Top Tweets for #MAADILI
Maadili ya kampuni, kwa Kiswahili.
Hivi ndivyo baadhi ya wanatimu wetu walivyoyataja tunapoadhimisha Siku ya Kiswahili.
#SikuYaKiswahili #AdroitFacilitiesLimited #Maadili
Inaonekana tamaa imepewa jina la mafanikio. Si kila njia ya kufanikiwa ni sahihi kimaadili. #Maadili
Not wise at all. We must choose the next president like people who have learnt the pain of bad choices and impunity. Ruto Must Go is only the first step. The second step is even more important, i.e., someone who will fight corruption, implement the constitution and restore the economy. short of that, there is no point voting.
@MudgeRulf @ReubenKigame Yes please- as you plan to form the best Tag Team, I am looking forward to
#utu
#maadili
#LipoTumaini
@TanzaniaAnalyst Kosa kubwa kupuuza au kudhalilisha maisha ya mtu aliyepoteza maisha kwa kutetea ulichokiamini. Kila mtu ana hadhi na thamani yake, na heshima ya binadamu haiwezi kupokwa. Tujifunze kuheshimu tofauti na historia za wenzetu. #Heshima #Maadili #Utu
We are blessed to have jatelo @ReubenKigame as the incoming 6Th president. Value based leadership, Respect for human dignity and kutekeleza katiba is his business to us. WANTAM is inevitable #Utu #Maadili @ReubenKigame

#MAADILI TRA imeendesha warsha ya uandaaji wa mkakati wa TRA wa kupambana na rushwa na mpango kazi unaofanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 20-21 Januari, 2025. Warsha hii imefunguliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Ndani, Bw. Ndositwe Haonga ikijumuisha wadau mbalimbali

KILIMANJARO: Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala amesema Jamii inapaswa kuanza na Familia katika kutokomeza ukatili kwa Watoto na kusisitiza kuwa Malezi yamepungua kutokana na Wazazi wengi kuweka msisitizo kwenye #Uchumi kuliko #Maadili
Amesema hayo wakati akizindua Kampeni ya โTuwaambie Kabla Hawajaharibiwaโ iliyoelezwa kuwa inalenga kuimarisha ushirikiano wa Jeshi la Polisi na Jamii katika kupambana na Ukatili wa Kijinsia hasa kwa Watoto, kwa kuhakikisha wanaelimishwa na kupewa msaada unaostahili
Naye, Mrakibu wa Polisi, Asia Matauka, ambaye ni Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa amesema โBado juhudi zaidi zinahitajika katika kutoa Elimu ya kupambana na Ukatili wa Kijinsia na kuwa lengo ni kuhakikisha tunatokomeza matukio ya ukatili dhidi ya #Wanawake na #Watoto.โ
Soma https://t.co/kDcygdnsr4
#JamiiForums #HumanRights #ChildRights #WomenRights

#DADAZ: Umewahi kuwekwa kama mdhamini kwenye mkopo na mtu bila wewe kujua? Hiki kimemtokea Mtangazaji wa DADAZ @mwanneothmankamby.
cc @bhokeegina @msnajmapaul @mwanneothmankamby
#EastAfricaTV #DADAZ #Maadili
A wonderful weekend at St. Emmanuel's ACK, Kiambaa, Kiambu County. A great welcome from Pastor Margaret and the community. A great time to pray for the county and the country. #LipoTumaini #Maadili @ajosomotto @WMutunga

Halafu kesho wakiingia pale kijiweni kwao wataanza kuleta habari za Simba na Yanga itagongwa gongwa meeza shwaa issue ya CAG itakuwa imeisha.
#Maadili
#Maadili ya Wanataaluma ni nguzo mojawapo katika kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora za Afya.
Asante sana Prof @furia_francis kwa somo kubwa la Proffesionalism and Ethics ulilotoa kwa Waganga wakuu wa Mikoa wakati wa kikao kazi cha pamoja na Baraza la Madaktari Tanganyika.

#SupaBreakfast kwenye gazeti la #Nipashe wameandika BAKWATA YATUA MIKOANI KUKEMEA USHOGA, KUYUMBA MAADILI YA JAMII.
Ungana na @malickmansoortz, @kissadaniel2 na @exaudwamtei muda huu ndani ya Supa Breakfast ya #EastAfricaRadio
#Bakwata #Maadili #Jamii
...hasa kwa kina mama na watoto.
Mradi huo utasaidia kuimarisha #maadili wilayani Mafia na nchini #Tanzania๐น๐ฟ kwa ujumla.
[3/3]
#TokomezaUkatili
#TACCIxMafiadc
![mafiadc21's tweet photo. ...hasa kwa kina mama na watoto.
Mradi huo utasaidia kuimarisha #maadili wilayani Mafia na nchini #Tanzania๐น๐ฟ kwa ujumla.
[3/3]
#TokomezaUkatili
#TACCIxMafiadc https://t.co/1XWVtcJnku](https://pbs.twimg.com/media/F1ps28daUAUGoQg.jpg)
Elimu ya ukatili wa kijinsia ni muhimu sana kwa watoto wetu ili kuweza kuzuia mabaya katika jamii.
Elimu Bila Mipaka
#imaanprimaryschool #morogoro #watoto #ukatiliwakijinsia #jamii #wanafunzi #polisitanzania #elimu #shule #imaanprimary #maadili #ulinzi #tvimaan #islamicftz
Last Seen Hashtags on Sotwe
publiccockflashing
Seen from Turkey
ometv win
Seen from Malaysia
karovargas
Seen from Brazil
monkeyapp
Seen from United States
sertsikiล
Seen from Turkey
MOMSON MOMSON
Seen from United States
baitedboys
Seen from Canada
teeNager
Seen from Netherlands
EnsmbleTuesday
Seen from Netherlands
ู
ูุงุทุน_ุณูุณ
Seen from Netherlands
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.4M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers
























![mafiadc21's tweet photo. ...hasa kwa kina mama na watoto.
Mradi huo utasaidia kuimarisha #maadili wilayani Mafia na nchini #Tanzania๐น๐ฟ kwa ujumla.
[3/3]
#TokomezaUkatili
#TACCIxMafiadc https://t.co/1XWVtcJnku](https://pbs.twimg.com/media/F1psz5GacAAVK3j.jpg)
![mafiadc21's tweet photo. ...hasa kwa kina mama na watoto.
Mradi huo utasaidia kuimarisha #maadili wilayani Mafia na nchini #Tanzania๐น๐ฟ kwa ujumla.
[3/3]
#TokomezaUkatili
#TACCIxMafiadc https://t.co/1XWVtcJnku](https://pbs.twimg.com/media/F1psx5WacAAWHgj.jpg)
![mafiadc21's tweet photo. ...hasa kwa kina mama na watoto.
Mradi huo utasaidia kuimarisha #maadili wilayani Mafia na nchini #Tanzania๐น๐ฟ kwa ujumla.
[3/3]
#TokomezaUkatili
#TACCIxMafiadc https://t.co/1XWVtcJnku](https://pbs.twimg.com/media/F1psvUlaUAETkYR.jpg)
