Top Tweets for #KANDAMAALUM
Watu wanacheza na mapanga na chupa. We huogopi?
#KandaMaalum
#MadeInMara
Kumbe wakurya ni Yanga ๐ค leo nimejua.
Watu wanacheza na mapanga na chupa. We huogopi?
#KandaMaalum
#MadeInMara
Kumbe wakurya ni Yanga ๐ค leo nimejua.
Verse ya kuombea mkopo benkiโฆ Lyricism on a 1000 #KandaMaalum
โNa dhamira yako, naomba kuingia UBIA
Like a drunken uncle, maisha yako kukuharibia
With these bars, nikulawiti or set a bad example, so tafadhali
Usiniruhusu nije unapokaa, ni hatari
Lakini Salama, kama Darโ
Kanda ya Serengeti,#KandaMaalum

Hii ruti ya moto sana. Alikuwako Falcon #kandamaalum kakiwasha sana, naona kaamua kuishia mwenyewe. Sasa Blue Star anataka kuchukua Mikoba, kikubwa ajipange sababu hii ruti haina tofauti sana na Mwanza - Mbeya.
Kiufupi ajiandae๐ซก

Naskia Bunda imekua kama Tokyo ๐ฏ๐ต
Ndio maana nimekuja kujihakikishia.
Good morning motherland ๐๐พ
#KandaMaalum

@mokertz__ @DullahTheking2 Unaondoka tu ifike muda watu wajue mifumo yako.......... Sio kila siku uingie kenye mifumo ya watu #KandaMaalum hatujafunzwa unyonge
Asante sana Mhe;Mkiti @freemanmbowetz , it has been an awesome experience
having you in our Kanda Maalum @ChademaSerenget.
Your committment, hardwork and peseverance insipire many of us. Karibu tena #KandaMaalum
Leo, natoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote waliowezesha mikutano yetu ya Chadema katika Mikoa ya Simiyu, Shinyanga, na Mara kuwa mafanikio makubwa. Msaada wenu usio na kifani na uaminifu wenu umetuhamasisha sana.
Nguvu na hamasa iliyodhihirishwa na wafuasi wetu katika maeneo haya ilikuwa ya kuvutia, na inathibitisha azma yetu kwa tunu na maono yetu. Pamoja, tunajitahidi kuleta mabadiliko chanya na mustakabali bora kwa taifa letu.
Napenda kutoa shukrani za dhati kwa waandaji, wajitoleaji, wale waliotoa michango, wale waliotukirimu kwa chakula na malazi, wale waliotutia moyo, wale waliotuombea, wale waliosambaza ujumbe wetu kuwafikia watu wengi, na wote waliofanya kazi kwa bidii nyuma ya pazia kuhakikisha mikutano hii inafanikiwa kwa kishindo. Michango yenu kwa mafanikio yetu ni yakutukuka.
Tuendelee katika safari hii pamoja, tukiungana kwa malengo yetu ya pamoja. Safari inayofuata inaweza kuwa ngumu, lakini kwa msaada wenu, naamini tunaweza kushinda vikwazo vyovyote vinavyojitokeza.
Asanteni sana kutoka moyoni mwangu. Msaada wenu usio na kifani unachochea azma yetu ya kuleta mabadiliko chanya ambayo taifa letu linastahili.
Hatua inayofuata, Nyasa Zone. Tutaonana kazini.
Sasa ni zamu kanda ya Serengeti ni hakika imeandikwa Kila jambo na wakati wake mhubiri 3:1-8
#KandaySerengeti
#KandaMaalum


nimegundua leo kua snitch kumbe neighbour, dogo ana kana daily kua ha-snif kumbe teja #kandamaalum

Unju brings the best of me #Priceless #KandaMaalum #VitaNiVitaMura
But i have a slept on banger with Songs too #Amsha the verse i did, is one of my fav in my repertoire.
Cant go wrong with either!! ๐๐ฝ
Ikibidi uchague mmoja kwa ajili ya 'feature' angekuwa nani? ๐ต



@tonyelshabbaz @mvanorashid Shwaznigga mwenyewe alirudi kwenye โExpandableโ na โTerminator: Dark Fateโ & โTerminator: Genisysโ baada ya kumaliza u-Governor wa California ๐๐
โHuwezi kwepa Kipigo, haijalishi una Msala gani, ikiwa aliyetuokoa na kifo aliwambwa msalabaniโ - Wakazi #KandaMaalum
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers



















