Top Tweets for #MimiMars

#BURUDANI Msanii wa muziki na muigizaji @mimi_mvrs11 anasema wakati anapatiwa matibabu Hospitalini alikuwa harusiwi kutembelewa na kutumia simu.
#FridayNightLive #FNL #MimiMars
Chuga Queen @Mimi_mvrs11 amefunguka chanzo cha ukimya wake kilichosababishwa na ajali ya gari ambayo ilimletea matatizo ya kichwa.
#FridayNightLive #FNL #MimiMars
#BURUDANI Wasanii wote hawa wa kike kutoka 93.7 Arusha #MimiMars #DipperRato #NallyChugaPrincess na #TrixyTonic wanaitaka ile title ya 'Chuga Queen'.
Unahisi nani itamfaa zaidi kuwa Chuga Queen kati yao?
#FridayNightLive #FNL @tbway360 #Billsepengaa @ConnieBeily
✨BOOMFRESH✨
Hii ni kutoka kwake @MimiMvrs_11 akisema #HakunaNoma 🔥🚀
Stream kwenye app ya Boomplay hapa ▶ https://t.co/kQO6089b5i
#HomeOfMusic #MimiMars #NewMusic #Boomplay

✨BOOMFRESH✨
Say hello to the new sound kutoka kwake @Mimi_Mvrs11 iitwayo #TillIDie 🔥
Stream kupitia app ya Boomplay hapa ▶ https://t.co/YSSuJfSde7
#homeofmusic #boomfresh #mimimars #newmusic

Dada wa mwanamuziki #MimiMars @VanessaMdee amejitokeza kutoa taarifa juu ya afya ya mdogo wake ambaye tetesi zimekuwa zikisambaa mtandaoni kuwa amepata ajali mbaya ya gari
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Vanessa Mdee amefunguka kuwa "Mimi Mars anaendelea vizuri kwa sasa na familia ingeomba kupewa faragha katika kipindi hiki"

Wasanii wa kike waliofanya vizuri 2023 (BongoFleva)
📍@officialzuchu
📍@officialnandy
📍#Phina
📍#Yammi
📍#Appy
📍#Mimimars
📍#Mauasama
📍#Rosaree
📍@JideJaydee
📍@luludivatz
According to Me🔝🎧
#BURUDANI @officialnallytz anasema raia wa Arusha ndio wanatakiwa kuchagua nani anafaa kuwa Malkia wa Arusha 'Chuga Queen' kati ya #MimiMars na #DipperRato.
#eNewz @ConnieBeily
#BURUDANI Queen Of The Dancehall @dipper_rato amempinga #MimiMars kutumia jina la 'Chuga Queen' kwa sababu hana utawala na hakai Arusha.
#eNewz
#BURUDANI @Mimi_Mvrs11 amefichua mipango ya dada yake #VanessaMdee kutamani kurudi Tanzania baada ya kuhamishia makazi yake nchini Marekani.
Interview nzima na Mimi Mars tayari ipo Youtube ya #EastAfricaTV.
#Tanzania #USA #MimiMars #VanessaMdee
#BURUDANI Chuga Queen @Mimi_Mvrs11 ameikataa kauli ya #RomaMkatoliki kusema #Beyonce anafaa kuwa 'Role Model' wa mahusiano ya mastaa wa kike Bongo.
Interview nzima na Mimi Mars tayari ipo Youtube ya #EastAfricaTV.
#MimiMars #RomaMkatoliki #Beyonce #Music
#BURUDANI @Shneida_Infos anasema kwa urembo huu wa Chuga Queen @Mimi_Mvrs11 anafaa kuwa msanii mrembo zaidi wa kike Tanzania upande wa filamu na muziki kwa sasa.
YES or NO?
Hizi hapa ni picha zake 4 ndani ya Planet Bongo mchana wa leo.
#MimiMars #BongoMovie #BongoFlavour

#BURUDANI Chuga Queen @mimi_mvrs 11 amejibu kwanini wasanii wa kike hawaonekani sana kwenye shows za Chaka to Chaka kama wasanii wa kiume.
#PlanetBongo #OFFAIR #MimiMars @lesa_sid @rich_msafii @piwamagic
#BURUDANI Mwanamuziki @mimi_mrvs11 ameshea nasi vitu ambavyo hawezi kuvifanya kwenye maisha yake kama kubadilisha dini sababu ya mwanaume na kuolewa mke wa pili.
#PlanetBongo #OFFAIR #MimiMars @lesa_sid @rich_msafii @piwamagic
#BURUDANI @mimi_mvrs11 anasema kwenye hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye ana tabia ya kupiga wanawake.
Ni mtu wa aina gani huwezi kudate naye?
#PlanetBongo #OFFAIR #MimiMars @lesa_sid @rich_msafii @piwamagic
#BURUDANI Mwanamuziki @mimi_mvrs11 amefunguka alivopitia ugonjwa wa Afya ya Akili bila kujua kipindi cha nyuma.
#PlanetBongo #OFFAIR #MimiMars @lesa_sid @rich_msafii @piwamagic
Last Seen Hashtags on Sotwe
PriyankaArulMohanhot
Seen from Singapore
Hugosagi
NOlimit filter:videos
Seen from Peru
tscd
Seen from Vietnam
aumentodepene
Seen from Colombia
サリーさんの恐い部屋怪異の証言amazonで発売中です
Seen from United States
Estiempodeorar
Seen from United States
omegle #nolimit()***
Seen from Germany
王者榮耀cos
Seen from Japan
stepmom
Seen from Saudi Arabia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers











