Top Tweets for #Mkito
Kama kawaida, hatupoi. Tunakudondoshea ngoma mwanzo mwisho, na hapa unakutana na @BEKATHEBOYOFF1 na ngoma inaitwa DORO
Unataka kujua ina nini? Tembelea #Mkito hapa kuipata: https://t.co/diuSznRvAj
Pia unaweza kuisikiliza moja kwa moja kupitia #MkitoApp sasa.

Wakati tunaanza wikiendi na burudani ya ngoma kali @timmytdat, @iamrubyafrica na Rostam wao wanajiuliza 'WHY ME?'
Kwanini wanajiuliza? Sikiliza ngoma yao hii kupitia #Mkito hapa: https://t.co/JQAnKQk0sW

Tumekubaliana mwezi huu ni ngoma juu ya ngoma na mji haupoi. Hii hapa nyingine kali toka kwa @DamianSoulMusic na ni ya moto kweli, yaani FIRE FIRE. Kama vipi karibu #Mkito sasa usikilize ngoma hii.
Link: https://t.co/d3hBAhcph1

YES! Mkali wa sauti na mashairi mazuri @GraceMatata amekuja tena na wimbo huu mzuri kwa jina BABY.
Pata wimbo huu EXCLUSIVE kupitia #Mkito hapa: https://t.co/vCqqzCVyiz

WIMBO WA SIKU! Ni kutoka kwa NANCY HEBRON wimbo unaitwa HERI HERI.
Pata wimbo huu sasa kupitia #Mkito hapa: https://t.co/bJwycFRlL6

Mara nyingine mapenzi yanaweza kukuachia KIDONDA ila baada ya muda utapona tu. Sikiliza KIDONDA toka kwa @IddiSinger kupitia #Mkito sasa.
Tembelea link hii: https://t.co/FeXYfBdJHH

Msimu wa mapenzi unakwenda sawa na muziki mkali toka #Mkito na internet yenye kasi ya @VodacomTanzania. Swali kwako mdau, kwa maoni yako wasanii gani wametoa wimbo bora wa mapenzi wa pamoja?
(Mfano: Navy Kenzo - Morning). #MkitoApp

Hii ndio season ya mapenzi kila kona. Kutana na Masta wao @AyTanzania akiwa na @VICTORIA_KIMANI na @djmekzy kwenye ngoma kali, LOVING YOU.
Tembelea #Mkito sasa kuipata: https://t.co/ftVw4rUNJW
Mapenzi yakikushika ipasavyo ni kama KIKOHOZI tu, hayazuiliki.
Msikilize @NancyAssey akitoa ya moyoni kwenye ngoma yake hii.
Ipate kupitia #Mkito sasa: https://t.co/rxyHyHJqYz

Mwaka unazidi kupendeza na ngoma kali mapema tu. Hii ni kutoka kwa @anapitatz kwa jina TUNAENDANA.
Tembelea #Mkito sasa kuipata kupitia link hii: https://t.co/lmfuun3gfI

@kazungumwinyi I literally read a whole 'kamusi' before coming to your show π #Kiswahili on π― lol
{ Go check out my EP - OWE
#OneWomanEmpire available on #Applemusic #itunes and #mkito . Some of the songs are also on #YouTube π https://t.co/FHE89x0VtY
Thank you so much guys π #Mpenzi is at top streams on #mkito Cc @mkitodotcom β€οΈ ( who knewΒΏ)
Keep streaming #OWE Ep π€ Available on other platforms as well π₯

Go Sell Your Music
#Songtradr, #SoundCloud, #ReverbNation, #jmexclusives, #josephMucira, #josephmuciraexclusives, #Mkito, #YouTube, #Audiomack, #Bandcamp, #Spotify, #Vimeo, #Tidal, #SimfyAfrica, #Spinlet, #Tigo, #iRoking, #Vuga, #Mziiki, #Mkito, #Orin, #LasGidiTunes, #mdundo

#mkito #mkitopicks #milele #agollamusic #agolla #SoulMusic #boomplay #soundcloud #mdundo
Kenyaπ°πͺ to the world
Milele Visuals π in bio https://t.co/4ACTedkrvu
@onetheincredibl @bill_nass Ya tukienda kwa support hii baina ya wasanii basi tutegemee hapo baadae kusikia records breacking yaan msanii wetu ame hit 1 mil streams on #boomplay au #mkito ,bravoo 2 u guys JAH BLESS OUR SAGA
Milele is now available on #Mkito
Video link on bio
#Agolla
#AgollaMusic @ Nairobi, Kenya https://t.co/bMq49FKtOc
I was cooking in the stu you was cooking for your boo π€
#YourBoyfriend challenge β‘ ( #OWE Ep iTunes link on bio π₯ also on #youtube & #mkito https://t.co/LPLhjX646w
Last Seen Hashtags on Sotwe
CantonFair133
Seen from United States
wpww
Seen from Canada
BlackTwitterAtTheMovies
Seen from United States
ι²εΊ
Seen from Germany
Ω
Ψ΄Ψ§ΩΩΨ±_Ψ―Ψ¨Ω
Seen from Jordan
konyapasif
Seen from Italy
BlazersAcademy
Seen from United States
θζζ΄θͺηη₯2021
Seen from United States
CCiardi
Seen from United States
COP16
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.5M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers







