Top Tweets for #SamiaAPP
Hakika Samia ni wetu sote, na Tunatamba nae.
Kigoma imefurika wananchi wenye mapenzi ya dhati na Mama Samia na wamejidhatiti kutiki kwa kishindo Oktoba.
#samiaapp
#tikinitatu
#kazinaututunasongambele

Mapinduzi haya kwenye zao la Parachichi ni Serikali ya Chama Cha Mapinduzi pekee inayoweza kuyafanya halisia, mapinduzi ya leo ni maendeleo ya wananchi tu. Mbeya, kura yako ndiyo ushindi wetu wote.
OKTOBA TUNATIKI KWA SAMIA
#samiaapp
#oktobatunatiki
#kazinaututunasongambele


Umati wa Wakazi wa Tunduma waliojitokeza kumlaki Mama Samia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tunduma ni kijani tu.
#samiaapp
#kazinaututunasongambele

WanaSongwe wako tayari kumpokea Mama yao Kipenzi kesho tarehe 3 Septemba 2025.
Hakika furaha yao si ya kifani.
OKTOBA TUNATIKI NA SAMIA
#samiaapp
#oktobatunatiki

WanaSongwe wako tayari kumpokea Mama yao Kipenzi kesho tarehe 3 Septemba 2025.
Hakika furaha yao si ya kifani.
#samiaapp
#oktobatunatiki






@PolepoleHumph Morogoro Tunaendelea Tulipoishia Jana.
#samiaapp
#kazinaututunasongambele
#oktobatunatiki

Morogoro kurudi kuwa ya viwanda ndani ya miaka mitano ya Dkt. Samia Suluhu Hassan
#samiaapp
#kazinaututunasongambele

"Ushirika ni Nguvu! ๐ช๐พ Mkoa wa Katavi waonyesha njia kwa ongezeko la vyama kutoka 36 (2021) hadi 56 (2025) na wanachama kufikia 25,320! Tunajenga uchumi wa pamoja, kwa maendeleo ya wote. #UshirikaNiMaendeleo #SamiaAPP #OktobaTunaTiki"

Kuongezeka kwa idadi ya vituo vyenye uwezo wa kutoa huduma za upasuaji wa dharura wa kumtoa mtoto tumboni kutoka vituo 388 mwaka 2021 hadi kufikia vituo 577 Machi, 2025 ikiwa ni ongezeko la vituo 178.
#SamiaApp


Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




















