Top Tweets for #KABUDI
Asante kuliweka wazi TENA SASAIVI WEKA SALAMA ZA #WANACCM WOTE walio UPANDE WA HAKI MAANA WAPO WENGI SANA
SAMIA NA WAUWAJI WENZAKE WATAMBUE ILO
#FrewTunduLissuNow
Na wew #Kabudi Chet fake jiko kama Geti la Kuzimu hiyo Ukumu unayompea #Lissu kumfuraisha Abdul utakurudia tu Soon
Heshima yako kaka John.
Naitwa Nyantori ni mwana CCM.
Ulikuja Serengeti sikuwa na hela ila naomba nitakutumia elf 25 uje uifikishe kwa mheshimiwa Lissu siku anasomewa hukumu atakunywa hata maji.
Hatuna hela ila tuna upendo na tunathamini mchango wake.
Damu yake
iliyomwagika pale AREA D DODOMA, itaabaki kuwa ukombozi wa taifa hili.
Mwambie tuna muombea sana.
Palamagamba Kabudi! Utafikiri si yeye alikuwa mmoja wa founders wa LHRC na swahiba wa Dr Mvungi (RIP)
We Kabudi leo umekubali kutumika kuandika hukumu ya Lissu na wapewe majaji? Unbelievable!
Ile ya kesi ya kujibu huyu Kabudi ndo aliambiwa aiandike na Abdul alafu majaji wakapewa last minute! Majaji walivyosoma wakaona ni utumbo mtupu ndo maana mahakamani walitoa hukumu kiujumlajumla 🙄
Hii wasibishe majaji maana hata ukiwauliza hawana majibu ya kunyooka!
Sasa baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu bado HATAKI!
Sasa majaji wameambiwa wasubiri watapewa hukumu! Kabudi achana na kujipendekeza - ungejua unavyochukiwa na wenzako na hiki kiherehere chako ungetulia!
Mpk sasa kumfunga wamepanga kumfunga na lazima wamkute na hatia
Option moja - wamhukumu uhaini ndogo (whtever this means) na jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali
Option two - ahukumiwe kifungo cha maisha alafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha sana hadi kimama kitoke au kife whichever comes first
Option three - wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha
Option four - wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest)
Kwa kifupi HAWANA MPANGO KUMWACHIA LISSU na wanataka baada ya hapo warudishe Chadema mikononi mwa wapiga dili!
Jamani Tundu Lissu anahitaji tumpambanie
So harakati ya maandamano na civil resistance ya #MO29 itaendelea hadi Novemba 6 kama tutashindwa kumchomoa na wakiamua kumfunga ni protest ya kudumu - taarifa ndo hivyo! Muda wowote kwa njia yoyote halali na ya amani we demand #FreeTunduLissu
Na wote mliohusika kumtesa Lissu mtawajibika!!
#FreeTunduLissuNOW

@MariaSTsehai Fact
Tandem also share with human rights defender in #Kenya to rage against this moron and poverty mind gang under #kabudi #abduli na #Samia dictator
Should be gang held accountable for this nonsense matter committed on #massacred of thousands of tanganyika people's
@MariaSTsehai @chapanombombwi Fact maria I told you kua uyu mbwa #kabudi ndio aliyemshauri samia kufunga #lissu ndio anaratibu mambo yote maovu kwakujiona super intelligent person !🚮
Kuifungia #chadema ni yeye pia ndio maana kaubudili cha #samia wanamuona anafaa sana uyo mbwaa🚮🚮
@MariaSTsehai @lifeofmshaba Yote haya madhila ya #chadema #KABUDI ndio master plan as sycophant kwa watawala aendelee kukalia #V8 akijiona mwamba wa siasa na #Sheria.
Kwa sasa abdul anamtumia kama mwanasheria bora wakumshauri mama yake!
Fuck you kabudi asswipe🚮
@HildaNewton21 Ukiangalia uyo ni #majalalani cheti fake #kabudi ndio master plan sisty ni kitendea kazi hana elemu yoyote yule🚮
Hii nimependa wamchome moto tu #Afe uko uko although #kabudi ni malaya anawatoto wa toka wa #Michepuko wengi sana 🚮

Kumbe Norway kuna maandamano kwenda kwa mtoto wa Kabudi aliyemficha Kama mwalimu huko Oslo
Ila wazalendo mnavituko, Kwa wanakwenda hapo chuo kueleza masuala ya Kabudi na umwagaji damu na namna familia yake inanufaika tunawatakiwa kila la Kheri
sasa watanganyika mmeanza kuelewa, kila mjinga anayeshiriki kutuumiza anapelekewa moto

@MariaSTsehai @HecheJohn Siku zote na sema hivi uyo #Kabudi cheti fake anajiona Genius wa sheria apa Tanganyika ndio anazamisha hili taifa kwenye shimo tangu magufuli erra !
Uyu tutamla nyama kama mbuzi wa kafara siku zake zinaesabika sana!🚮
‼️🚨TUSIPOAMKA NCHI IMEKWENDA‼️
Mungu ni mwema sana 🙏🏽
Kabudi ameropoka kila kitu na sasa ni dhahihiri hawana nia yoyote njema na Taifa
👉🏽Tulipewa taarifa kuwa Kabudi ndiyo mastermind kwa maelekezo ya Abdul na genge lake kuDOCTOR ripoti ya Tume ya Chande na ndo ameandaa hotuba ya Samia - tatizo lake ni mropokaji 🙄 Lakini kupitia hii interview ya BBC amejianika kuwa yeye ndo mwandishi na mpangaji wa mipango yote na ndiye anatoa maelekezo wala si @SuluhuSamia
👉🏽 Kabudi anaongelea Tume ya Uchunguzi ambayo imependekezwa na Tume ila ye tayari anaongea (siyo kwamba Rais kamwagiza bali kama yeye ndo Rais mwenyewe) kuwa wataitwa watu na sijui sheria ya Uingereza! Tume haijaundwa wala kupewa hadidu rejea - lakini tayari Kabudi anaeleza what will happen!
👉🏽 Ameweka wazi kuwa watatarget viongozi wa upinzani (CHADEMA), viongozi wa dini na wanaharakati! Yaani wakamate na wafunge midomo wote tunaoongea na kupaza sauti! Ila walioua na ushahidi upo ni polisi hawatawajibishwa! Hakuna Haki itatendeka
👉🏽Katiba mpya wanataka kuleta ya kwao na mmemsikia huko mwisho eti labda waingiliwe na “wasiotakia mema nchi” mnaandaaje Katiba Mpya na huku mnawinda na kukamata wadau muhimu kama wa upinzani na wanaharakati?
Sasa eleweni watanzania kuwa genge la Abdul na mama yake wakishirikiana na wasaliti wa Tanganyika kama akina Kabudi hawataki maridhiano ya kweli wala Katiba Mpya
Wao wanataka kujizatiti kwenye udhalimu wafunge kila anayekosoa na wanasema watanzania wawe waoga wasithubutu tena kuandamana au kupinga serikali yao! Wanasema mmeshakuwa waoga so bado kidogo mtafyata wote!
Sasa nina swali kwa wazalendo wote - hivi kweli tumekosa ujasiri na akili kiasi hiki? Mko tayari nchi izamishwe iwe himaya ya genge dogo la kilafi? Mnaelewa CONSEQUENCES? Kwamba Kabudi na wenzake wanapopeleka hii nchi ni kuDESTROY! Miili ya wapendwa wetu hatutakaa kuzipata! Tunaopaza sauti sasa tutanyamazishwa na giza litafunika nchi! Muda ni huu kutafakari kama Taifa! Kama mtakubali kwenda na huu upumbavu hakuna watu wa nje kuja kutukomboa! Utabaki ukweli daima! The choice is yours!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
https://t.co/9J8GIdIbcJ
Uhamasishaji wa aina hii:
1. Unadhalilisha utu wa mwanamke.
2. Unavunja maadili ya taifa.
Unakifedhehesha chama cha hao wahamasishaji.
4. Unaharibu ujumbe unaokusudiwa kutolewa.
Tuko tayari kuufungia wimbi wa msanii eti kwa kukiuka maadili huku hawa wakitustarehesha.
Taaaluma ya kujipendekeza iliasisiwa na #Kabudi sasa inatekelezwa vyema na #KitilaMkumbo sasa hawa ni maprofesa. Elimu haina maana tena.

@sisiniTanzania Hongera Simba SC @tanzania kwa kufuzu hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho barani Afrika
#SisiNiTanzania #MatokeoChanya #SSH #MichezoTanzania #Kabudi #NchiYanguKwanza

Great to be in #Kenya #Kabudi seed bank to discuss farm aggregation to ensure #naturepositive solutions can be scaled to protect the environment, improve food and nutrition security, through #agrobiodiversity and improved management. @CGIAR @BiovIntCIAT_eng

Nitakwenda KUVIOMBA vyuo vikuu vilivyotoa SHAHADA ZA UZAMIVU Kwa PROF. KABUDI na PROF. OSORO viwafutie shahada hizo Kwa kuwa walisema UONGO kwenye SAKATA la MAKINIKIA. Watu waliteseka MAGEREZA kutokana na UONGO wao. Kwa PROF. Kusema UONGO kwenye eneo lake KITAALUMA ni DHAMBI.
#RDC-Education: Comme promis il y a quelques jours , l'honorable Lambert MATUKU MEMAS lance officiellement les travaux de construction de la salle de centre d'examen d'État à #KABUDI/Gungu pour permettre les élèves de bien passaient les épreuves.
@ProfesseurTony

Last Seen Hashtags on Sotwe
artofbox
Seen from United States
candid
Seen from Brazil
anxiouspanda(********)***************** filter:videos
Seen from Turkey
minichat
Seen from Canada
Raagicrop
Seen from United States
FF3_33周年
Seen from United States
唖樵
Seen from United States
snapchat(*)***************** ()filter:videos
Seen from Egypt
incest #family #porn
Seen from Germany
minichat()()*()()******************** filter:videos
Seen from Netherlands
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
















