Top Tweets for #SHERIA
Una mada, ushauri au swali kuhusu Sheria? Tembelea Jukwaa la Sheria katika mtandao wa https://t.co/jOyQppw5FO kupata majibu, mawazo, na miongozo kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria .
Fuatilia zaidi, shiriki https://t.co/gnstrf5Ecs
#JamiiForums #Sheria

DAR: Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Oktoba 11, 2026, na Nijuze, Wakili William Maduhu, ameeleza kuwa mali anazokuwa nazo mwenza wako kabla ya ndoa hubaki kuwa mali yake binafsi.
Zaidi https://t.co/IMsuOG2HSO
#JamiiForums #Sheria
hivyo kabla ya kumkata dereva pointi ni muhimu kuangalia kosa lenyewe na nani anawajibika kisheria.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #sheria #skfahamusheria
ANAYEHUKUU KWA #SHERIA ZISIZOKUA ZA ALLAH SIO #KAFIRI MPAKA AKIRI SHERIA HIZO NI BORA KULIKO SHERIA ZA ALLAH📚💦
>>>Hivyo sio sawa kumuona au kumsema mama samia au viòngozi wengine ambao ni waislamu kwamba ni #MAKAFIRI
Imām Sulaymān bin ‘Abdullāh bin Muhammad bin ‘Abd al-Wahhāb رحمه الله amesema:
“ Ama yule anayeitambua [haki] moyoni mwake na kukiri hukumu ya Allah kwa ulimi wake, lakini akatenda kwa nje jambo linalokwenda kinyume nayo katika mambo ya matawi, basi huu ni ukafiri maalumu wa kivitendo ambao haumtoi mtu katika Dini.
Ṭāwūs alisema kuhusu ukafiri ambao haumtoi mtu katika Dini: ‘Haufanani na yule anayemkufuru Allah, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake.’
Na Sufyān al-Thawrī amepokea kutoka kwa Ibn Jurayj, kutoka kwa ‘Aṭā’ kwamba alisema kuhusu jambo hili: ‘Ni ukafiri ulio chini ya ukafiri, dhuluma iliyo chini ya dhuluma, na dhambi iliyo chini ya dhambi.’ Imepokewa na Ibn Jarīr.
Na Wakī‘ amepokea kutoka kwa Sa‘īd al-Makkī, kutoka kwa Ṭāwūs aliyesema: ‘Kuhukumu kwa yasiyokuwa yale ambayo Allah ameyateremsha si ukafiri unaomtoa mtu katika Dini, ikiwa ndani yake anakiri hukumu Yake na anaipenda.’
Na imepokewa kutoka kwa Ṭāwūs, kutoka kwa Ibn ‘Abbās aliyesema: ‘Huo si ukafiri mnaoufikiri.’ Al-Ḥākim ameipokea na kusema kwamba inakidhi masharti ya usahihi ya Masheikh wawili [al-Bukhārī na Muslim], ingawa wao hawakuirekodi.
Makhaوارij walielekea kwenye kuifanya hukumu hiyo kuwa ya jumla kwa kutegemea maana ya dhahiri ya Aya, wakidai kwamba yeyote anayehukumu kwa yasiyokuwa yale ambayo Allah ameyateremsha ni kafiri; na kwamba yeyote anayefanya dhambi amehukumu kwa yasiyokuwa yale ambayo Allah ameyateremsha, hivyo ni lazima awe kafiri.
Hata hivyo, ijmā‘ ya Ahl al-Sunnah wal-Jamā‘ah imeshikamana kwa uthabiti na kinyume cha msimamo wao. Aidha, sisi hatumtangazi mtu kuwa ni kafiri isipokuwa pale anapoacha kuhukumu kwa yale ambayo Allah ameyateremsha kuhusu Tawḥīd, bali akahukumu kwa kinyume chake, akafanya shirki, akawaunga mkono watu wake na kuwasaidia dhidi ya watu wa Tawḥīd; au akaacha kusimamisha nguzo za Dini kwa ukaidi au uasi baada ya kuitwa kuzitekeleza; au akakataa yale ambayo Mtume ﷺ aliyaleta kuhusu mambo mengine ya Dini na mambo ya imani ya ghaibu.”
Al-Tawḍīḥ ‘an Tawḥīd al-Khallāq fī Jawāb Ahl al-‘Irāq, uk. 142.📚
![abusumayyah_o's tweet photo. ANAYEHUKUU KWA #SHERIA ZISIZOKUA ZA ALLAH SIO #KAFIRI MPAKA AKIRI SHERIA HIZO NI BORA KULIKO SHERIA ZA ALLAH📚💦

Al-Tawḍīḥ ‘an Tawḥīd al-Khallāq fī Jawāb Ahl al-‘Irāq, uk. 142.📚](https://pbs.twimg.com/media/HUAV_UdWEAAIxiP.jpg)
@MariaSTsehai @HecheJohn #JajiMkuu timiza wajibu wako kwa kufuata #katiba no a #sheria za nchi yetu #Tanzania🇹🇿.
#FreeTundulisuNow
#JajiKataaWahuni
#KataaMashetani
#SamiaMustGo
#TanzaniaMassacre

DAR: Taarifa hiyo imetolewa na Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, Julai 30, 2026.
Zaidi https://t.co/VkqQt0pRUu
#JamiiForums #HumanRights #Sheria
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Bana, amesema hayo kwenye mahojiano ya njia ya Simu yaliyorushwa Julai 15, 2026 na Saut Digital.
Fuatilia zaidi https://t.co/T7ylDFpYyk
#JamiiForums #Demokrasia #Sheria #Utawala
DAR: Wakili Peter Madeleka amesema hayo Julai 12, 2026 wakati akizungumza na Waandishi wa habari.
Zaidi tembelea https://t.co/nsjba3Lv4A
#JamiiForums #Sheria
DAR: Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Benson Kigaila amesema hayo Julai 1, 2026 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kukaimishwa madaraka hayo.
Zaidi tembelea https://t.co/xy3ihXaIPf
#JamiiForums #Uwajibikaji #Sheria #Siasa #JFSiasa
Tanzania kuna sheria nyingi sana ila hii ya kushitakiwa kwa kutaka kujiua na hukumu yake ni kifo sijawahi elewa kabisa maana yake. Walimu wa sheria mtupe somo kidogo
#sheria

The Daily Arabic Expression!
Learn from your mistakes.
@gdgoc_hui
#buildSprint1.0
#30dayschallenge
#ahmed
#islam
#sheria
Katika sheria za kimataifa(PIL) hususani maswala ya wakimbizi kuna kanuni muhimu inaitwa non-refoulement inayokataza nchi iliyompokea mkimbizi kumrudisha mkimbizi mahali ambapo maisha au uhuru wake uko hatarini.
#Elimikawikiendi
#Sheria⚖️
#Geopolitics🌍🌎🌏
Mganga wa kienyeji(sangoma) kufanya mapenzi na mteja wako ukidai ndo njia ya kumpa matibabu (healing purposes) huo ni ubakaji.
#Elimikawikiendi
#sheria⚖️
Ukifanya mapenzi na mtoto wa kike under 18 ata kama yeye ndo alikua anataka msex na mkashiriki, sheria inasema wewe umebaka awe alikubali kwa hiari yake au laah. Unaweza ukafungwa miaka isiyopungua 30 hadi kifungo cha maisha gerezani.
#Elimikawikiendi
#sheria⚖️
Dada unayetaka mwanaume mwenye kila kitu, nyumba, gari, biadhara na assetts zingine unajua siku ikitokea mna talakiana hapo kwa mmeo utaondoka na begi yako ya nguo tu, sababu hakuna chochote ulichochangia kwenye upatikanaji wa hizo mali, ulizikuta zote.
#Elimikawikiendi
#sheria⚖️
@MariaSTsehai @lifeofmshaba Yote haya madhila ya #chadema #KABUDI ndio master plan as sycophant kwa watawala aendelee kukalia #V8 akijiona mwamba wa siasa na #Sheria.
Kwa sasa abdul anamtumia kama mwanasheria bora wakumshauri mama yake!
Fuck you kabudi asswipe🚮
Last Seen Hashtags on Sotwe
Unexpected within_time:9000s filter:videos
Seen from United Arab Emirates
antalyagay
Seen from Turkey
Russiangirls
Seen from Turkey
bitcoinReview
Seen from United States
٢٠٣٠_بلا_نقاب18
Seen from Saudi Arabia
teenpussy
Seen from Netherlands
desi #hardcore
Seen from Turkey
NELaw
Seen from United States
chapinas()********************filter:native_video
Seen from Guatemala
uniform chav
Seen from United Kingdom
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers