Top Tweets for #MEZANI
#mezani
Fedha za Maafa na majanga ni muhimu, Tanzania sasahivi tumeona fedha nyingi imeelekezwa katika urekebishaji wa miundombinu thabiti ili kukabiliana na athari mbalimbali.
#fedhazamaafanamajanga
#lossanddamagefund

TCRA: TUNA UWEZO WA KUSIMAMIA MAUDHUI MITANDAONI
Brian Kalinga, Afisa Tehama kutoka @TCRA_Tz anazungumza kupitia #Mezani muda huu.
TCRA inasisitiza Ni rahisi kuwa salama mtandaoni. Kwa namna gani? Endelea kutusikiliza na kututazama Youtube EFM Tanzania.
#MEZANI : Unadhani ni kitu gani kinachosababisha vijana wengi sasaivi kupatwa na changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume.
Tuandikie maoni yako.
@Mcheza_forex @nyuki_malkia
@DrMabula @iamcleopatricia
Kesho saa 2 asubuhi Mkurugenzi wa Twaweza atakuja @EfmTanzania
Nimemuomba mtangazaji wa kipindi hicho @ScholasticaMaz1 niwe sehemu ya kipindi hicho.
Naomba nikamuulize ndugu Aidan maswali kutoka hapa Twitter, Nimuulizeje?
Majibu yatapatikana #Mezani kesho.

Semitrailers 10 zinatakiwa za kupeleka mzigo wa kontena 2 za futi 20 kwa kila gari kwenda Kigali...
Ofa ya #Mezani ni USD 3500....KONTENA unaziacha Kigali.... Advance USD 2000...then Dola 1500 ukifika Kigali kabla hujashusha mzigo.
Mwenye gari za uhakika call 0719021683

Other people pick the cues of how they should treatbus from what we send out into the https://t.co/ySe8B1HvZs are you teaching others about how they should treat you ?
#mezani #mezaniwomen #mindshift
As we come into a New Year,let us remember that as women we teach others how they should treat https://t.co/OciK9TTN4u our fight for equality, we have to shift our mindset and see ourselves as deserving of equality.
#mezani #mezaniwomen #mindshift

#ElimuYaKodi Afisa Msimamizi wa Kodi wa #TRA Bw. Zakeo Kowero alishiriki kipindi Cha #MEZANI kinachorushwa na Radio EFM leo 19/12/2020 lengo likiwa ni kuelimisha wasikilizaji juu ya masuala ya #TIN kwa waajiriwa pamoja na uhamasishaji wa ulipaji wa Kodi kwa mwezi Desemba

#Kumnyandua_Demu_Ambae hana #Bikra,, ni Sawa na Kukusanya Vyombo #Mezani😂🤣😂🙌🏻
Ndo ivyo Amna jinsi🙄🙄🙄🙄
Imeisha iyooo🌎🌍🌏💥
Usikose kufuatilia mada inayozungumzia athari za matumizi ya dawa za kulevya na namna muathirika wa dawa hizo anaweza kupata matibabu. Ni katika kipindi cha #mezani cha @efmtanzania kesho Jumamosi saa 2:00 Asubuhi.

Tukipata vijana kama hawa 500 tu tunaisimamisha nchi 🙌
Vita dhidi ya umasikini, Je sekta rasmi na zisizo rasmi zinamshirikisha vipi kijana katika kuondoa umasikini?
Karibu #Mezani tuzungumze

#Mezani leo Haki na ukatili wa kijinsia; Je ni vitu gani vinavyosababisha ugumu wa kesi za ubakaji na ulawiti mahakamani.

#Mezani Je nini nafasi ya kila Mtanzania katika kujenga uchumi wa kati kupitia viwanda?
Toa maoni yako hapa

Kipindi hewani ni #StormAsubuhi hadi saa nne kamili,ukiwa nami Paul William na leo kupitia #Mezani tunazungumza;... https://t.co/FV0dmFDPwD
Je, Unadhani wapiga debe wanatoa msaada au wanaleta usumbufu kwa abiria wanaotumia usafiri wa daladala?
#Mezani shea nasi maoni yako

#Mezani Je hatua ya mahakama kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa Rais nchini Kenya inatoa picha gani kwa mwenendo wa siasa za Afrika?
Je jamii inazingatia matumizi mazuri ya muda katika shughuli za kujiletea maendeleo?
Karibu #Mezani

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers














