Top Tweets for #SimbaWaYuda
Nipo Misa Hapa Naona Muimbishaji Anaiimbisha Ile Nyimbo Ya #SimbawaYuda
Kuna Mtu Pembeni Yangu Haimbi Hapa Sasa
Sijui Kama Atakua na Mapepo..ππ
@jamalmalinzi Real mean of #simbawaYuda na #MamaYukoKazini sasa hapo inaonesha utekelezaji wa majukumu na sio muda kubembelezana
Wana @MPM_Tanzania Nawasihi Musiwe wapiga kelele mtandaoni tu, Bali mjikite katika siasa halisi kwa kuwania nafasi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa. Ingia huko ndiko kuna mabadiriko ya kweli na ndiko utaweza kumuenzi na kumuishi JPM. #Magufulification #SimbaWaYuda

Huyu dada anafaa sana maana hajawahi feli kwenye hoja zake.Funguka dada wala usijali #SIMBAWAYUDA Hayupo tena kwa hiyo mambo ya kuzinguana hakuna tena .maana dalili za #UHURU, #HAKI NA #MAENDELEOYAWATU tushaona mambo ya uonevu na upendeleo Mzitokomeze

Naomba likes na Retweets Nyingi kwa #SimbaWaYuda aliyetoa maisha yake sadaka kwaajili ya Watanzania haswa wanyonge #Magufulification #Magufulists

Asa hapo kwenye haki zaraia Madaraja, barabara na flyovers za mzee JPM zilifuata nini?π Yani imekuwa lazima kila mtu atafute sehemu ya kumsemea JPM. Hivi anawatesa bado kiasi hicho? Sio Mungu tu. Hata Watanzania tunaona haya
#SimbaWaYuda
#Magufulification

SIMBA WA YUDA hakufa Bure, kwa kupigwa kwake, kwa kuteswa kwake, kwa kuuwawa kwake, Sisi tumepona. Hayupo ila Roho yake inafanya kazi pamoja nasi, na ndicho kinatutia nguvu . Waombaji msiache khomba kila mmoja kwa imani yake
#2025Tunakuja
#Magufulification
#SimbaWaYuda
#SIMBAWAYUDA yupo ndani ya channel yetu ya YouTube fresh kabisa kwaajili yako. Kamata mzigo mzima wa #SalamaNaKaduguda sasa! https://t.co/LrkwfIw4Px
@YahStoneTown @samaki_samaki @slidevisuals
#YahStoneTown #SalamaNa
Haya sasa anza wiki yako ukiendelea kupata dondo kali kutoka kwa #SalamaNaKaduguda ndani ya channel yetu ya YouTube ya YahStoneTown mzigo mzima wa #SIMBAWAYUDA uko hapo!!
@yahstonetown
#YahStoneTown #SalamaNa
Wiki hii tunarudi na #SIMBAWAYUDA kwenye #SalamaNaKaduguda π₯ndani ya #EATV Usipitwe na hii!!!
#SalamaNa saa 3:00 usiku
@EceJay @YahStoneTown

Fahamika na mengine mengi ya muhimu kutoka kwa #SIMBAWAYUDA Alhamis ya leo kwenye #SalamaNaKaduguda saa tatu kamili usiku ndani ya @eastafricatv
@yahstonetown @samaki_samaki @slidevisuals
#YahStoneTown #SalamaNa

Haya, tunarudi tena WIKI HII na Episode ya 40 inayomhusu #SimbaWaYuda
Hakikisha unaangalia @eastafricatv ALHAMIS hii SAA TATU KAMILI USIKU.
#SalamaNaKaduguda #SalamaNa #YahStoneTown #SimbaWaYuda

Wiki hii tunarudi na #SIMBAWAYUDA kwenye #SalamaNaKaduguda π₯
Ni Alhamis ya kesho saa tatu kamili usiku ndani ya @eastafricatv
Usipitwe na hii!!!
@YahStoneTown @Samaki_Samaki @SlideVisuals
#YahStoneTown #SalamaNa

Last Seen Hashtags on Sotwe
Tachas
Seen from United States
OverQ
Seen from United States
FreeKabusho
Seen from United States
Eastafrican
Seen from United States
ometv #omegle #momsonn
Seen from Singapore
lipglosslovers
Seen from United States
roxiesinner
Seen from Belgium
SuperMasterJobCreator
Seen from United States
brosis
Seen from United States
CTinSpecialEducation
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.2M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers










