Top Tweets for #MSAMAHA
๐ต๐ Mwanamuziki Bahati ameomba msamaha kwa mashabiki wake na jamii ya Kikristo baada ya matukio ya hivi karibuni. Alikiri makosa na kuahidi kuboresha tabia zake.
Soma zaidi: ๐ https://t.co/k7WZEJqqKE
#Bahati #KenyaMusic #Mashabiki #Msamaha #Burudani #Kikristo
#CHUMA UJIRA MWINGI KWA AJILI YA NAFSI YAKO KWA KUWAOMBEA #MSAMAHA(MAGHFIRA) NDUGU ZAKO KWA ALLAH ๐๐ฆ
Kuwaombea msamaha(maghfira) waislamu mwenzako...unaandikiwa thawabu au ujira kwa kila muislam uliemuombaea...awe yuko hai au amekufa
๐ซด>> kama duniani wako waislam hai bilion 2 utapata malipo mfano wake
๐ซด>> kama waliokwishakufa ni trillion ..basi malipo mfano wake
_idadi ya waliohai na waliokufa anawajua Allah pekee...usidharau kuomba dua hii kwakua malipo yanakurudia weww mara dufu
kutoka kwa สฟUbฤdah bin al-แนขฤmit (radhiya Allahu สฟanhu) kwamba;
Mtume (ุตูู ุงููู ุนููู ูุณูู
) alisema:
โAtakayemuombea msamaha muumini mwanamume na muumini mwanamke, Allah atamwandikia thawabu moja kwa kila muumini mwanamume na mwanamke(aliowaombea).โ
[[_Imepokelewa na al-แนฌabarฤnฤซ kwa isnฤd (mlolongo wa wapokezi) mzuri_]]๐
ุนู ุนูุจุงุฏุฉ ุจู ุงูุตุงู
ุช ุฑุถู ุงููู ุนูู ูุงู:
ูุงู ุฑุณูู ุงููู ุตูู ุงููู ุนููู ูุณูู
:
" ู
ูู ุงุณุชุบูุฑ ููู
ุคู
ููู ูุงูู
ุคู
ูุงุชุ ูุชุจ ุงููู ูู ุจูููู ู
ุคู
ูู ูู
ุคู
ููุฉ ุญุณูุฉู "
ู
ุฌู
ุน ุงูุฒูุงุฆุฏ (ูกู /ูขูกู ) ุ ูุตุญูุญ ุงูุฌุงู
ุน (ุฑูู
:ูฅูฉู ูฆ) ุ ูุงูุธุฑ ุชุนููู ุงูุดููุงูู ุนูู ูุฐุง ุงูุญุฏูุซ ูู ุชุญูุฉ ุงูุฐุงูุฑูู (ุต:ูฃูขู ) .]
๐ูุชุงุจ: ููู ุงูุฃุฏุนูุฉ ูุงูุฃุฐูุงุฑ
[ุนุจุฏ ุงูุฑุฒุงู ุจู ุนุจุฏ ุงูู
ุญุณู ุงูุจุฏุฑ]
#DUA YENYEWE NI MAARUFU KWETU INAYOSEMA;
"ุงูููู
ุงุบูุฑ ููู
ุคู
ููู ูุงูู
ุคู
ูุงุช ูุงูู
ุณูู
ูู ูุงูู
ุณูู
ุงุช ุงูุฃุญูุงุก ู
ููู
ูุงูุฃู
ูุงุช "
"Ewe Allah wasamehe waumini wa kiume na waumini wa kike na waislamu wanaume na waislam wanawake walioa hai miongoni mwao na waliokufa"
โ๏ธ_NA HII IMEKUJA KWENYE QURAAN AYA KADHAA ZIKIAMRISHA KUOMBEANA MMSAMAHA KWA ALLAH; ๐
Na akasema Allah akimwamrisha Mtume wake Muhammad
(Swalla Allahu สฟalayhi wa sallam):
{Basi jueni ya kwamba hapana mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na omba msamaha kwa dhambi zako, na kwa #waumini wa kiume na wa kike} [Muแธฅammad: 19].
Akasema kuhusu Nลซแธฅ (alayhi as-salฤm):
{Ewe Mola wangu! Nisamehe mimi, na wazazi wangu,na #atakayeingia nyumbani kwangu akiwa muumini, na waumini wa kiume na wa kike} [Nลซแธฅ: 28].
Na akasema kuhusu Ibrฤhฤซm (alayhi as-salฤm):
{Ewe Mola wetu! Nisamehe mimi na wazazi wangu na #waumini siku ya kuhesabiwa }
[Ibrฤhฤซm: 41].
MAELEZO YA SHEIKH #ABDURAZAAK ALBADRI( hafidhahullah)
_*_*๐ฆ๐ anasema ;
Tafakari, ewe unayerehemewa na Allah,ukubwa wa ujira huu unaopatikana kutokana na dua hii na wingi wake. Muislamu anaposema katika dua yake:
โEwe Mola, wasamehe Waislamu wa kiume na wa kike, waumini wa kiume na wa kike, walio hai miongoni mwao na waliokufa,โ
๐ซดanapata thawabu kwa kila mmoja wa Waislamu na waumini โ wa mwanzo na wa mwisho.
Hizi ni thawabu zisizohesabika, kwani idadi ya Waislamu wa zamani na wa sasa haiwezi kuhesabiwa isipokuwa na Allah tu,
Kwa sababu hii,dua hii tukufu imo miongoni mwa dua za Manabii, na Allah alimwamrisha Mtume wake wa mwisho, Muhammad (Swalla Allahu สฟalayhi wa sallam), aitumie.
Allah aliitaja katika sifa njema alizowapa waja Wake waumini.
---
Na amesema Allah kuhusu waja Wake waumini waliokuja baada ya Muhฤjirฤซn na Anแนฃฤr:
{Na wale waliokuja baada yao husema: โEwe Mola wetu! Tusamehe sisi na #ndugu zetu #waliotutangulia kwa imani, wala usijaalie chuki mioyoni mwetu dhidi ya wale walioamini. Ewe Mola wetu! Hakika Wewe ni Mpole na Mwingi wa Rehema.โ}
[Al-แธคashr: 10]
Hivyo basi, huu ni mlango mkubwa wa kheri,na njia pana ya kujikusanyia thawabu nyingi kwa njia rahisi.
Mtu anaposema mara moja tu:
"ุงููููููู
ูู ุงุบูููุฑู ููููู
ูุคูู
ูููููู ููุงููู
ูุคูู
ูููุงุชู"
โ
โEwe Mola, wasamehe waumini wa kiume na wa kike,โ
Allah humwandikia thawabu moja kwa kila muumini mwanamume na muumini mwanamke, kutoka zama zote โ waliotangulia na waliokuja baadaye, waliopo na waliokwisha fariki.
Ni thawabu kubwa mno zisizohesabika, kwani hakuna ajuaye idadi yao isipokuwa Allah.
Hii ni fursa kwa mwenye akili na mwenye kutaka kheri na thawabu โ asiachane na dua hii, wala asione kuwa ni jambo dogo. Bali, aendelee kuirudia mara kwa mara katika nyakati za ibada, mfano katika:
๐น๏ธSehemu za mwisho za Swala,
๐น๏ธKatika usiku wa tahajjud,
๐น๏ธKatika Sujลซd,
๐น๏ธNa katika nyakati ambazo dua hukubaliwa.
My first love alinighost na nataka kujua sababu. #Msamaha #Staarabika
Full video on YouTube: https://t.co/TMecHsiHjP
#Msamaha
Endelea kusalimisha Silaha haramu kwa hiari katika kipindi hiki cha msamaha na hutachukuliwa hatua zozote.

Ukikosea omba #msamaha, Usijifike kiburi cha kujiona kila mtu unaweza kupata #mbadala wake. Kwa umri ulionao ni hatari kubwa sana kupoteza watu #wathamani kwenye Maisha yako ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐

"Ijumaa Kuu ni siku ya kipekee inayotuletea ukumbusho wa upendo, rehema na msamaha. Tupate kutafakari na kujitafakari leo. #IjumaaKuu #Upendo #Msamaha"

Hizi ni baadhi ya mashine zilizo pata #MSAMAHA wa #USHURU wa forodha kwa 100%
Hiki ni kiwanda (UWEKEZAJI) cha kukamua alizeti Wildflower Grain and Oil Mills Company Limited kinachomilikiwa na #MTANZANIA hapa Singida
#MamaYukoKazini
#changamkiafursa
#2024mwakawauwekezaji

Hizi ni baadhi ya mashine zilizo pata #MSAMAHA wa #USHURU wa forodha kwa 100%
Hiki ni kiwanda (UWEKEZAJI) cha kukamua alizeti Wildflower Grain and Oil Mills Company Limited kinachomilikiwa na #MTANZANIA hapa Singida

Hizi ni baadhi ya mashine zilizo pata #MSAMAHA wa #USHURU wa forodha kwa 100%
Hiki ni kiwanda cha kukamua alizeti Wildflower Grain and Oil Mills Company Limited kinachomilikiwa na #MTANZANIA hapa Singida
#changamkiafursa
#2024mwakawauwekezaji

Hizi ni baadhi ya mashine zilizo pata #MSAMAHA wa #USHURU wa forodha kwa 100%
Hiki ni kiwanda (UWEKEZAJI) cha kukamua alizeti Wildflower Grain and Oil Mills Company Limited kinachomilikiwa na #MTANZANIA hapa Singida
#tunaweshakuwekeza
#changamkiafursa
#2024mwakawauwekezaji

#SamiaKazini #Msamaha #Upendo #Kujali
RAIS SAMIA ASAMEHE WANANCHI WALIOSHINDWA KULIPA FEDHA YA PANGO
Katika kujenga mazingira rafiki ya kuwezesha wananchi kuitikia wito wa kulipa kodi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan alitoa msamaha wa kulipa deni la msingi bila riba kwa kipindi cha kuanzia Julai 2022 hadi Aprili 2023.
Msamaha huo umewezesha kulipwa kwa deni la msingi la kiasi cha shilingi bilioni 38 ambapo jumla ya wamiliki 15,986 wamesamehewa kiasi cha shilingi bilioni 27. #SisiTumekubali #MamaYukoKazini

#MSAMAHA
Haimaanishi nikikusamehe ndio niwe Karibu na wewe. HAPANA. msamaha ni kama dhambi tu unapotubu unatengeneza mazingira ya kuacha kufanya dhambi, hata msamaha unapotolewa lazma kupunguza ukaribu ili kuepuka kukoseana tena
https://t.co/xhTdE4fjF6
#NewProfilePic #TuesdayFeeling #msamaha #fypใท #allocutionpresidentielle #Starship

Last Seen Hashtags on Sotwe
gazianteptravestileri
Seen from Turkey
Bijalabi
Seen from United States
kayseribayan
Seen from Turkey
minichat
Seen from Netherlands
amateurinterracial
Seen from Turkey
SIZLIYOR
Seen from United States
dogsex
Seen from Germany
snapchat
Seen from Germany
binor colmek
Seen from United States
omegle()+video
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers





























