Top Tweets for #Peponi
#Peponi Couture- Dean complex Kyaliwajala 0757584677
HAMNA #NJIA YA #MKATO KWENDA #PEPONI BILA KUTAFUTA #ELIMU YA KISHERIA 📚💦
▪️ قال النبي ﷺ : " من سلك طريقا يلتمس به علما؛ سهل الله به طريقا إلى الجنة " أخرجه مسلم
Mtume ﷺ amesema:
“Yeyote anayepita katika njia akitafuta elimu, basi Mwenyezi Mungu atamfanyia wepesi njia ya kuelekea Peponi.”
(Imepokewa na Imamu Muslim)📚
▪️ Mtume ﷺ amesema:
“Mfano wa lile alilonileta nalo Allah miongoni mwa uongofu na elimu ni kama mvua iliyonyea juu ya ardhi:
Kuna sehemu ya ardhi iliyo nzuri, ikapokea maji, ikatoa majani na mimea mingi.
Na kuna sehemu nyingine ya ardhi ni kavu, ikayahifadhi maji, hivyo watu wakafaidika nayo; wakanywa, wakanywesha wanyama, na wakalima.
Na kuna sehemu nyingine ni tambarare zisizoshikilia maji wala hazizai mimea.
Huo ndio mfano wa mtu aliyefahamu Dini ya Allah na akafaidika na lile nililokuja nalo, akajifunza na kufundisha.
Na mfano wa yule ambaye hakujali wala hakukubali uongofu wa Allah niliokuja nao.”
(Imeafikiana juu yake – Bukhari na Muslim) 📚
▪️ Mtume ﷺ amesema:
“Yeyote ambaye Allah anamtakia kheri, humfahamisha katika Dini.”
(Imeafikiana juu yake)
WANASEMAJE WENYE ELIMU🤏
---
▪️ Al-Fuḍayl bin ʿIyāḍ رحمه الله amesema:
“Hakika Allah ana waja ambao kwao ardhi huendelea kuishi – nao ni Ahlus-Sunnah (wafuasi wa Sunnah).”
📚 Al-Ibānah ya Ibn Baṭṭah (1/175)
▪️ Abdullah bin Masʿūd رضي الله عنه amesema:
“Mikusanyiko mizuri zaidi ni ile ambayo hekima husambazwa na rehema huombwa ndani yake – hizo ni halaqa za dhikri (majukwaa ya kumkumbuka Allah).”
📚 Laṭā’if al-Maʿārif, uk. 14
▪️ Al-‘Allāmah Ibn al-Qayyim رحمه الله amesema:
“Bila shaka elimu ni chakula cha moyo, kinywaji chake, na tiba yake. Uhai wa moyo hutegemea elimu.
Ikiwa moyo hauna elimu, basi umekufa – lakini mwenye moyo huo hajihisi kuwa amekufa.”
📚 Miftāḥ Dār al-Saʿādah (1/401)
---

#Peponi Couture - Dean complex Kyaliwajala 0757584677
#Peponi Couture - Dean complex Kyaliwajala 0757584677
Designed perfectly by a Ugandan aka " Peponi Couture," with the most beautiful gifted hands.😍
@djdavizotz anatueleza kuwa audio ya ngoma yake na #Chui #Peponi imegharimu milioni 4 za Kitanzania ikiwa chini ya producer @s2kizzy
@tbway360 @billsepengaa @dicksonmsami @djsummertz
#FridayNightLive #FNL
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
@djdavizotz anatueleza kuwa video ya ngoma yake na #Chui #Peponi imegharimu milioni 40 za Kitanzania
@tbway360 @billsepengaa @dicksonmsami @djsummertz
#FridayNightLive #FNL
#EastAfricaTV #HainaKuchoka
Hon @PNyamutoro looking elegant in a #Peponi Couture outfit. Find us at Dean Complex Kyaliwajala - 0757584677

A WOMAN is a giver of life that will nuture generations,a vessel of blessings that makes life much more meaningful, a physical and spiritual gate keeper that shields all circumstances for a better day , a selfless being that will always turn any dust into Gold.
There's no limitation to what a woman can do or achieve.
To all the amazing women out there , May you always have the strength to stand tall and the courage to chase your dreams fearlessly.
HAPPY WOMEN’S DAY🤎
Space @tesistudios
Dress @peponicouture_ug
MUA @monafaces
📸 @samiezweddings

Happy World Book Day! Heri ya Siku ya Kitabu. #peponi

@JustusPerez4 The CEOs Vs the Clients

Hurumzi, Zanzibar #peponi

[Because the beauty is in the]
Couples - No. 16
#peponi #ammolofi #greece #sunset #couples #streetphotography #photography
#myphoto, 07/2024
![leoooonidas's tweet photo. [Because the beauty is in the]
Couples - No. 16
#peponi #ammolofi #greece #sunset #couples #streetphotography #photography
#myphoto, 07/2024 https://t.co/RI9G6b7qhb](https://pbs.twimg.com/media/GU79kz9WwAA96e5.jpg)
Το μόνο «πεπονάκι» που αναγνωρίζουμε είναη η Χαρούλα Πεπονάκη από το ρετιρέ.. #peponi
Ida Hadjivayanis: Kumfasiri Gurnah, Mshindi wa Nobel, kwa Kiswahili
https://t.co/zTDFFEzuDU
4 must-read books from east Africa in 2023
https://t.co/e3PzV9Ar8i
4 must-read books from east Africa in 2023, by The Conversation and I see #Peponi on the list @MkukiNaNyota @mkuki @HamdaniSalha @MissGeorgios ❤️❤️ https://t.co/m3KGUZeSBr
Baada ya mwaka, tunashukuru @MkukiNaNyota kutupatia nafasi ya “kumng’ata sikio” Mtunzi nguli na mshindi wa Tuzo ya Nobel kwenye Fasihi Prof. Abdulrazak #Gurnah.
Sifa zaidi kwa Dkt. @IdaHadjivayanis na kongole kwa uzinduzi wa #Peponi tafsiri ya kitabu cha #Paradise.

Siku kama ya leo… unaweza poteza imani kwa Ubinadamu, ukifikiri umefanya muamala na Ibilisi mwenyewe.
Ni kama vile Kuzimu iko hapahapa Duniani.
Kisha Mungu anakutumia Marafiki wema, unatamani mngefahamiana maisha yote.
Jua halijazama.. Jehanamu inageuka kuwa #Peponi🙏🏿.
Asante!

Jana muda mfupi kabla ya kuanza shughuli ya uzinduzi, KC @zittokabwe pamoja magwiji wa uandishi walibadilisha mawazo juu ya vitabu vya Abdurazak Gurnah; hasa namna vitabu hivyo vilivyobeba historia ya nchi zetu.
#Peponi

Last Seen Hashtags on Sotwe
muslim porn
Seen from Kenya
anxiousPanda video ()*****************
Seen from United States
anxiouspanda
Seen from Canada
snapchat(******************)
Seen from Turkey
smno
Seen from United States
hentaimusicvideo
Seen from Malaysia
minichat(**)(**)(**) filter:videos
Seen from Argentina
omegle (((((*************))))) filter:native_video
Seen from Argentina
gazianteptravestileri
Seen from Turkey
anxiouspanda (***) +filter:native_video
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




















