baada ya kuitwa kuzitekeleza; au akakataa yale ambayo Mtume ﷺ aliyaleta kuhusu mambo mengine ya Dini na mambo ya imani ya ghaibu.”
Al-Tawḍīḥ ‘an Tawḥīd al-Khallāq fī Jawāb Ahl al-‘Irāq, uk. 142.📚
![abusumayyah_o's tweet photo. ANAYEHUKUU KWA #SHERIA ZISIZOKUA ZA ALLAH SIO #KAFIRI MPAKA AKIRI SHERIA HIZO NI BORA KULIKO SHERIA ZA ALLAH📚💦
>>>Hivyo sio sawa kumuona au kumsema mama samia au viòngozi wengine ambao ni waislamu kwamba ni #MAKAFIRI
Imām Sulaymān bin ‘Abdullāh bin Muhammad bin ‘Abd al-Wahhāb رحمه الله amesema:
“ Ama yule anayeitambua [haki] moyoni mwake na kukiri hukumu ya Allah kwa ulimi wake, lakini akatenda kwa nje jambo linalokwenda kinyume nayo katika mambo ya matawi, basi huu ni ukafiri maalumu wa kivitendo ambao haumtoi mtu katika Dini.
Ṭāwūs alisema kuhusu ukafiri ambao haumtoi mtu katika Dini: ‘Haufanani na yule anayemkufuru Allah, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake.’
Na Sufyān al-Thawrī amepokea kutoka kwa Ibn Jurayj, kutoka kwa ‘Aṭā’ kwamba alisema kuhusu jambo hili: ‘Ni ukafiri ulio chini ya ukafiri, dhuluma iliyo chini ya dhuluma, na dhambi iliyo chini ya dhambi.’ Imepokewa na Ibn Jarīr.
Na Wakī‘ amepokea kutoka kwa Sa‘īd al-Makkī, kutoka kwa Ṭāwūs aliyesema: ‘Kuhukumu kwa yasiyokuwa yale ambayo Allah ameyateremsha si ukafiri unaomtoa mtu katika Dini, ikiwa ndani yake anakiri hukumu Yake na anaipenda.’
Na imepokewa kutoka kwa Ṭāwūs, kutoka kwa Ibn ‘Abbās aliyesema: ‘Huo si ukafiri mnaoufikiri.’ Al-Ḥākim ameipokea na kusema kwamba inakidhi masharti ya usahihi ya Masheikh wawili [al-Bukhārī na Muslim], ingawa wao hawakuirekodi.
Makhaوارij walielekea kwenye kuifanya hukumu hiyo kuwa ya jumla kwa kutegemea maana ya dhahiri ya Aya, wakidai kwamba yeyote anayehukumu kwa yasiyokuwa yale ambayo Allah ameyateremsha ni kafiri; na kwamba yeyote anayefanya dhambi amehukumu kwa yasiyokuwa yale ambayo Allah ameyateremsha, hivyo ni lazima awe kafiri.
Hata hivyo, ijmā‘ ya Ahl al-Sunnah wal-Jamā‘ah imeshikamana kwa uthabiti na kinyume cha msimamo wao. Aidha, sisi hatumtangazi mtu kuwa ni kafiri isipokuwa pale anapoacha kuhukumu kwa yale ambayo Allah ameyateremsha kuhusu Tawḥīd, bali akahukumu kwa kinyume chake, akafanya shirki, akawaunga mkono watu wake na kuwasaidia dhidi ya watu wa Tawḥīd; au akaacha kusimamisha nguzo za Dini kwa ukaidi au uasi baada ya kuitwa kuzitekeleza; au akakataa yale ambayo Mtume ﷺ aliyaleta kuhusu mambo mengine ya Dini na mambo ya imani ya ghaibu.”
Al-Tawḍīḥ ‘an Tawḥīd al-Khallāq fī Jawāb Ahl al-‘Irāq, uk. 142.📚](https://pbs.twimg.com/media/HUAV_UdWEAAIxiP.jpg)
Eti mtu haezi kua kafiri kwa kutajwa na mwanadamu "wewe ni kafiri" 🤣
🫴bali anakua kafiri kwa matendo yake 🤣
SAWA: 👐
_kwahiyo akishakua #kafiri kwa metendo yake mwenyewe ndio tumwiteje sasa⁉️🤣🙈
_halafu mbona hata firauni alitamka shahada ila hakua muislam hebu tueleze ilikuaje bhana⁉️🙈
_hata wanafiki wa madina walitamka shahada ila hawakua waislamu..kwanini inakua hivi⁉️🙈
Je, inatosha kwa mtu kutamka shahada pekee kwa mdomo bila ya kuyakinisha kwa moyo na kwa vitendo⁉️🤔🤔🤔
🫴_halafu mbona maneno kama haya huwaambii mashia wanaokufurisha maswahaba na masunni ⁉️
Mbona watuambia sisi tu 🤔 una ishu gani
@AbuuSumayyah10 @abusumayyah_o @_zack255 @EsirEid @GShio @Matallahkhamis @HabiibYahyaa @BlackWolfBeast Mtu hawezi kuwa kafiri kwa kutajwa na mwadamu wewe ni kafiri Bali anakuwa kafiri kwa matendo yake. Mtu yeyote anaetoa shahada na akatenda matendo ya shahada yake hawezi kuwa kafiri. Anae mwita kafiri kakosea. Na makosa yoyote yanahukumu yake kwa Allah SW
ADUI WA #UISLAMU NA #WAISLAMU NI #KAFIRI YEYOTE,,,MSIKAZE MAFUVU MKAKARIRI KUSEMA NI USA🇺🇲 NA ISRAEL PEKEE🇾🇪🫷💦📚
>>KWAMBA UKISHIRIKIANA URUSI NA CHINA KIULINZI NA KIUSLAMA SIO HARAMU WALA UKAFIRI ILA UKISHIRIKIANA NA US🇺🇲 PEKEE NDIO UKAFIRI NA UNAFIKI🤣
🫴_EWE SHIA NA SUFY ONDOA MATONGO TONGO USONI🤔
Kwani adui wa uislamu ni marekani tu⁉️🤣
_ili kwamba iwe ukishirikiana na INDIA,URUSI,FRANCE,HISPANIA AU CHINA KUUA WAISLAMU NI HALALI, ISPOKUA USA🇺🇲 PEKEE🤣🤣
Halafu kwani dhambi ni kuwepo kwa kambi za kijeshi tu⁉️
_kwahiyo unafiki na uzayuni na ukibaraka walioufanya iran🇮🇷 dhidi ya wairaq,syria,labanon na dhidi ya afghanistani kwa kumwaga damu zao HAMNA SHIDA ILIKUA NI HALALI⁉️🫢
_hata kama hawana kambi za mmarekani je,iran🇮🇷 akimwaga damu za waislamu ni sawa⁉️🤣
_maana nyie mnapiga makelele ooo saudia ana kambi za kijeshi za usa🇺🇲 zinazotumika kuua waislamu
_AJabu hauna hata huo ushahidi kwamba ni lini kambi hiyo imetumika ua ilihusika na mashambulizi kwenye miji ya waislamu..ni basi tu porojo🤮
🫴_sasa tujaalie kama dhambi ni hizo kambi kuhusika na mauaji ya waislam au kisa usa🇺🇲 ni adui wa waislamu anaua waislamu...je, hiyo ndio sababu ya iran🇮🇷 kupata kibali cha KUUA WAISLAMU SYRIA,IRAQ,AFGHANISTANI,LEBANON NA YEMEN⁉️🤔🤣
_mbona hamzitetei damu za waislam wa iraq,syria,yemen⁉️
_kwani nyie mnatetea damu za wapalestina kama wanadamu au kama waislamu⁉️🤣
_je, mbona hamsimami na kutetea damu za waislamu wa syria walipigwa mabomu na utawala wa kishia wa BASHAAR AL_ASAD akishirikiana na IRAN🇮🇷 PAMOJA NA URUSI⁉️🤔
_kwani hawa si WAISLAMU⁉️
_kwani SHIDA NI KAMBI ZA KIJESHI AU SHIDA NI MAUAJI YA WAISLAMU⁉️
🫴_NANI ALIEWADANGANYA KWAMBA WAISLAMU DUNIANI NI WAPALESTINA🔥 TUUU⁉️🤔
_KWAMBA AKIGUSEA MPALESTINA NDIO DHAMBI ILA MUISLAMU WA KENYA AU MADAGASCA HIYO SIO DHAMBI NA MUUAJI HANA DHAMBI⁉️🤔
mfano; tujaalie JAPAN akaeka kambi IRAN AU AKAWEKA KAMBI MISRY KWA LENGO LA KUJILINDA DHIDI YA MAADUI ZAKE
JE, ITAFAA AU ITAKUA HARAMU KISA ANAYEMLINDA NI KAFIRI⁉️🤣
JE, ITAFAA KWAKUA JAPAN HAUI WAISLAMU AU ITAKUA HARAMU KISA JAPAN NI KAFIRI⁉️
NYIE IQ ZENU NI NDOGO SANA
Kama JAPANI _Ataeka kambi zake za kijeshi IRAN🇮🇷 AU IRAQ NA HUKU HUYO HUYO JAPAN ANA MAHUSIANO NA USA🇺🇲 AU ISRAEL🇮🇱 YA KIDIPLOMASIA,KIUCHUMI,KITEKNOLOJIA NA KIBIASHARA__BILA SHAKA NA YEYE JAPAN ATAKUA ANAHUSIKA NA MAUJI YA WAISLAMU🤣🤣
EEE kwakua ANAISAPOTI KIPESA USA🇺🇲 NA ISRAEL🇮🇱 🤣
_EE MAANA WANAUZIANA BIDHAA KIBIASHARA NA HIZO PESA ANAZOPATA USA🇺🇲 KUTOKANA NA BISHARA YAKE NA JAPAN SI NDIO ANAZITUMIA KUPELEKA MABOMU NA SILAHA HUKO GHAZA ILO WAISLAMU WAFE⁉️🤬🤬
HAPO NAPO UTASEMAJÈ JAPAN KAHUSIKA AU HAKUHUSIKA⁉️🤬
BASI ILITAKIWA KILA ANAYEFANYA BIASHARA NA USA AU ISRAEL AHUKUMIWE KAMA NA YEYE NI MUUAJI WA WAISLAMU NA NI ADUI
JE, NDIO MSIMAMO WENU HUO AU NYIE MNAIONA USA🇺🇲 NA ISRAEL🇮🇱 TU ⁉️
_WE WAJUAJE KAMA JAPAN AU HISPANIA AU ARGENTINA HAIIPI SILAHA USA⁉️🤬
MNA USHABIKI EA KIJINGA SANA NA CHUKI BILA KUCHUJA MAMBO
🫴_KWANZA UNACHOKISEMA NI UONGO PIA
Saudia🇮🇷 ina kambi moja tu ya kijeshi ya USA🇺🇲 (PRINCE SULTAN AIR BASE) NA IKO CHINI YA WIZARA LA ULINZI YA SAUDIA🇸🇦 NA HAIWEZI FANYA HARAKATI AU SHUGULI YEYOTE BILA KIBALI CHA SAUD GOVERMENT
_NA KAMBI YENYEWE HAIHUSIANI NA MASHAMBULIZI,,BALI INAHUSIKA NA ULINZI WA ANGA TU NDIO MAANA INAITWA "AIR BASE"
_NA HAIJAWAHI RIPOTIWA KWAMBA KAMBI HIYO IMETUMIKA KUFANYA MASHAMBULIZI YEYOTE DHIDI YA IRAN AU YEMEN
🫴_mimi nakuomba KAMA UNAEZA TAFUTA TAARIFA TOKA VYOMBO VYOVYOTE VYA KUAMINIKA VYA HABAR ULIMWENGUNI
_Nitafutie kuhusu je, kambi hiyo ya prince sultan Air base ilishawahi husika na mashambulizi yeyote kwa nchi yeyote⁉️🤔
UKIPATA NAKUPA 1 MILLION CHAP__HAYA MPUNGA HUO CHANGAMKA🤣

#Epstein dosyası; laik siyasetin, sermayenin ve küresel elit çevrelerin kirli ilişkilerini gözler önüne seren karanlık bir #vahşettir.
Bu mesele; sağ-sol, #muhafazakar ayrımının ortak yozlaşmasıdır. Yahudinin şantaj, savaş, çıkar ve ahlaksızlık üzere kurulu #kafiri bir düzendir.
Sawa kaka;
Kwa uelewa wangu kupitia Quraan na sunna za mtume
#Kafiri ni neno la kiarabu lilotokana na neno "kufru" yaani kwa kiswahii "kukufuru"
🫴kwa maana ya kupinga kitu_au jambo flani au kwenda kinyume nacho_kimoyoni au kwa vitendo au kwa ulimi kutamka
Kiujumla sasa kwa mujibu wa uislamu;
#KAFIRI NI NENO; linalomaanisha_mtu mwenye kumkufuru/kummkataa/kumpinga Mwenyezimungu_au yule mwabudiwa wa kweli asie na mshirika ambaye ni ALLAH_kwenye jambo lolote aliloliamrisha au kulikataza au kulielezea au lolote linalohusiana naye
Mfano ;
1_ kupinga uwepo wake[upagani]
2_kupinga amri zake na maelekezo yake [ uislamu na sheria zake kupitia Quraan au hadith za mtume ]
[_wakristo na dini zote zisizokua za kiislam]
3_,kuzipinga sifa zake au kumsifu kwa sifa zisizo zake hasa zenye mapungufu ambazo haziendani na utukufu wake[ ukristo,uyahidi na dini zingine zisokua uislamu]
4_au kumwabudu asiekua yeye( hiyo inahesabika ni kupinga kivitendo hata kama ukikiri kwa moyo au ulimi)
[ ukristo,uyahidi, ubudha,uhindu,waabudu mizimu,washirikina n.k]
🫴ZINGATIA KAFIRI NI YEYOTE ATAKAYEFANYA HAYO HAPO JUU NA MENGONEYO MFANO WA HAYO
➡️_HATA AKIWA NI MUISLAMU AKAWA ANAFANYA KINYUME NA HAYO ATAKUA KAAFIRI
🫴na ndio maana #mashia wa iran au #ahmadia au #maqadiyan wa india kwengine duniani_ tunawaita ni #makafiri _kwakua wamekengeuka misingi hiyo hapo juu
Na yeyote ktk waislamu wenye kukiuka misingi hiyo BASI ATAINGIA KWENYE "#UKAFIRI"
MFANO;
1_Mwenye kumwabudu mtume muhammad kwa kumuomba dua, au kumfanyia ibada yeyote anakua kaafir..hata kama akijichanganya na waislamu
2_mwenye kuomba makaburi au kusujudia makaburi au kuyalili shida zake huyo ni kafiri..kwakua ameabudu asiekua Allah
3_mwenye kutambikia mizimu kwa kuchinjia au kufanya ibada za mizimu ni kafiri(kuomba uokozi,ulinzi,msaada)_kwakua amemwabudu asiekua Allah
4_Mwenye kufanya uchawi au kwenda kwa mganga na akamsadiki au akaloga au akajifunza ushirikina wa ramli,kufuga majini au kufanya kazi na mashatni au kifunga hirizi kama kinga ni KAFIRI AU AMEKUFURU
( kwakua amemfanya asiekua Allah mlinzi badala yake)
_HATA KAMA ATAKUA KAVAA KANZU NA KILEMBA..MTU HUYO UISLAMU HAUMTAMBUI NA WALA WAISLAM HAWAMTAMBUI
🫴AKICHINJA MTU HUYO MNYAMA HATULI NYAMA YAKE NI KIBUDU
🫴NA AKIPITA KUONGOZA IBADA ZA SWALA 5 NA SWALA ZINGINE HATURUHUSIWI KUSWALI NYUMA YAKE
🫴AKIFA HATUMZIKI KIISLAM ANACHIMBIWA SHIMO ANAFUKIWA KAMA MBWA
NA MENGINEYO..KAMA HAYO
SHUKRAN ...✍️

@kaliloi_sy Ni tchiendo shitané ka kili prin
jaarnama konon 🥱 allah ka da yoro ké tassouma yé 🤧 #madjougou_djon #Kafiri #kounfi #bamanan_ka_kounachouliden
KILA ASIEKUA #SHIA HUYO NI #KAFIRI,#NAJISI NA NI MUOVU ZAIDI YA MAYAHUDI,MANASWARA NA MAJUSIY📚💦
🇵🇸BALI DAMU YA MASUNNI NI HALALI KUMWAGWA
>>halafu #mashia ndio watetezi wa wapalestina ambao ni masunni ghaza🇵🇸 👀🫴⁉️
ANASEMA MWANACHUONI WA #KISHIA MAARUFU KAMA NIIMATULLAHI AL_JAZAAIRIY
يقول نعمة الله الجزائري في الأنوار النعمانية ج/2 ص/ 306
( وأما الناصبي السنّي .. إنه نجس وأنه شرّ من اليهودي والنصراني والمجوسي ، وأنه كافر نجس بإجماع علماء الإمامية )
"Ama #nasibi au #msuni hakika wao ni #najisi na wao ni shari zaidi kuliko #mayahudi na #manaswara na majusiy na wao ni makafiri na najisi kwa ijmaa ya maulamaa wa shia imaamiyyah wote "
ويقول أيضاً
Nilimwambia Abu Abdillah:
“Unaonaje kuhusu kumuua nasibi au anayechukia (Ahlul-Bayt)?”
Akasema: “#Damu yake ni halali, lakini mimi nakufanyia #taqiyya kwa ajili yako;
basi ukipata uwezo wa kumporomoshea #ukuta au #kumzamisha majini ili asiwe na ushahidi dhidi yako, basi fanya hivyo.”
Nikamuuliza: “Unaonaje kuhusu #mali yake?”
Akasema: “Ichukue #kadiri utakavyoweza.”
( قال الصدوق قلت لأبي عبد الله ما تقول في قتل الناصب ؟ قال حلال الدم ولكني أتقي عليك فإن قدرت أن تقلب عليه حائطاً أو تغرقه في ماء لكي لا يشهد به عليك فافعل .
قلت : ما ترى في ماله ؟ قال خذه ما قدرت )
MAREJEO; 🫴⁉️
📚💦الأنوار النعمانية ج/2 ص/ 306
🫴je, kuna uwezekano kukawepo umoja baina ya #shia na #sunni kwa kauli kama hizi⁉️
🫴je, #masalafy ndio wanafarakanisha umma kuliko mashia⁉️
@AbdallahAl91947 @BinKombo3 @IsaRouhan13797 @Rahim_Meghji @mpenda_TANZANIA @BlackWolfBeast @khilafah8 @Matallahkhamis @EsirEid
@HashimuMok23111 @Mbwana_1 @daudajerry53

KWA MUJIBU WA #MAGAIDI 2A HIZB TAHRIRI WAISLAM DUNIANI WALIOBAKIA NI KUNDI LAO TU 📚💦
🫴kwahiyo we @BinKombo3 duniani kwa sasa ukiwa sii hizb tahriir we ni kafiri tu⁉️🤣
🫴Ukiwa bakwata na mufty wake abubakar bin zuber we ni #kafiri tu 🤣
🔹️ukiwa shabiki wa mpira kama kina @IsaRouhan13797 na @Rahim_Meghji na @Matallahkhamis na @khilafah8 we ni kafiri tu 🤣
ALOO NAHISI WE NI #SHUSHUSHU LA CIA🤣 UNATAKA TUKUUMGE MKONO KWENYE UGAIDI WAKO ILI UTUKAMATISHE KWA TANPOL
Maana kila kitu kwako ni cha kikafiri ...MAANA USHAKUFURISHA RANGI ZOTE KASORO NYEUSI NA NYEUPE
KWAHIYO UKIVAA NGUO RANGI INGINE WE NI KAFIRI TU 🫣😳😳

Sasa unakaa unaitukana #saudia kwamba ni makafiri kwa sababu ya #mpira...halafu kwenye profile zenu mnashabikia #mpira
🫴hizi ni sifa za #wanawake ...yaani nyie khawaaerij mna tabia za kike kike hivi...mandambi mnayoyafanya nyie akifanya mwingine ni #kafiri,,ila kwenu ni sawa tu, kwenu nyie midomo yenu mirefu kuwakufurisha wenzenu na kuwanafikisha
HUU USLAMU HAUNA HATIMILIKI ZA BABA ZENU WALA FAMILIA ZENU
🔹️kuweni na adabu na heshima za watu ...msijione mna uruma sana na mapenzi na uislamu ilihali mnafanya msioyatenda
Akifanya saudi kosa ufanyalo wewe unawaita makafiri na mayahudi
🫴ila ukifanya wewe ni poa tu
SASA UNASHABIKIA MPIRA HUKU WAGHAZA WANAKUFA NJAA KULE HIYO PESA YA BANDLE SI UNGEWAPELEKEA WAISLAMU WENZAKO⁉️🤭
🔹️hii mipira hela zake ni za betting na zinarudi kwa wazungu zinaenda kufadhili mauaji ghaza
Yet you can never see @WilliamsRuto put Africans...Africans who are true sons of the soils first..yaani we can never win... unlike how @Julius_S_Malema does....
Oya @WilliamsRuto they'll always regard you as the same #KAFIRI.....ATA UKIWAPEA IDS #RUTOMUSTGO
Wameanza!!!
"Kafiri isichukue Kiti"
Ruto has just enabled impunity.
2027, Kenya will be worse than Mozambique
2007 was rehearsal!
Wakenya msikubali... We will burn them before we burn Kenya 🫶
mbal mzinif aliye oa anapigwa mawe mlevi viboko n.k
Lkn huyo Muislam muovu wa zinaa au pombe ni bora zaid ya mara trilioni kuliko #KAFIRI.
The Christians already knew this since time immemorial, the Jews call Christians #idolaters (people who worship idols) and infact they call them #hakufrin/הכופרים or #kafiri a.k.a "infidels". A Christian daring to visit Israel with Xtian religious symbols is harrassed in public.
Absolutely “the chosen” 🙄
“Israeli Settlers Taunt and Demand Christian Tourists to Leave” Via r/worldnewsvideos
#Israel
@abierkhatib The Christians already knew this since time immemorial, the Jews call Christians #idolaters (people who worship idols) and infact they call them #hakufrin/הכופרים or #kafiri a.k.a "infidels". A Christian daring to visit Israel with Xtian religious symbols is harrassed in public.
Amesema Mtume صلى الله عليه وسلم :
((Lau kama Dunia mbele ya Allāh ingekuwa inafikia usawa wa ubawa wa Mbu basi #Kafiri asingeli kunywa hata funda moja la Maji.))
📗السلسلة الصحيحة للألباني- مختصرة رقم الحديث: 686.
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers












