Top Tweets for #MAAMUZI
Utawala! #Maamuzi, maamuzi na mengine. #Blockchain sio tofauti! Hebu tuone jinsi hii inatekelezwa katika #Cardano ๐ท na #Ethereum ๐ป. ๐ย
https://t.co/T3Vt2WvW3z
Governance! #Decisions, decisions, and more. #Blockchain is no different! Letโs see how this is implemented in #Cardano ๐ท and #Ethereum ๐ป. ๐ https://t.co/7OhiIXyaoL
Maisha ni mafupi sana kwa marafiki wanafiki; waache na uendelee mbele. #Maamuzi
Kinachokufelisha nikuwang'ang'ania wanaokukataa na kuwaacha wanaokukubali
Duniani kila mtu ana watu ambao hawamkubali , unachotakiwa kufanya nikukubali kuwa hawa hawanikubali then endelea na maisha , komaa na wanaokukubali na usiwachukie wasiokukubali
#Maamuzi
@InnocentGrant ...Mwaisa umeanza kusambaza mabango kimkakatiii ๐ ๐.. #maamuzi smart Vijana na afya ya uzazi.
"Mijadala ya pamoja kuhusu Afya ya Uzazi ni muhimu katika kuhakikisha tunakua na jamii imara na yenye afya na inayofikia malengo yake"
#MaamuziSmati
~ Innocent Grant
Mkurugenzi wa programu - young & alive initiative.

Kuna maamuzi tufanyayo ni sawa na kusubiri #EmbedodochiniyaMnazi. Japo kuna maamuzi hutuletea matokeo sawia na matarajio yetu.
๐Katika kila tulifanyalo akili,hekima, busara & hisia kwa kiasi zituongoze kufanya #maamuzi sahihi yatakayotuletea kesho isiyo na majuto yaliyokithiri.

IJUE KATIBA ya Ijumaa hii ni kutoka Ibara ya 21 (2) inayoruhusu uhuru wa raia katika maamuzi yake na taifa.
#ijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legalgurus #legaltech #justlers #sheriazanchi #katiba #uhuru #maamuzi


#Maamuzi Jaji Tiganga ametupilia mbali mapingamizi ya utetezi.
1. Mawali wa serikali kushindwa kunukuu sheria kwa usahihi, ametupilia mbali, amedai kuwa mazingira hayo yanatibika Mahakamani.
2. Jina la mshitakiwa kukosewa, amedai kuwa haliwezi kuathiri kupokelewa kwa nyaraka.
#MAAMUZI
"Kila unachokiona leo ama kwa uzuri au ubaya wake ni matokeo ya #maamuzi yaliyofanywa wakati uliopita"
Jifunze kuamua vema kwa ajiri yako na wengine pia,acha #ubinafsi
#DailyBread #today'slesson #communityeyes #YOUTH
Kuna wakati kila mtu hugunduwa kuwa haiishi kulingana na matakwa yake mwenyewe bali mazingira ndo hu-select kila kitu...Ipo hivi ni watu wachavhe sana hufanya wao kama wao lakini wemgi wetu hufanya kutokana na familia inataka nini/kuogopa majirani watanionaje.?!๐ค #Maamuzi
Hawa wavulana wa Arsenal ndio watacheza mashindano yote na wanaume wa timu nyinginee
##Maamuzi magumuu ya naitajikaa kwa haraka zaidiii!!!!!!!!Arsenal waziii ##
Usikose kuungana nasi kesho #Alkhamis saa 2 kamili usiku (8 PM EAT) katika kipindi cha #VijanaWetu tukiangazia "chanzo cha watu wenye mahusiano kuingia katika migogoro mpaka kufikia kuchomeana mali?"
#AfricaTV2 #LIVE #VijanaWetu #IdrisMwaita #HarunKhalifa #Migogoro #Maamuzi

@Eddyweeds @issa_255 Tukiwa na uelewa wa pamoja kutakuwa kuna mambo mengi bora.
Kuanzia nyumbani katika #malezi na ufanyaji #maamuzi tutashirikiana sote, kwenye shughuli za #uchumi tutatafuta pamoja na kupunguziana utegemezi,tutaheshimiana na kuthamini mchango wa kila mmoja wetu.
#VijanaNaAmani
Last Seen Hashtags on Sotwe
MexicanMoms
Seen from France
เธฃเธฑเธเธเธฒเธเธฅเนเธฒเธเธฒเธฃเธฒเธขเธเน
Seen from Thailand
sexystump
Seen from Turkey
firedavidellisonanddavidzaslavASAP
Seen from United States
BlissAcoustics
Seen from United States
PitS18
Seen from United States
Arrasamos
Seen from United States
momsonn
teenageer
Seen from Israel
incesto hija
Seen from Ecuador
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.1M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
























