Top Tweets for #SAMinWaterSector
#SAMMtwara #SAMinWaterSector #SAM2022
Today we were graced by the special visit of FCS's Program manager @FrancisUhadi. This wasn't a mere visit but also a capacity building and sectoral development centred discussion.

Masuala haya yamepokelewa na Waziri mwenye dhamana ya Wizara pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ambao walishiriki kikao hiki.
#MajiniUchumu
#MajiniUstawi
#MajiniAfya
#SAMinWaterSector

Door of Hope tuko #DarEsSalaam
Tunashiriki kwenye warsha ya uandishi wa taarifa ya utekelezaji wa Miradi kwa waruzukiwa wa @FCSTZ wa 2020
***********
Door of Hope, we're participating in the repoting session for 2020 FCS grantees.
#SAMinWaterSector #SAMMtwara #Uwajibikaji

#SAMinWaterSector
#SAM2020
Our Executive Director @ClemenceMwombek is in Dodoma attending quarterly reflection meeting.This is Water Cluster bringing together @FCSTZ partners implementing SAM in Water sector.
#MajiniUchumi
#MajiniUstawi
#MajiniAfya
#MajinihakiyaMsingiyaBinadamu

Masuala ya huduma za maji Mtwara yamepaziwa sauti na wananchi kwa kiwango kikibwa, na timu ya SAM pamoja na kutoa Elimu bado wanapata nafasi ya kupokea maoni na kero mbalimbali za wananchi wanaokosa huduma hii muhimu.
#SAMMtwara #SAMinWaterSector #MajiniUchumi #MajiniUstawi

Baada ya Kikao cha mrejesho wa zoezi la SAM kwenye sekta ya maji manispaa ya Mtwara Mikindani,
#MajiniUchumi
#MajiniUstawi #MajiniAfya
Maji ni haki ya Msingi ya Binadamu
#SAMinWaterSector #SAMMtwara
@FCSTZ @KiwangaFrancis @humanrightstz @SwedeninTZ @Sida @WomenFund_TZ
Maji ni Uchumi
Maji ni Ustawi
Maji ni Afya
Maji ni haki ya Msingi ya Binadamu
#SAMinWaterSector
#SAMMtwara
Msikilize Mkurugenzi wa Door of Hope akiongea na wananchi wa Kata ya Ufukoni Mkoani Mtwara, halmashauri ya Mtwara Mikindani
@FCSTZ @InstituteWajibu @humanrightstz
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mtwara - MTUWASA akijibu swali la Mjumbe wa Timu ya SAM aliyetaka kujua wapi ripoti za utekelezaji za MTUWASA huwasilishwa ndani ya Wilaya kwa mujibu wa muongozo. #SAMinWaterSector
@FCSTZ @KiwangaFrancis @policy_F @InstituteWajibu @WateteziTV
Maji ni Uchumi, Ustawi na Afya
Maji ni Haki ya Msingi ya Binadamu.
#SAMMtwara
#SAMinWaterSector
@FCSTZ @WomenFund_TZ @WaterAidTZ @OpenSocietyEA @policy_F @humanrightstz @eacsof @Twaweza_NiSisi @maendeleoyajami @KiwangaFrancis @OlengurumwaO @tanlaptz @HakiRasilimali @HakiElimu
Kazi ya Makundi, MAFUNZO YA TIMU YA SAM
Umuhimu wa Mkakati wa Halmashauri katika;
1.Mgawanyo wa rasilimali
2.Usimamizi wa matumizi
3.Usimamizi wa utendaji
4.Uadilifu wa Umma
5.Usimamizi wa uwajibikaji
#SAMMTWARA
#SAMinWaterSector
@FCSTZ @KiwangaFrancis @fransebach @policy_F

Tatu: Kutambulisha rasmi timu nzima ya Wilaya na kusomewa hadidu za rejea Mkuu wa Wilaya Mhe. Evod Mmanda.
Mkutano huu umewaleta wadau zaidi ya 70 wakiwemo waandishi wa habari.
Maji ni Uchumi, Ustawi na Afya - MAUA
#SAMMtwara
#SAMinWaterSector
@KiwangaFrancis @FCSTZ @policy_F


#SAMMtwara
#SAMinWaterSector
Mshiriki anayewakilisha Vijana kwenye Kikao cha tafakali ya uboreshaji na Upatikanaji wa huduma na hususani Maji, amewaeleza washiriki kwamba Vijana hawashiriki kwenye Mikutano ya Umma ngazi ya Mitaa/Vijiji kwa sababu hawaelewi umuhimu wa Ushiriki wao

#SAMMtwara
#SAMinWaterSector
Katika kikao cha tafakali juu ya upatikaji wa huduma za Maji kwenye Halmashauri ya Mtwara Mikindani,kilichoandaliwa na #DoorofHope wazee maarufu na Viongozi wa dini wamekazia tatizo la maji kuathiri utaratibu wa Ibada misikitini.Hakuna Ibada bila Maji

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers















