Waziri wa @maendeleoyajami Dorothy Gwajima, Afisa Mradi wa @FCSTZ Shamsia Manu & wadau mbalimbali ktk picha ya pamoja. Waziri ametembelea ofisi za @WiLDAFTz ktk ziara yake & kupata taarifa kuhusu uanaharakati wa kupinga ukatili wa kijinsia pamoja & utekelezaji wa MTAKUWWA
@FCSTZ Programs Manager @FrancisUhadi chaired a session on 'Budget transparency & inclusive citizen participation at the Local Government level.
It is important to carry out an open & transparent budget process by engaging with citizen at the local government level #ITAC2021
Meneja Programu wa @FCSTZ@FrancisUhadi akiwa na Viongozi wa serikali za mitaa na Wajumbe wa kamati ya uwajibikaji jamii (SAM) wanaoshirikiana na Shirika la FAHODE kwenye mradi wa ufuatiliaji wa rasilimali katika sekta ya Maji Wilaya ya Bukoba Vijijini #ZiaraElekezi2021
Mratibu wa Mradi wa Shirika la Matumaini na Maendeleo Kanyigo Fredrick Mjwahuzi akimueleza Meneja wa Programu wa @FCSTZ@FrancisUhadi kuhusu mradi waliotekeleza wa ufuatiliaji wa uwajibikaji jamii katika sekta ya afya ktk kata 6.
#ZiaraElekezi2021
Juliette Gallou from @FranceTanzania & @FCS_TRUST team visited Sustainble Agriculture Tanzania (SAT) in Morogoro to assess the organisation's progress in implementing the #GAPEProject.The visit is part of @FCS_TRUST's project management & reporting services it offers
During the African Youth Month of November, as APN we are super excited to be hosting our very first APN Youth Summit from 24-25th November. This week we open for registration!
Asante sana🙏Nawashukuru wanaAzaki kwa kunipa heshma ya kujumuika nanyi jana ktk kufunga #WikiYaAzaki2021. Azaki ni wadau muhimu wa maendeleo ya wananchi naTaifa. Nafurahi kuwa nilipitia huko na kujifunza uthubutu na kujiamini.Miaka 2 ya kazi @humanrightstz chini y mama @udamela
...miaka 2 pale @ESRFTZ chini ya Prof Wangwe/Prof Amani +miaka 6 ya kufanya kazi kwa karibu sana na AZAKI pale Royal Danish Embassy @DKAmbTanzania Hakika jana Nilijisikia nipo nyumbani. Asanteni sana wanaAzaki wenzangu. Hongereni kwa kazi nzuri #AzakiNaMaendeleo#WikiYaAzaki2021
Fredrick Msigallah, Mjumbe wa Bodi ya @FCSTZ
"Niwatie moyo wanafunzi wenye ulemavu. Mmekuwepo hapa future yenu ni bright. Mimi nafanya kazi @CCBRTTanzania na pia ni mjumbe wa bodi ya @FCSTZ na waliona kwamba ninaweza kuchangia katika maendeleo ya shirika "
#WikiYaAzaki2021
Tunayofuraha kujumuika pamoja na watendaji wakuu wa maendeleo kutoka kote nchini katika wiki ya AZAKI, kujadili masuala mbalimbali ikiwamo namna ya kushirikiana ili kuweza kuleta faida anuwai za kidijitali kwa wananchi. Ungana nasi Jumatano Tar. 27 jijini Dodoma. #pamojatunaweza
Check out my latest article: CORPORATIZATION OF GRASSROOTS CIVIL SOCIETY IN TANZANIA: A big threat to local community activism and Sustainability https://t.co/vgto9Q7QUG via @LinkedIn
There are three key actors in Development
1️⃣ The Government
2️⃣ The private sector
3️⃣ Civil society
''Ili tunaweza kupata maendeleo ni lazima serikali, sekta binafsi na AZAKI zishirikiane''
@FrancisUhadi, Meneja wa Programu wa @FCSTZ#WikiYaAzaki2021
"Ni vizuri kushiriki katika klabu mbalimbali zilizopo vyuoni. Ni muhimu sana vijana kupata fursa ukiwa chuoni ikiwemo kufanya kazi za kujitolea (Volunteer opportunities) . Kwa kufanya hivyo utaweza kujiunganisha na maisha ya uhalisi"
@FrancisUhadi#WikiYaAzaki2021
Kwa Tanzania bado kuna upungufu mkubwa wa Takwimu, ni eneo tunatakiwa kulifanyia kazi maana Takwimu ni msingi wa kufanya maamuzi sahihi.
#WikiYaAzaki2021#AzakiNaMaendeleo