Top Tweets for #SAMMtwara
#AMUAProject #SAMMtwara
Katika hatua ya Utekelezaji wa Zoezi la SAM,Mkutano wa Wadau wakuu wa Sekta husika ni Muhimu.Mkutano huu unatoa nafasi kwa Timu ya SAM kutambulishwa, kukabidhiwa na kupewa hadidu za rejea ili kutekeleza zoezi la Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa jamii.@FCSTZ

#AMUAProject #SAMMtwara #SAMinHealthSector #SAM2022
#Hatua2: ya zoezi la Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii ni Kufanya vikao vya tafakari ya pamoja na Kamati za Maendeo ya kata mahali zoezi la SAM linapofanyika.
@FCSTZ @Sida @SWISSAID_Tz @WomenFund_TZ @Plan_tanzania

#SAMMtwara #SAMinWaterSector #SAM2022
Today we were graced by the special visit of FCS's Program manager @FrancisUhadi. This wasn't a mere visit but also a capacity building and sectoral development centred discussion.

#Uwajibikaji #Accountability #SAMMtwara
SAM kata ya #Magomeni
Mchakato wa zoezi la Uanzishaji wa timu za Ufuatiliaji Uwajibikaji kwa Jamii (#SAMteams) ngazi ya kata unatoa nafasi kwa wajumbe wa timu kubainisha changamoto za huduma kwenye kata yao, kuzichambua na πππ

#SAM2021 #SAMMtwara Kata ya #Jangwani
Tarafa ya #Mikindani
Zoezi la SAM, linawapa wanachi uelewa na ushiriki mpana kwenye mfumo wa Ufuatiliaji Uwajibikaji kwa Jamii.

#SAM2021 #SAMMtwara Kata ya #Reliway
Hatua ya #DoorofHopeTanzania kuanzisha na kujengea uwezo timu za #SAM ngazi ya kata inalenga kuwawezesha wananchi kupata haki zao bila ubaguzi kutokana na kuboreshwa kwa huduma za msingi kwa kutumia ipasavyo rasilimali zilizopo nchini.@FCSTZ

#SAMMtwara #SAM2021
Timu ya #SAM kata #Naliendele
Timu ya #SAM ngazi ya kata inasaidia kusimamia misingi ya Usawa,Haki,Uwazi,Uwajibikaji na Uadilifu wa watoa huduma katika kuhakikisha mahitaji ya jamii yanakidhi haki muhimu za kibinadamu (Elimu, Afya &Maji) ili kuboresha maisha.

#SAMMTWARA #SAM2021
#DoorofHopeTanzania yafanikisha uundwaji na kujengea uwezo timu ya #SAM ya kata #Mtonya iliyoko tarafa ya #Mikindani Manispaa ya Mtwara Mikindani.
Zoezi hili linafanyika kwenye kata 12 kati ya kata 18 za Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara.
SAM/UUJ

Jukumu la kusimamia Uwazi na Uwajibikaji kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo ni kila mmoja wetu. Zoezi la SAM ni shirikishi kati wananchi, Viongozi na Watendaji wa serikali kufika Uwazi na Uwajibikaji huo kwa pande zote. #SAMMtwara #Accountability
@FCSTZ @fransebach

Door of Hope tuko #DarEsSalaam
Tunashiriki kwenye warsha ya uandishi wa taarifa ya utekelezaji wa Miradi kwa waruzukiwa wa @FCSTZ wa 2020
***********
Door of Hope, we're participating in the repoting session for 2020 FCS grantees.
#SAMinWaterSector #SAMMtwara #Uwajibikaji

Leo tarehe 14/7/2020 Door of Hope imewakutanisha Wajumbe wa Timu ya SAM ya Wilaya na RUWASA ngazi ya Mkoa. Ikumbukwe kwamba RUWASA ni chombo kipya chini ya wizara ya Maji, na kimeundwa mwishoni mwa mwaka 2019.
@FCSTZ @SWISSAID_Tz @WomenFund_TZ
#SAM2020 #SAMMtwara
#MAUAProject

Masuala ya huduma za maji Mtwara yamepaziwa sauti na wananchi kwa kiwango kikibwa, na timu ya SAM pamoja na kutoa Elimu bado wanapata nafasi ya kupokea maoni na kero mbalimbali za wananchi wanaokosa huduma hii muhimu.
#SAMMtwara #SAMinWaterSector #MajiniUchumi #MajiniUstawi

Baada ya Kikao cha mrejesho wa zoezi la SAM kwenye sekta ya maji manispaa ya Mtwara Mikindani,
#MajiniUchumi
#MajiniUstawi #MajiniAfya
Maji ni haki ya Msingi ya Binadamu
#SAMinWaterSector #SAMMtwara
@FCSTZ @KiwangaFrancis @humanrightstz @SwedeninTZ @Sida @WomenFund_TZ
Maji ni Uchumi
Maji ni Ustawi
Maji ni Afya
Maji ni haki ya Msingi ya Binadamu
#SAMinWaterSector
#SAMMtwara
Msikilize Mkurugenzi wa Door of Hope akiongea na wananchi wa Kata ya Ufukoni Mkoani Mtwara, halmashauri ya Mtwara Mikindani
@FCSTZ @InstituteWajibu @humanrightstz
Maji ni Uchumi, Ustawi na Afya
Maji ni Haki ya Msingi ya Binadamu.
#SAMMtwara
#SAMinWaterSector
@FCSTZ @WomenFund_TZ @WaterAidTZ @OpenSocietyEA @policy_F @humanrightstz @eacsof @Twaweza_NiSisi @maendeleoyajami @KiwangaFrancis @OlengurumwaO @tanlaptz @HakiRasilimali @HakiElimu
Kazi ya Makundi, MAFUNZO YA TIMU YA SAM
Umuhimu wa Mkakati wa Halmashauri katika;
1.Mgawanyo wa rasilimali
2.Usimamizi wa matumizi
3.Usimamizi wa utendaji
4.Uadilifu wa Umma
5.Usimamizi wa uwajibikaji
#SAMMTWARA
#SAMinWaterSector
@FCSTZ @KiwangaFrancis @fransebach @policy_F

Tatu: Kutambulisha rasmi timu nzima ya Wilaya na kusomewa hadidu za rejea Mkuu wa Wilaya Mhe. Evod Mmanda.
Mkutano huu umewaleta wadau zaidi ya 70 wakiwemo waandishi wa habari.
Maji ni Uchumi, Ustawi na Afya - MAUA
#SAMMtwara
#SAMinWaterSector
@KiwangaFrancis @FCSTZ @policy_F


Kupitia Uzinduzi wa MAUA,imeundwa timu ya SAM yenye watu 15 wa makundi tofauti kama Madiwani,Asasi za Kiraia,Viongozi wa Dini,Watendaji wa Kata,Watu wenye ulemavu na Wananchi ili kufuatilia utekelezaji wa Miradi ya maendeleo hasa inayogusa huduma za maji.
#SAMMtwara
@DHWYTanzania

"Wawakilishi hawa wa team ya SAM kupitia mradi wa MAUA wamechaguliwa na wananchi kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa miradi yote ya maji katika Manispaa ya Mtwara Mikindani"Clemence Mwambeki~Mkurugenzi Mtendaji wa (DHWYT)
#SAMMtwara
#SAMinWater
#doorofhopeTanzania
#FarukuNews
Last Seen Hashtags on Sotwe
NayviDiaz
Seen from Mexico
amorfilial
Seen from Mexico
nudepride
Seen from France
albking
Seen from France
bottlefuck
Seen from Oman
desi mom filter:videos
Seen from India
daronne beurette
Seen from Algeria
ebony
Seen from United States
sister hot
Seen from Sweden
turkifsa () filter:videos
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers
























