Top Tweets for #LEOTENA
#LeoTena maduka yote ya #JustFit yapo wazi kuanzia saa 3:30 mpaka usiku.
Tembelea;
1.#KunduchiMall
2.#MlimaniCityMall
3.#MbeziBeachRainbow
4.#KijitonyamaSayansiOilCom
5.#MasakiCholeRd
6.#AIMMallArusha
☎️0741 100 100
Mkoa wowote unatumiwa bidhaa baada ya Malipo

Jana kwenye kipindi cha #LEOTENA Pale Mawinguni Kimemkutanisha Mtoto na Mama Baada Ya Miaka 33, Leo Ndo Wakutane Kwa Mara Ya Kwanza

Mtoto alibadilishwa dini kutoka Uislamu hadi ukristo mtoto alikuwa anaitwa Fatuma na sasa anaitwa Monica.
Leo ndo ameonana nae binti yake ana miaka 34 na ana watoto kabisa.
Source #LeoTena
Mama Peter anaturudisha nyumba kidogo kuelezea namna ambavyo alipotezana na mtoto wake mwaka 1995 mwezi wa kwanza wakati Peter akiwa na miezi sita na mpaka kujikuta akija kwenye #LeoTena kumtafuta mtoto wake mwaka 2023 na mwaka huu Ijumaa Mtoto wake kuja na kuonana na Mama yake kwa mara ya kwanza.
🚨 TENNIS🎾🎾
♻️ ZINAANZA SAA NNE
🚨KAMPUNI NI #FANSPORT
✍️𝗦𝘁𝗮𝗸𝗲 𝗛𝗶𝗴𝗵
TO BOOM HIGH
💥Odds👉2.93
Huna account? Jisajili
Kujisajili Gusa link
https://t.co/Nsj8qOvQGm
🚨Promocode Andika: MIKEKA
Ku download Apk
Gusa link
https://t.co/YXacPCJDNc
💥Code ya Mkeka👉J46NH

BET OF THE DAY
Odds 2 Free tips BOOM✅✅✅
Odds 2 V.l.P BOOM BACK TO BCK✅✅✅
Kampuni nayotumia SpinBet
Jisajili SPINBET⤵️
https://t.co/SLrfqhiYlJ
Promo Code andika STAROK
Ukiitajii kuu join ktk V.l.P yatu tunatumia Sport bet na kampuni za kirusi whatsapp no 0772502816

Kutoka 92.9 Clouds Fm Iringa 📻
Hongera Sana Mh @Dr_DGwajima kwa kazi Nzuri, God Bless You 🙏
Redio Ya Watu @CloudsMediaLive hakika mnachonga barabara 👊
#RedioYaWatu #LeoTena #SuruhuYaHaki
Timu inaitwa #LeoTena
Busati limeshatandikwa, 📃timu yako imo
Tujumuike kwenye comment na vijiwe vyetu kunyambua yaliyomo ndani yake na kuanza utabiri mapeeema ili wenye timu zetu tujuane.
#Bolikiushindani
#Swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza

#EntertainmentWire Star ⭐️ Wa HitSongs Nchini @tz_marioo Akiwa Na Mzazi Mwenzie #Paulah Wakijiandaa Kufanya Mahojiano Kupitia Kipindi Cha #LeoTena Kinachorushwa Na #CloudsFM
.
Neno Moja Kwao Kama Unaipenda Couple Hii!!!
.
#ChannelVUpdates
#EntertainmentWire
#HubOfEntertainment
#MenyuImekamilika: Picha ya pamoja kati ya timu ya #AzamTV na watangazaji wa kipindi cha #LeoTena cha @FmClouds
Timu ya #AzamTV ilikuwa ndani ya kipindi cha #LeoTena mapema leo kwa ajili ya kuzungumzia ofa mpya ya #MenyuImekamilika
Kisimbuzi cha ANTENA ni BURE, kazi yako wewe ni kulipia kifurushi cha #Ngorongoro kwa miezi miwili tu kwa gharama ya jumla ya shilingi 56,000 tu.
(Picha na @allymuftiTZ)
#MenyuImekamilika

#MenyuImekamilika: Yasikie majibu ya mtangazaji wa kipindi cha #LeoTena cha @cloudsfmtz Husna Abdul baada ya @MwakaloboJr kuitaja Yanga SC.
Timu ya #AzamTV ilikuwa ndani ya kipindi cha #LeoTena kuzungumzia ofa mpya ya #MenyuImekamilika
Kisimbuzi cha ANTENA ni BURE, kazi yako wewe ni kulipia kifurushi cha #Ngorongoro kwa miezi miwili tu kwa gharama ya jumla ya shilingi 56,000 tu.
(Picha na @allymuftiTZ)
#MenyuImekamilika
#MenyuImekamilika: Meneja Mauzo na Usambazaji wa #AzamTV, Adam Ndimbozungumzia anasema ukienda mahali popote ambako kinapatikana kisimbuzi cha antenna cha #AzamTV, USINUNUE, utapewa BURE
Timu ya #AzamTV ilikuwa ndani ya kipindi cha #LeoTena ya @FmClouds kikiongozwa na mtangazaji Husna Abdul
Kazi yetu ni kukujuza ya kwamba #MenyuImekamilika
Kisimbuzi cha ANTENA ni BURE, kazi yako wewe ni kulipia kifurushi cha #Ngorongoro kwa miezi miwili tu kwa gharama ya jumla ya shilingi 56,000 tu.
(Picha na @allymufti_tz)
#MenyuImekamilika
KARIAKOO DERBY | Mwenye #LeoTena yake Husna Abdul alikuwa mwenyeji wa timu ya #AzamTV ilipofika kwenye hamasa kuelekea #DerbyYaKariakoo
Ni amshaamsha kuelekea #DerbyYaKariakoo
Oktoba 19; Hakuna Kisingizio …..
Mechi itapigwa saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SisiNiSoka #KariakooDerby #WataniWaJadi #DerbyYaKariakoo #SimbaYanga #SimbaSC #YangaSC #HakunaKisingizio

KARIAKOO DERBY | "Huyu Aucho amevuta pumzi mara ngapi, amekimbia kilomita ngapi" ombi la mtangazaji wa #LeoTena Jose Mara akilielekeza ombi lake kwa mchambuzi Ramadhan Mbwaduke amsaidie kuzipata takwimu za Khalid Aucho wakati wa mapumziko kwenye #DerbyYaKariakoo Jumamosi.
Ni amshaamsha kuelekea #DerbyYaKariakoo
Oktoba 19; Hakuna Kisingizio …..
Mechi itapigwa saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SisiNiSoka #KariakooDerby #WataniWaJadi #DerbyYaKariakoo #SimbaYanga #SimbaSC #YangaSC #HakunaKisingizio

KARIAKOO DERBY | Timu ya #AzamTV katika picha ya pamoja na timu ya #LeoTena ya @cloudsfm ikiwa ni sehemu ya amshaamsha kuelekea #DerbyYaKariakoo
Oktoba 19; Hakuna Kisingizio …..
Mechi itapigwa saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SisiNiSoka #KariakooDerby #WataniWaJadi #DerbyYaKariakoo #SimbaYanga #SimbaSC #YangaSC #HakunaKisingizio

Ni muunganiko wa team #LeoTena na waratibu wa Kizimkazi Festival watazungumza jambo alhamis hii.
Kuanzia saa nne kamili asunuhi mpaka saa saba mchana.
Cc. @dahuuofficial @geahhabib @josemara @praf.paparaz

Akiwakilisha kikosi cha #LeoTena, @josemarah Leo ametoa vifaa mbalimbali kwa askari watakao sambaza tabasamu Agosti 18 viwanja vya #GreenGrounds #OysterBay DSM katika #CRDBMarathon2024.
Uzi wako bora kabisa unapatikana katika kambi yetu iliyopo Mlimani City kuanzia siku ya leo Jumanne mpaka Ijumaa, yaani tarehe 13 - 16 Agosti 2024 kuanzia saa 02:00 asubuhi mpaka saa 01:00 jioni na siku ya Jumamosi tarehe 17 Agosti 2024 tutaanza saa 02:00 asubuhi mpaka saa 10:00 jioni.
Kama bado hujajisajili, muda ni huu kwani nafasi zimebaki chache sana. Jisajili sasa kupitia tovuti yetu ya https://t.co/7iwEcFOqOy au Mlimani City kwenye kambi yetu.
#KasiIsambazayoTabasamu
#TabasamuLimevukaMipaka
#CRDBBankMarathon2024

NGAO YA JAMII | Azam TV leo ilitembelea kipindi cha #LeoTena @XCloudsfmtz kupeleka habari njema kuhusu mechi za kesho ikiwemo #KariakooDerby
Waliotuwakikisha walikuwa ni @SebaTheWarrior na Glory Chuwa kutoka idara ya masoko pamoja na watangazaji wa mechi za kesho, #RamadhanNgoda na #BarakaMpenja
Ni nusu fainali Ngao ya Jamii Azam vs Coastal na Yanga vs Simba.
Tunatest mitambo.....
#NgaoYaJamii #NgaoYaJamii2024 #ComunityShield #AzamTVCloudsFM

NGAO YA JAMII | Kama hadi sasa bado hujalipia Kisimbuzi chako… sikiliza kwa makini ujumbe huu kutoka kwa Ramadhan Ngoda, alipokuwa #LeoTena ya #CloudsFM asubuhi ya leo.
Ilikuwa ni ziara (media tour) kuelekea nusu fainali Ngao ya Jamii; Azam FC vs Coastal Union na Yanga vs Simba LIVE #AzamSports1HD
Tunatest mitambo.....
#NgaoYaJamii #NgaoYaJamii2024 #ComunityShield #AzamTVEFM
Last Seen Hashtags on Sotwe
ForumLingkarPena
Seen from United States
omegle()**********+filter:native_video since:2026-06-24
Seen from Mexico
incestoconpapá
Seen from Venezuela
groping
Seen from Turkey
lovedupinlewes
Seen from United States
momsonn
LevizjaPragmatike
Seen from United States
แอบถ่ายสาวอาบน้ำ
Seen from Thailand
แอบผัว
Seen from Thailand
baitrequest
Seen from Israel
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers





























