Top Tweets for #KitilaMkumbo
Taaaluma ya kujipendekeza iliasisiwa na #Kabudi sasa inatekelezwa vyema na #KitilaMkumbo sasa hawa ni maprofesa. Elimu haina maana tena.

Wasomi wote wangekuwa kama Prof. Anna Tibaijuka nchi yetu ingepiga hatua sana
Vyama vya siasa na itikadi zao. #ACTWazalendo #CCM #Chadema #ZittoKabwe #KitilaMkumbo #SalumMwalimu #Zanzibar #Tanzania # https://t.co/Mphe0AlmND
"Ni vizuri iandikwe #katiba ambayo itaongeza ushiriki wa wananchi katika #Demokrasia. Katiba ikiendelea namna hii, mtaendelea kulia kila mwaka." - Profesa #KitilaMkumbo, #Mbunge wa #Ubungo akizungumza kwenye mjadala wa #SikuYaDemokrasia Jijini Dar es Salaam Leo 15 Septemba 2022
Prof. Kitila Mkumbo amesema #Katiba ya sasa ni ya Chama kimoja, hali inayochangia kuwa na #Demokrasia dumavu na inayochelewesha Maendeleo
Amesema mazingira ya sasa ni rahisi kutabiri CCM itashinda Uchaguzi wa Urais Mwaka 2025
Soma - https://t.co/5rRlJdn9Me
#JFSiasa #Democracy

"Hapa kwetu tuna udhaifu mkubwa wa vyama vya #upinzani, hilo lazima mkubali. Kwa hiyo lazima tuanze kuviimarisha vyama vyetu kuanzia ndani." - Profesa #KitilaMkumbo akizungumza kwenye mjadala wa #SikuYaDemokrasia #DemocracyDay leo hii 15 Septemba Jijini Dar es Salaam.
Kitila Mkumbo: Tanzania haiwezi kuendelea bila demokrasia.
Nakala aione dada mpendwa @vicensiashule wakati huo kaka yake #KitilaMkumbo akiwa na uhai wa fikira? Leo hii ukimuuliza atoe maoni kuhusu #KatibaMpya atakwambia ni mchochezi? Tuungane sote kudai #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
@KumbushoDawson @kitilam Real Fabricated, Professor #KitilaMkumbo hawezi kukubali kama ni yeye aliwahi sema hivi pale Nkrumah Hall, ngoja aje tumsikie! Madaraka matamu sana π€
@kitilam @IAMartin_ Halafu Nasikia Professor #KitilaMkumbo umeenda kuzindua Tela ya kubebea mizigo, seriously π? Unazindua Tela? Aisee sijawahi Ona! #Professor π
Ndugu Watanzania Wenzangu, nawaambia hivi, #KitilaMkumbo alipitishwa kuwa Mgombea wa Ubunge ,UBUNGO CCM,baada ya kutoa mamilioni ya Rushwa, Kama anakataa aje hapa akanushe.
Nb.kuna wengine nafuatilia uhuni wenu, lengo langu Ni #KatibaMpya msininukuu vibaya.
Africa's wealthiest man Aliko Dangote pledges to become Tanzaniaβs economic ambassador
#Africanbillionaire #AfricanBillionaires #BillionairesAfrica #Featured #GeoffreyMwambe #HamadMasauni #KitilaMkumbo #SamiaSuluhuHassan
https://t.co/inX80Osr8Z

AHADI YANGU
Mkinichagua kuwa Mbunge wenu, Nitaboresha njia/mikondo rasmi ya mito hii ili maji yaweze kupita kwa urahisi na kuangalia namna ya kujenga kuta za mito hasa katika makazi ya watu.
#Uchaguzi2020
#ChaguaMagufuli
#ChaguaCCM
#KitilaMkumbo
Natambua changamoto ya Mafuriko katika jimbo la Ubungo, athari zake ni kubwa hasa kwa wakazi pembezoni mwa mito Gide, Ngβombe na China. Athari ni kubwa kwa wakazi hawa.
#Uchaguzi2020
#ChaguaMagufuli
#ChaguaCCM
#KitilaMkumbo
Kijana @khaledponera akihakikisha bendera za @ccm_tanzania zinafungwa #Ubungo usiku wa manane kwaajili ya maandalizi ya campaign za @SuluhuSamia na Mgombea Ubnge #KitilaMkumbo.
#Magufuli5Tena
#MagufuliNiMafanikio
Ukweli kwa Serikali sikivu kama hii,hali kama hii ya maji haikubaliki,au pengine wawakilishi wa Serikali kwenye eneo hili hawawajibi?sasa #kitilamkumbo #ChukuaHatua kuwanusuru wananchi wa eneo hili @MbarawaM @kitilam @AlkadoAlphonce
Da! Kwa hali hii #kibondo serikali haipo? Tuombe wizara husika kuweza kupaangalia kwa mapana zaidi maana mwishoe itakuja itokee mlipuko wa magonjwa @kitilam @MbarawaM @maji_mowi @MagufuliJP @majaliwa_kassim @MarekaMalili
Au kwa sababu ni mwisho wa leri? #chukuahatua
#Maji kumekuwa na sintofahamu upatikanaji wa maji ktk kijiji cha iponya wilaya ya mbogwe mkoa wa geita watu wa maliasili wamechimba wawo wakapata maji je kwanini serikali ichimbe maji kwenye kijiji kilekile maji iyakose #kitilamkumbo @Billmarwa @oxfam Tz #ChukuaHatua
Mhe mkumbo sisi wananchi wa kijiji cha mitambo mtwara (v)tunaishukuru serikali kwa kuchimba kisima kirefu cha MAJI na kufrash. Lakini mhe kisima kimesimama kwa mda. Tunaiomba wizara imalizie ujenzi ili kuondoa kero hii #kitilamkumbo @billmarwa @kefarmbogela @mohamed_mkulima
Kesho @kitilam anakuja kuchokoza mada kuhusu elimu .. be there or be square ππ #ChangeTanzania

UDOM imekua ni kama taasisi ya serikali,haijiamulii mambo yake..! #kitilamkumbo
Walibeza kwa mzaha #Kitilamkumbo alipoandika kwamba 'iandikwe manifesto kiundwe chama mbadala kijengwe kwa miaka10" @kitilam @act_tanzania
Last Seen Hashtags on Sotwe
η·δΈ»ε₯³θ΄
Seen from Germany
caught brother
Seen from India
ΰΉΰΈ«ΰΉΰΉΰΈΰΈ·ΰΉΰΈΰΈΰΉΰΈ’ΰΉΰΈΰΉΰΈ‘ΰΈ΅ΰΈ’
Seen from Israel
Cuck
cam spy
public #bbc #cruising
Seen from United States
naked
TravelAustralia
Seen from United States
Unexpected
Seen from United Kingdom
ΨΨ΅Ψ±ΩΨ§Ψͺ
Seen from Algeria
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers




















