Top Tweets for #MpungaTips
#MPUNGATIPS
Kwa hali ilivo huu msimu wakulima hawana mbegu mvua imeficha black na muda ushakimbia,
Kwa sasa ukibahatika kupata mbegu ya Mpunga eka moja inaenda 400k to 600k na still kuipata issue,
Hapa nikijilipua niuze hizi mbegu hamna hamna sikosi 8M ~10M
#MbuyuniSchemes

#MpungaTips
Dec nilijilipua nikakimbizana na maji ya kuwahi nikazichapa mbegu eka 23,
Majirani wakaniona na pupa Kumbe mvua za miaka hii zinataka kuwahi kupanda,
Now mvua zimekimbia wiki ya 2 mbegu zimeungua na maji hata ya kuanzia kazi shamba hawayaoni.
#MabadagaMbaraliMbeya

#MpungaTips
Uchaguzi umesimamisha kupanda bei ya mchele,
Hope Nov upepo utavuma tumalizie kukoboa mpunga
#NgasoGodownMbarali

#MPUNGATIPS
Jamaa msimu wa 2023/24 alivuna eka moja gunia 55 za #mpunga,
Kwa maeneo yao wapo wanavuna mpaka gunia 60 per eka,
Wewe mkulima wa mpunga mara ya mwisho msimu gani umevuna gunia hata 40 per eka au hata jirani yako?

#MPUNGATIPS
Gunia 400 za Mpunga mashineni (Go down) kwa sasa sh 40M,
Gunia 400 za mahindi Go down tsh 24M
⚖️Bajeti ya kulima haya mazao kwa miaka ya sasa inapishana kidogo sana hasa kwa wanaokodi shamba.
#MadibiraMbeya

#MPUNGATIPS
Watu wengi huu msimu wamechukua mzigo benki na kununua mipunga kwa bei juu wameweka store,baada ya kuona uhaba wa Mpunga nchini,
Wote wamepiga hesabu bei kuwa juu hapo baadae,
🏏Kitu nawakumbusha kuanzia Dec au Jan WATAWALA wanaweza kuleta mchele wa THAILAND

#MPUNGATIPS
Mchele Super kg 1 Dar tsh 2800/= to 3200/=
Mbeya mashineni Mbarali kg 1 tsh 2400/=
Kusafirisha kg 100 tsh 10k to 12k
Anaelima na kuuza mchele anachukua 70% ya faida
Anaenunua mpunga na kuuza mchele anapata 55%
Anaenunua tu mchele na kuuza analamba 45% ya faida

#MPUNGATIPS
Kuanika Mpunga hii ndio stage muhimu zaidi kwenye kuandaa mchele mzuri sokoni, hua nakua makini zaidi ktk hii stage than anything else,
Ukikosea hapa unaitupa faida na sehemu ya mtaji wako.
#MbaraliMbeya

#MpungaTips
~Ukilima kitaam Mpunga eka 1 gunia 30~40
~Bei ya Mpunga haipo fixed huanzia 60k ~ 120k+ it depends na msimu
🫀Kilimo cha Mpunga sio cha kujaribu ukiingia bila data za uhakika kina kula mtaji na uhai wako.
Hekari Moja kukodi Ifakara ni 30K , ukikodi hekari 10 ni 300K.
Ukilima kitaalamu Hekari Moja ni gunia 20 mara hekari kumi ni gunia 200.
Ukiuza kwa bei ya haraka haraka ,gunia moja ni 90K , gunia 200 ni 18M. Toa gharama za uendeshaji , Faida ni 15M Net.

#MPUNGATIPS
Usithubutu kuingia kwenye bishara ya Mchele if;
~Huna soko la uhakika
~Hujui aina (mbegu za mchele)
~Mtaji mdogo
~Huna connection na staff wa Go downs husika
~Huna uzoefu wa Logistics
#HDGodownsMbaraliMbeya

#MPUNGATIPS
Kapunga mwekezaji ananunua kg 1 Mpunga mbichi tsh 700,
Huyu kaja kuchangamsha bei na akianza Wilmar j3 na Mdosi wa Chimala anaanza June, bei ya Mpunga itaanza kupaaa,
Mpunga ndiyo zao soko lake linakuja lenyewe halitafutwi na watunga sera
#MapalaMbaraliMbeya

#MPUNGATIPS
Mavuno ya Mpunga yameanza kushamili bei ya mchele imepoa sana,soko kubwa la Mbarali mwezi May:
Kg 1 salo mafuta 1400
Kg 1 salo wasiwasi 1200
Kg 1 super 1800
Kg 1 chenga 300
Wakati mzuri wa biashara ya kununua Mpunga na kuweka store.
#IgalakoMbaraliMbeya

#MPUNGATIPS
#Mavuno hatua inayoua mitaji na kuwakatisha tamaa wakulima peasants wa #Mpunga Tanzania,
Wengi wao wanaolima eka 2 ~5 hurudi na take home gunia 8~15 sababu ya madeni kuanzia mwanzo wa msimu mpaka mavuno.
#MapangalaMbaraliMbeya

#MPUNGATIPS
Unapoamua kuwekeza kwenye Value chain ya Mpunga kwanza
1.Wekeza Mkoa ambao una uhakika wa soko hasa bei zisizochezeshwa sana
2.Uhakika wa usafiri na mashine bora za kukoboa
3.Mbegu zenye kutoa mchele wenye demand kubwa sokoni
#MpoloMbaraliMbeya

#MPUNGATIPS
~Ardhi yenye sifa stahiki
~Mbegu bora
~Pembejeo kwa wakati
~Maji ya uhakika
~Mtaji stahiki
~Muda
~Dua
~Mahusiano mema na majirani
#MahangoMbaraliMbeya

#MpungaTips
#Mafuriko
Maji yamesomba eka 25 za #Mpunga wa jirani yangu na ulikua na wiki 9 toka umepandwa na alishaweka mbolea ya kukuzia mifuko 25,
Kilimo ni zaidi ya RISK game bt kinalipa.
@NarcoMbarali

#MPUNGATIPS
Ukiona umeingia katika kilimo cha unazalisha zao bila kujua utauza wapi ujue umeingia kuchezea pesa zako na hakuna wa kumlaumu mbeleni.
#KapungaMbaraliMbeya

#MPUNGATIPS
Usijepoteza muda wako unaingia kwenye kilimo cha #Mpunga kwa kuanza na eka 2 then utegemee kuja kufika eka 20,
Kwa mifumo na SERA za hii nchi ni ngumu sana
#MpoloMbaraliMbeya

#MpungaTips
Mafuriko ya mwaka huu yameumiza sana wakulima wasio na ziada ya fedha,
~Mbegu katika vitalu zimesombwa sana na maji
~Mbegu zilizopandwa zimesombwa pia na maji,
Kwa wasiokua na ziada ya fedha wengi mashamba yamewashinda yamelala (wamegoneka)
#MahangoMbaraliMbeya

#MpungaTips
Mikoa yenye soko kubwa na bei shindani kwa zao la Mpunga nchini
1.Moro
2.Mbeya
Ndiyo Mikoa inazalisha 70% ya Mpunga wote nchini.
#MabadagaMbaraliMbeya

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


