Top Tweets for #SimiyuRegionUpdates
#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:-Idara ya Uhamiaji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limewakamata wahamiaji haramu raia wa Ethiopia wapatao 34 katika kitongoji cha Mwalukonge Kijiji cha Lamadi wilayani Busega.
Kupata Habari kamili fungua:-https://t.co/8AFLdjwDwG

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:-Mkoa wa Simiyu umeshika nafasi ya tatu Kitaifa katika Matokeo ya Mtihani wa Taifa Darasa la Saba mwaka 2020.
#MkoaWenyeAjenda

#SimiyuRegionUpdates
Rais Mstaafu wa Tanzania,Mhe. Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ametoa wito kwa Watanzania kuunga mkono juhudi za Rais wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli katika ulinzi wa hifadhi za Taifa ni pamoja na kutoruhusu mifugo kuchungiwa kwenye hifadhi ili ziwe endelevu.

#SimiyuRegionUpdates
Wanafunzi wa Kidato cha nne mkoani Simiyu wanatarajia kuanza kambi za kitaaluma tarehe 30 Oktoba 2020, kwa ajili ya kujiandaa na mtihani wa Taifa unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 23 Novemba 2020 hadi tarehe 11 Desemba, 2020.
https://t.co/EkRNkYXUes

#SimiyuRegionUpdates
KILA LA HERI WANAFUNZI WA DARASA LA SABA KATIKA MTIHANI WA TAIFA UNAOFANYIKA KUANZIA LEO OKTOBA 07 HADI OKTOBA 08, 2020

#SimiyuRegionUpdates
#HABARIPICHA:-Viatu vilivyotengenezwa na kikundi cha vijana cha Simiyu Shoes Products kwa kutumia ngozi ya samaki. Kikundi hiki kinapatikana Kata ya Mkula wilayani Busega.

#SimiyuRegionUpdates
RAS Simiyu, Miriam Mmbaga amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Anderson Njiginya kutoa fedha kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa majengo ya upasuaji na wodi ya wazazi katika Hospitali ya Wilaya ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:Timu ya wataalam kutoka Mkoa wa Katavi imefanya ziara Agosti 26, 2020 mkoani Simiyu kwa lengo la kujifunza namna kufanya Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima (Nanenane) ambayo yamefanyika Kitaifa kwa miaka mitatu mfululizo (2018-2020) mkoani hapa

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:- Mkoa wa Simiyu umeshika nafasi ya tatu Kitaifa katika matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita mwaka 2020, ambapo umepanda kwa nafasi saba zaidi kutoka nafasi ya 10 mwaka 2019.
#MkoaWenyeAjenda

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:-Mkuu wa wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu, Mhe. Aswege Kaminyoge amezindua bodi ya Kampuni ya Ng'hami(Ng'hami Industries Compay Ltd) ambayo iko chini ya Halmashauri ya wilaya ya Maswa itakayoendesha viwanda vinavyomilikiwa na halmashauri hiyo.

#SimiyuRegionUpdates
Karibu kufuatilia matangazo ya 'live' ya Maonesho ya Nanenane Kitaifa mwaka 2020, kupitia TBC 1 na TBC Taifa kutoka Viwanja vya Nyakabindi Bariadi Simiyu, Kanda ya Ziwa Mashariki
Mgeni rasmi ni Makamu wa Rais wa wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan.

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:-Benki ya NMB imetoa shilingi milioni 42.5 kwa ajili ya kudhamini Maonesho ya Nanenane Kitaifa mwaka 2020 yatakayofanyika katika Viwanja vya Nyakabindi Bariadi mkoani Simiyu kuanzia Agosti 01 hadi Agosti 08, 2020.

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:-Shirika lisilo la Kiserikali la AMREF kupitia mradi wa UZAZI UZIMA limetoa msaada wa vifaa kinga vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 23 kuunga mkono Serikali katika tahadhari dhidi ya maambukizi ya Virusi vya CORONA kwa mkoa wa Simiyu.

#SimiyuRegionUpdates
Aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw.Jumanne Sagini leo Julai 08, 2020 amemkabidhi rasmi ofisi Katibu Tawala wa Mkoa mpya wa mkoa huu, Bi. Miriam Mmbaga aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:-Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewapongeza viongozi wa wilaya ya Maswa kwa usimamizi mzuri na utekelezaji wa mkakati wa viwanda ambao umeiwezesha wilaya hiyo kuwa miongoni mwa wilaya za mfano nchini.

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:-Shirikisho la Walimu wanamazingira mkoa wa Simiyu wametoa msaada wa vifaa vya kunawia mikono ikiwa ni sehemu ya uungaji mkono juhudi za serikali mkoani hapa katika kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Corona.

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:-Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amewataka viongozi na watendaji waandamizi katika idara ya elimu mkoani hapa kuhakikisha kuwa kila mmoja katika eneo lake anasimamia taaluma kwa kuzingatia matokeo yanayotarajiwa na mkoa.

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:-Chama kikuu cha Ushirika cha Mkoa wa Simiyu (SIMCU) kimetenga jumla ya shilingi milioni 36.7 kwa ajili ya kusaidia huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo elimu na afya mkoani hapa.
Inaendelea...........https://t.co/3CPkkozPSj

#SimiyuRegionUpdates
#HABARI:-Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amewataka viongozi wa Halmashauri mkoani hapa kuwachukulia hatua watumishi wote waliosabaisha hoja za ukaguzi katika mwaka wa fedha 2018/2019.

#SimiyuRegionUpdates
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote mkoani hapa kuhakikisha wanawalipa Madiwani stahili zao zote wanazodai kabla ya kuvunjwa kwa mabaraza ya Halmashauri tarehe 05 Juni 2020.

Last Seen Hashtags on Sotwe
snapchat since:2024-09-23 filter:videos
Seen from Turkey
Ω
ΩΩΨ§_ΨΨ΅Ψ±ΩΨ§Ψͺ
Seen from Saudi Arabia
bnwo russian
Seen from Norway
solo girls toys
Seen from Switzerland
minichat()+minichat()****filter:videos
Seen from Netherlands
scat forest
Seen from Italy
teenageee
Seen from Canada
ewepaksa
Seen from Malaysia
humanatm
Seen from Ireland
girl to girl sex
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers













































