Top Tweets for #NJIA
Njia: The Afrikan Way ft. Dr. Dennis Ausar Winkler https://t.co/Yd54OrpHXe
@IMIXWHATILIKE
#Njia #DrDAW #AfrikanCentered #AfricanCentered #Africa #Afrika #Psychology #DennisAusarWinkler
GANI KALI?.......
Leo ni #Usi by Ebola Mkuu ft Shekina Karen Vs #Njia by Maandy
Gani ndio baddest?
#NiajeNiaje
To the big dreamers,overachievers ,overthinkers ,over ambitious ,overworked 🥹❤️ njia tutapata bila kuchizi ✨
#NJIA out now ✨
HAMNA #NJIA YA #MKATO KWENDA #PEPONI BILA KUTAFUTA #ELIMU YA KISHERIA 📚💦
▪️ قال النبي ﷺ : " من سلك طريقا يلتمس به علما؛ سهل الله به طريقا إلى الجنة " أخرجه مسلم
Mtume ﷺ amesema:
“Yeyote anayepita katika njia akitafuta elimu, basi Mwenyezi Mungu atamfanyia wepesi njia ya kuelekea Peponi.”
(Imepokewa na Imamu Muslim)📚
▪️ Mtume ﷺ amesema:
“Mfano wa lile alilonileta nalo Allah miongoni mwa uongofu na elimu ni kama mvua iliyonyea juu ya ardhi:
Kuna sehemu ya ardhi iliyo nzuri, ikapokea maji, ikatoa majani na mimea mingi.
Na kuna sehemu nyingine ya ardhi ni kavu, ikayahifadhi maji, hivyo watu wakafaidika nayo; wakanywa, wakanywesha wanyama, na wakalima.
Na kuna sehemu nyingine ni tambarare zisizoshikilia maji wala hazizai mimea.
Huo ndio mfano wa mtu aliyefahamu Dini ya Allah na akafaidika na lile nililokuja nalo, akajifunza na kufundisha.
Na mfano wa yule ambaye hakujali wala hakukubali uongofu wa Allah niliokuja nao.”
(Imeafikiana juu yake – Bukhari na Muslim) 📚
▪️ Mtume ﷺ amesema:
“Yeyote ambaye Allah anamtakia kheri, humfahamisha katika Dini.”
(Imeafikiana juu yake)
WANASEMAJE WENYE ELIMU🤏
---
▪️ Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله amesema:
“Hakika Allah ana waja ambao kwao ardhi huendelea kuishi – nao ni Ahlus-Sunnah (wafuasi wa Sunnah).”
📚 Al-Ibānah ya Ibn Baṭṭah (1/175)
▪️ Abdullah bin Masʿūd رضي الله عنه amesema:
“Mikusanyiko mizuri zaidi ni ile ambayo hekima husambazwa na rehema huombwa ndani yake – hizo ni halaqa za dhikri (majukwaa ya kumkumbuka Allah).”
📚 Laṭā’if al-Maʿārif, uk. 14
▪️ Al-‘Allāmah Ibn al-Qayyim رحمه الله amesema:
“Bila shaka elimu ni chakula cha moyo, kinywaji chake, na tiba yake. Uhai wa moyo hutegemea elimu.
Ikiwa moyo hauna elimu, basi umekufa – lakini mwenye moyo huo hajihisi kuwa amekufa.”
📚 Miftāḥ Dār al-Saʿādah (1/401)
---

@RahmaMwita kwa nini utoe mifano ya mbali,
2024, 2020 na 2019 ulikuwa mtoto? Au ulipata utindio wa ubongo miaka hiyo?
Umalaya wa kisiasa tu,
hivyo mnahisi mtaonewa huruma kudanganya Dunia?
#Njia salama ya kulinda KURA ni kubaki nayo
#NoReformsNoElection
⚠️YOUR CHURCH LEADERS
Will not tell you the truth about innocent Sacrifice Cult in Kenya _Sakahola_kware But God of Justice ⚖️ will a venge soon!
"My condolences to the bereaved FAMILYS"
#Njia boys
#Kesho
#New Fund Model
#Amarix
#JKIA
#StopAdani
#MoraraSponsor
#IsioloGirls

Mliyoko #Tanzania akuna aliyesalama ata kama unaisi kua wewe haya kusuhusi jua kua #Ukinyamaza Yaktakufikia tu kwa #Njia ingine.
#Kataakutekwa
#UmojaWetuNdioUshindi

@mrembo_og @AlexSamoja @Ambele_Young @JayHustler_ @__abdulazack @lumixha @Aloycemsaki @MissChelsea1221 @QueenOnlineBiz @nuru_yumyum @ALugandu Hongera sana, ni muhimu sana kupata elimu na ushauri kutoka kwa watoa huda za afya kwaajili ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango.
#Njia hizi zinapatikana karika vituo vyote vya kutolea huduma vya serikali na binafsi popote Tanzania.
Amna kazi Mnapoteza pesa za watu tu. Macho ya Afrika Mashariki sasa yamefunguliwa kwa upana. Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki Inaendelea Kutengeneza #Njia za Mbele kwa Uundaji Halisi wa Shirikisho.
@EastAfricaGov @EastJumboHouse @SecStateEAGov @EAC_IPU
Catch the latest updates from the East African Community in the EAC Weekly Update.
@SMannette1 @AguerAriik
https://t.co/NWrBQKk2Dl

Kwa nyote mnaosema:
“Hatutaki Mzanzibari atuuzie Ardhi yetu”
Nina Swali:
“Je mgekubali Rais Mtanganyika auze Ardhi yenu?”
😂😂😂
Acheni UJINGA!
Hoja si UZANZIBARI! Hoja ni SERA za ARDHI ya Tanganyika!
Christopher Eisgruber, @Princeton president, speaks to #NJIA summit. He is discussing the importance of supporting collaboration around AI in the region. He seeks to make NJ the hub for AI on the East Coast.

NEW MUSIC VIDEO ALERT✅
#njia by @Fazzyhisiake dropping this FRIDAY 7:30 PM. Tukae mkao wa kula coz hii ni Njia tunapita
#fazzyhisiake #afrisol #derdeedomedia
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers






















