Top Tweets for #Mbashara
πΉπΏ#UhamiajiTv πΉπΏ#Mbashara
Karibu Kufuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja (Live) kupitia Uhamiaji TV Mkutano Mkuu wa Mwaka wa UHAMIAJI SACCOS leo tarehe 12 Desemba 2024, (TRITA) Mgeni Rasmi ni Mlezi wa Uhamiaji SACCOS Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania (CGI) Dkt. Anna Makakala.

#Mbashara
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi leo kuzungumza na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari.
Muda: saa 5 asubuhi.
#TunazimaZoteTunawashaKijani

#Mbashara
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi, Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari.
Muda: saa 5 Asubuh.
#ChamaImaranaSSH
#KaziIendelee

Ligi Kuu Zanzibar inaanza rasmi Septemba 6, 2024, burudani ya soka la visiwa vya Karafuu utaishuhudia LIVE hapa hapa #AzamTV
Mechi moja itapigwa kesho, JKU wakianza nyumbani dhidi ya Inter Zanzibar kuanzia saa 10.00 jioni #Mbashara #ZBC2
#AzamTV #PBZPremierLeague

Kaa tayari kwa Ijumaa ya SIFA ZA MOYONI #MBASHARA kutoka Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mawemeru - Nyarugusu, Geita kuanzia saa 12:30 jioni hadi saa 2:30 usiku na The Light Bearers Tv. @thelightbearerstv
#thelightbearerstz #LBTv #SoulfulPraises #SifaZaMoyoni #friday #ijumaa

#AzamTV ni WAKUBWA na Julai 16, 2024 tutakwenda kuonesha ukubwa wetu! Ni uzinduzi wa vifaa vipya na vya kisasa kabisa vya kurusha matangazo ya televisheni pamoja na uzinduzi wa VAR kwa ajili ya msimu ujao wa SOKA.
#LindaRimoti yako, itakuwa #Mbashara #AzamSports1HD kuanzia saa 3.00 asubuhi.

#Mbashara! #Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi!
#BajetiYaWizayaMamboYaNdani2024/2025
Uhamiaji Tv #MjadalaWaHotubaYaBajeti2024 https://t.co/BKEMkByUV8 via @YouTube
Muda huu @azamfcofficial na @azampesa wanajambo lao mbashara kupitia chaneli ya #AzamSports1HD.
Endelea kufuatilia....
#Mbashara #AzamFCAzamPesa

SIMBA SC WAKO LIVE: Endelea kufuatilia matangazo #mbashara ya utambulisho wa Kocha Mpya wa Simba SC na Benchi lake la Ufundi muda huu kupitia #AzamSports1HD
#SimbaPress

JOTO LA KARIAKOO DERBY: Kwa unavyowasikia hawa ni nani anahoja?
Ni kuelekea mechi ya Simba SC dhidi ya Yanga SC itakayochezwa Novemba 5, 2023 katika Dimba la Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni #mbashara kupitia #AzamSports1HD
Kwa kifurushi cha kuanzia shilingi 25, 000 tu unafaidi burudani hii.
(Imeandikwa na @anoth_paul )
#NBCPremierLeague #SimbaYangaSC #KariakooDerby2023
Leo Simba SC atakuwa dimbani kuzisaka alama tatu dhidi ya Ihefu SC kwenye NBC Premier League.
Je atauweza 'mfupa' huu uliowashinda wengine?
Mechi hii itachezwa saa 1:00 usiku #mbashara #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @anoth_paul )
#NBCPremierLeague #LigiKuu #SimbaSCIhefuSC

Usikose kufuatilia Mkutano wa Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika, Patrice Motsepe na Waandishi wa Habari leo ifikapo saa 7:30 mchana huu #mbashara kupitia chaneli ya #AzamSports1HD.
#CAFPress #CAFPresident #PatriceMotsepe #AzamSports @afl_africa @CAF_Online

"Al Ahly tumeshamfunga sana, safari hii tunataka kumuondoa kwenye mashindano" Ahmed Ally kwenye muendelezo wa hamasa ya kuwaita mashabiki uwanjani kwaajili ya mchezo wa ufunguzi AFL dhidi ya Al Ahly.
Mechi hii itachezwa Oktoba 20, 2023 saa 12:00 jioni #mbashara #AzamSports1HD
(Imeandaliwa na @anoth_paul )
#AFL #SimbaSCAlAhly #BenjaminMkapa #HamasayaSimbaSC
MAPUMZIKO | #NBCPL bado ngoma ngumuβ¦
HT: JKT Tanzania 0-0 Kagera Sugar
Iko #mbashara #AzamSports1HD
#NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #NBCPL #LigiKuuYaNBC #SokaLetuBambam #JKTanzania #KageraSugar #JKTTanzaniaKageraSugar

15β| #NBCPL
JKT Tanzania 0-0 Kagera Sugar
Iko #mbashara #AzamSports1HD
#NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #NBCPL #LigiKuuYaNBC #SokaLetuBambam #JKTanzania #KageraSugar #JKTTanzaniaKageraSugar

VITASA: Mkuu wa Wilaya ya Tanga, James Kaji awataka mashabiki kumuunga mkono Bondia Hassan Mwakinyo kuelekea pambano lake dhidi ya Mnamibia, Julius Indongo kwenye usiku wa #TheReturnOfChamp Ijumaa hii.
Kesho mabondia wote watakaopanda ulingo watapima uzito #mbashara #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @anoth_paul )
#Vitasa #TheReturnOfChampion
Last Seen Hashtags on Sotwe
kissing
Seen from Thailand
omegle
Seen from Pakistan
γγ³γγ«γγ°γ
Seen from Japan
momson()*** filter:native_video
Seen from Netherlands
Omegle() + filter:videos
Seen from Chile
ShoutMGB
Seen from United States
Ω
ΨΉΩΨ΅ΩΩΨͺΩΩΩ_Ψ±ΨΩΨͺΩΩΩ°
Seen from Argentina
babecock
Seen from United States
εθ¦
Seen from Japan
GEMINIUS
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers









