Top Tweets for #LiveNaGee
KIFUATACHO MDC: CONTENT inayobadili MAISHA .Esco Donald ni kati ya Content creators ambao wanachofanya kimegusa MAISHA ya watu.Kuna machozi,Jasho na Damu nyuma ya kila story ya MAFANIKIO na Leo tunai-download kwake kwenye #LIVEnaGEE.

#Madinidotcom: MAISHA NA MUZIKI WA NYOTA NDOGO
Kwenye #LiveNaGee @nyota_ndogo anatukumbusha na kutufahamisha mengi ambayo tulikuwa hatufahamu kuhusu wimbo wake wa watu na viatu mpaka ukawa hit-song Afrika.
Cc: @madinidotcom
#Madinidotcom #EastAfricaRadio #HainaKuchoka
#Madinidotcom: MAISHA NA MUZIKI WA NYOTA NDOGO
Kwenye #LiveNaGee @nyota_ndogo anazungumza kuhusu sanaa kwenye ukanda wa Afrika mashariki na ushinda uliopo kati ya Kenya na Tanzania kwenye muziki.
Cc: @madinidotcom
#Madinidotcom #EastAfricaRadio #HainaKuchoka
#Madinidotcom: MAISHA NA MUZIKI WA NYOTA NDOGO
Kwenye #LiveNaGee @nyota_ndogo ana-share nasi tofauti ya malezi ilivyo kwa watoto wa Afrika na ulaya.
Cc: @madinidotcom
#Madinidotcom #EastAfricaRadio #HainaKuchoka
#Madinidotcom: MAISHA NA MUZIKI WA NYOTA NDOGO
Kwenye #LiveNaGee @nyota_ndogo anatupa uhalisia wa maisha kwa sasa kwenye upande wa mahusiano hususani wale wanaopenda kuolewa na wazungu.
Cc: @madinidotcom
#Madinidotcom #EastAfricaRadio #HainaKuchoka

Leo tunayo furaha kumkaribisha tena Cosmass Madulu ,Mwalimu,mtaalamu wa saikolojia na malezi on #LiveNaGee 3:00pm - 4:00pm @earadiofm . Bonyeza hapa https://t.co/G4LgYviN7q kusikiliza Live.

Mnasema Cosmass Madulu arudi tena? #LiveNaGee

#LiveNaGee Elimu muhimu hii kwa kijana yeyote anayejali uchumi wake wa sasa na baadaye. https://t.co/xvYUvpt2L6
Kati ya 'ndude' zinachanganyaga kuelewa ni HISA NA SOKO LA HISA.Tunakuelewa, ndio maana leo tumeileta kwa lugha 'simpo' ya kishkaji ,Rehema Kyando #LiveNaGee. Usikose show saa 9alasiri hadi 10jioni @earadiofm .

#Madinidotcom: ''Mwanamke ni mtu ambaye hategemei kuwezeshwa na mtu yeyote, mwanamke ni kiumbe mwenye nguvu sana, wanaume wenyewe mmezaliwa na mwanamke'' - @bhokeegina Via Madinidotcom
Cc: #graysongideon
#EastAfricaRadio #HainaKuchoka #LiveNaGee #Madinidotcom

Ungependa kumuuliza nini mzee wa "Sogelea telegram" @fbuyobe ? Comment tukusaidie. Jumamosi hii atakuwa LIVE on madinidotcom @earadiofm. Saa 9:00 alasiri - 10jioni. #LiveNaGee

Hakuna "Sogelea telegram" leo๐Mfuatilie @fbuyobe live on @earadiofm saa 9alasiri hadi 10jioni #LiveNaGee .

Mwamba huyu hapa.Unamjua? Fortunatus Buyobe leo kwenye #LiveNagee .Saa 9:00 alasiri hadi 10 jioni @earadiofm .
Link ya kufuatilia live hii https://t.co/G4LgYviN7q

Kwanini wengi waliosikia hii wanasema hawatakubali ? Unahisi ni option ? Angalia link kwenye comment,utupe maoni yako. #LiveNaGee

Baada ya show ๐
๐
#LiveNaGee

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers




