Kwanini hakuna ambaye anataka kuwapokea wakimbizi wa Palestina? Lakini wakuja kwenye media ni Free Palestina 🇵🇸?
Full video tumewekea YouTube https://t.co/gG0X6xyCcP
Jamaa anasema Jela hamna mtu mwenye hatia , na kwa kuwaangalia tu watoto wa shule ya msingi anaweza kujua nani atakuja kuwa Mwizi au Kahaba .
Aliwahi kupita pale @Madinidotcom anaitwa Joseph Mlindoko (Mchokonozi )
UNATAKA KULIPWA MTANDAONI KAMA “INFLUENCERS” WA MAREKANI?
Uchambuzi — Feruzi Ndeka ✍🏿
Pesa ndo kila kitu,
Likichomoza na kuzama jua, kila mtu anaiwaza pesa.
Najua unazitaka pesa, lakini njia ya kuzipata pesa ndo kikwazo cha kila mtu.
Kama unataka kuokota maokoto ya mtandaoni na kuwa tajiri wa maana,
Kutokana na maudhui yako unayoyaweka kila siku,
Basi hauna budi kukijua hiki kitu kinachoitwa CPM (Cost Per Mille).
Hili ndo jembe lako, huu ndo ufunguo wako wa kuokota pesa zote zilizopo mtandaoni.
TRUMP ALILISHWA MATANGO PORI AKAMCHORESHA CYRIL RAMAPHOSA! ‘WHITE GENOCIDE CONSPIRACY.
Lilianza kama swali kutoka kwa Ndugu Mwandishi,
“What would it take for you to be convinced that there is no ‘white genocide’ in South Africa?"
SWALI hili kuhusu ‘Uzushi’ wa Mauaji ya kimbari linatupwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump,
Pembeni yake amekaa Matamela Cyril Ramaphosa, Rais wa SA.
SAKATA LA DRC NA M23 LACHUKUA SURA NA MWILI MPYA.STELINGI KARUDI TENA!
Tuanze na ripoti ya DW - Kundi la waasi la M23 limesema aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila amewasili katika mji wa mashariki wa Goma, siku
chache baada ya serikali kuondoa kinga yake ili kumfungulia mashtaka ya uhaini.
Ni msingi wa ‘part’ ya mazungumzo haya na Dr.Claudia LUBAO , rapa kutoka Tanzania ‘Chemical’ ,yupo UK nchini Scotland. #LiveNaGee
Ilianza kama zali, akiwa ana finish’ digrii yake MASTERS OF ART IN HERITAGE MANAGEMENT UDSM,kuna ‘kautaratibu’ kila mmoja aje na kautafiti kake, Claudia akawaza kama Chemical (msanii)…akachagua ku ‘risechi’ kuhusu nyimbo wanazotumia Wavuvi
Baharini usiku,mchana,wakati wa hatari, wakati tulivu n.k ,location:Kilwa -Mji
mkongwe.
TAFITI ZA WASOMI ZIPO KABATINI,KWASABABU KUJUA NI JAMBO MUHIMU, NAMNA YA
KUWASILISHA UNACHOJUA NI JAMBO MUHIMU ZAIDI – DR. LUBAO
Kusoma vitabu ni muhimu, lakini Tunakubaliana pia sio lazima wala pekee. Yes, kila mtu ana
namna anayoelewa au kujifunza, kusoma ni namna Moja wapo tu, sio namna pekee. Hili
WASOMI wengi hushindwa kulizingatia, na ndio maana tafiti zetu hazitusaidii.
Hizi ni Aina 20 za ITIKADI zinazotawala Dunia (From Humanism to Totalitarianism) — Ipi unaenda nayo?
Kwenye maisha,kila mtu ana mtazamo wake kuhusu michongo tofauti,na huo mtazamo ndo huamua useme Nini na ufanye Nini,kiujumla UISHI VIPI.
RUNGU LA TRUMP HAVARD LITATUA KICHWANI KWA BINTI WA KIPEKEE WA XI JINGPING ? NINI KITATOKEA?
Trump ametangaza kutembeza ‘Rungu na Panga kali’ kwenye VISA za wanafunzi wa China. Huenda ‘kikamlamba’ Xi Mingze Binti wa pekee wa XI JINGPING rais wa China.GUMZO LIMEANZA! 👇🏾
#PichaLinaanza: OPERESHEN SPIDER WEB, ZAMA MPYA ZA VITA YA KISASA (FULL EPISODE}
Ni kama movie, based on tru story .Wakali wa hizi kazi kutoka jeshi la Ukraine wameibatiza jina Operat-siya Pavuty-nnya (tamka ilivyoandikwa) , kwa kikoloni tunaita Operation Spider's Web kwa kiswahili “Operesheni Utando wa Buibui. Yes, Wahuni walikuwa na mission ya kumtanda Adui ,wakaiweka MOSCOW mtu kati , viwanja vitano vya ndege za kijeshi sebuleni kwa mzee WEKA NDANI (PUTIN) , vinashambuliwa kwa wakati mmoja ,tena mchana kweupe. Kabooom! wahuni wakatafutana, mitandaoni kukazizima, DAUDI kampiga GOLIATI...PICHA LINAANZA .....
PICHA LINAANZA: Kuna kitu wanaita AIPAC ,(American Israel Public Affairs Committee).Hii ni taasisi inayoogopeka na Mmarekani yeyote mwenye 'cha kupoteza' .Wanasema unaweza kumkosoa yeyote USA akiwemo rais wa nchi na mkuu wa Majeshi lakini usithubutu kuigusa AIPAC. YES
#PichaLinaanza: HISTORIA YA PESA NA HATMA YA DOLA YA MAREKANI ($)
Madee kwenye Kibao chake PESA ft Tundaman anasema “Naamini aliyekuumba tayari kashakufa.Maana kalileta janga kashindwa kuziba ufa..Pesa umehalalisha mpaka vitu vilivyopingwa.Pesa umesababisha mpaka TID kafungwa.”
PUTIN vs TRUMP IN ALASKA! KETE ZIMEKAAJE HAPA?
Umeona,umesikia na umesoma mengi kuhusu KIKI la TRUMP na PUTIN ndani ya Alaska. Kuna mambo kadhaa muhimu unafaa kujua .Kwanza kwanini ‘lokeshen’ ni Alaska na sio sehemu nyingine? Pili, MIZANI binafsi imekaaje kati ya WAWILI HAWA?
Watu wengi wanajiuliza kwanini simu ambayo anatumia Benjamin Netanyahu imezibwa camera?
Edward Snowden anasema “they can turn your phone to spy on you, that mic on your phone can be a listening device”
Shuka nayo 🧵👇
NI KWELI OSAMA ALIKUWA PANDIKIZI LA CIA??
"Haijalishi unavyomfikiria lakini ni mtu ambaye hakuwa muoga" unamsikia blaza bro mmoja AFISA kutoka CIA kumwelezea OSAMA.
Chukua popcorn kabisa shuka nayo 👇🧵
HUYU JEFFERY EPSTEIN NI NANI NA
ALIFANYA NINI?
Agiza popcorn 🍿 Linaanza maana ni Picha🧵
“2008 Jeffery alishtakiwa na kuhukumiwa kwa kosa la kumuingilia kinguvu binti wa miaka 14 na hii ilitokana na malalamiko ya mzazi wa huyu binti
KWANINI TIKTOK NI APP YA KULEVYA?
Agiza Popcorn 🍿 kabisa kisha shuka nayo 🧵
Unapofungua TikTok unaamini wewe ndiye umeamua. Swipe ni yako, macho ni yako, muda ni wako. Lakini ukweli mchungu ni huu: kila sekunde unayokaa ONLINE, kuna mashine inakufanyia maamuzi kimya kimya.
Edward Snowden anasema…👇
“Kama hujui kikawaida simu ikiwa ON inaongea na kutuma taarifa nyingi sana bilahata wewe kuigusa wala kujua. Ndio maana hata usipotumia simu lazima chaji itapungua. ili iwe on inahitaji some updates kutoka kwa waongozaji