Top Tweets for #Mpunga
Mavuno yamefika!
Dhahabu nyeupe imejazwa.
Bidii inalipa!
Mwaijande legacy inaendelea
#Mpunga
KUMBE OCT 29 TZ🇹🇿 WATU WALITIK #MPUNGA MREFU SANA ILI KUFANIKISHA YALE #MAANDAMANO YA KIHALIFU⁉️🤣
>>CNN HAWAJAANZA KUFANYIA KAZI HUU UCHUNGUZI⁉️
🔹️SASA NDIO ITAKUAJE KWA MAASKOFU WA TEC ⁉️🤣

#MPUNGATIPS
Jamaa msimu wa 2023/24 alivuna eka moja gunia 55 za #mpunga,
Kwa maeneo yao wapo wanavuna mpaka gunia 60 per eka,
Wewe mkulima wa mpunga mara ya mwisho msimu gani umevuna gunia hata 40 per eka au hata jirani yako?

Mavuno ya #mpunga hapa ndio eneo linakula FAIDA kwa mtu anaelima Mpunga
eka moja tu vurugu zake mpaka unashona inaweza ku cost zaidi ya 400k,
Ndiyo maana PEASANTS wanaouza baada ya kuvuna tu, wengi wao wanaendelea kuwa watumwa wa hiki kilimo.
📸 @ThomasJosephat3

Jeudi 22 Août : Le ministre provincial #Jackson #TSHIMANKINDA #MPUNGA a eu un échange avec les opérateurs économiques oeuvrant dans le secteur pétrolier En vue d'assainir ledit secteur et maximiser les recettes dans le compte du trésor public .
@daniel_bumba_01
@TshimankindaTMJ

🌾 Waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe akiwa kwenye ziara ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Morogoro leo Agosti 5, 2024 amesema Wakala wa hifadhi ya chakula NFRA itaanza kununua mpunga kwa sh. 900 kwa kilo kutoka kwa wakulima kutoka sh. 570 ambayo ni bei ya sokoni. #MPUNGA🇹🇿

Sincères Félicitations au Fédéral #Jackson #MPUNGA #TSHIMAKINDA, Nommé Ministre provincial des mines, hydrocarbures et portefeuilles de la ville de Kinshasa.
Et remercions le gouverneur #Daniel #BUMBA #LUBAKI pour cette confiance.
@daniel_bumba_01
@TshimankindaTMJ

#MPUNGATIPS
#Mavuno hatua inayoua mitaji na kuwakatisha tamaa wakulima peasants wa #Mpunga Tanzania,
Wengi wao wanaolima eka 2 ~5 hurudi na take home gunia 8~15 sababu ya madeni kuanzia mwanzo wa msimu mpaka mavuno.
#MapangalaMbaraliMbeya

The nasty ‘funeral exchange’ between @HEBobiwine and @AbedBwanika is very telling of the ugly cracks inside @NUP_Ug ! I really wonder what @MathiasMpuuga felt when he witnessed powerful men fighting over him in public. NUP is so gay!


#MpungaTips
#Mafuriko
Maji yamesomba eka 25 za #Mpunga wa jirani yangu na ulikua na wiki 9 toka umepandwa na alishaweka mbolea ya kukuzia mifuko 25,
Kilimo ni zaidi ya RISK game bt kinalipa.
@NarcoMbarali

#MPUNGATIPS
Usijepoteza muda wako unaingia kwenye kilimo cha #Mpunga kwa kuanza na eka 2 then utegemee kuja kufika eka 20,
Kwa mifumo na SERA za hii nchi ni ngumu sana
#MpoloMbaraliMbeya

#MPUNGATIPS
Uhitaji wa mchele Tanzania kwa mwaka ni tani 2.7 milioni na kiasi,
Morogoro inaongoza kwa kuzalisha #Mpunga mwingi inazalisha tani 900k
Mikoa ya Rukwa,Tabora na Shinyanga kwa pamoja wanazalisha tani 650k
#IjumbiMbaraliMbeya

#MpungaTips
Hatua inayogharimu na kula faida ya wakulima wengi wa #Mpunga ni MAVUNO,
~Usikope ela ya RIBA ili uvune Mpunga wako
~Usiuze Mpunga kwa hasara ili upate ela ya kuvunia,
Ukiweza kumudu pesa ya MAVUNO utailinda FAIDA yako yote.
#MahangoMbaraliMbeya

#MpungaTips
Mnyororo wa thamani katika zao la #Mpunga haya ndio maeneo yenye tija zaidi yakigawana 100%;
~Kulima zao lenyewe 25%
~Kununua Mpunga 30%
~Kukopesha cash na Mpunga 10%
~kuuza pembejeo zake 15%
~Kuvunisha kwa Combine Harvester 20%
#MapemeleheMbaraliMbeya

#MpungaTips🏏
Kijana anaomba ushauri:
“Kaka nina mtaji wa 7M;
~Je niingie shamba nilime eka 10 zinipe gunia 200+ za Mpunga?
~Niwekee Fedha nije kununua #Mpunga Cash msimu wa mavuno gunia 100+”?
#MbaraliMbeya

#MpungaTips
MBEGU YA 🌾🌾 MWENDA MBIO NA TANGATANGA (PESA YA HARAKA)
Hizi ni mbegu 2 za #MPUNGA zenye sifa ya kuwahi KUVUNA
Ukipanda Jan 2 mavuno May 5+ na bei zake kwa gunia la debe 6 kwa misimu hii 3 ilifika 150k~170k
🏏 ~Shamba liwe barabarani
~Mavuno yake ni kiduchu

#MpungaTips🏏
~Anaefanya biashara ya kununua #Mpunga na kuuza ana 85% ya uhakika wa uwekezaji wake
~Anaelima #Mpunga moja kwa moja shambani ana uhakika wa 75% ya uwekezaji wake na huyu ni yule aleyekidhi vigezo vyote shambani ambao hawafiki 30% ya wakulima wote.
#MbaraliMbeya

Last Seen Hashtags on Sotwe
congresscrisis
Seen from United States
omegle
Seen from United States
nolimits() mgai
Seen from Guatemala
IchiHime
Seen from United States
lo鞋
Seen from Japan
CPPLuxury
Seen from United States
SamanthaClifford
Seen from United States
Sissygasm
Seen from Russia
Quneitra
Seen from United States
RAVNisfree
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers














