Top Tweets for #TemESA
¡Qué momento!🥹
¡Para verlo una y otra vez!✨
Gracias por siempre poner en alto a El Salvador, Ivonne.🙌🏻🥇🇸🇻
#TemESA🇸🇻


Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (#TEMESA) imebainisha kuwa mwongozo wao haujaelekeza kiwango na malipo ya mazingira hatarishi (risk allowance) kwa Watumishi wao kwenye Vivuko, bali hulipwa kupitia Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (Workers Compensation Fund) endapo ajali itatokea kazini.
Fuatilia zaidi https://t.co/NhHUCbtFTt
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Nawe pia unaweza kuwasilisha KERO yako kupitia FuchuaUovu ndani ya https://t.co/dDd21Ugmlv📌

Mdau wa https://t.co/OgiXhqmXJu ametoa ushauri kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (#TEMESA) ambayo ipo chini ya Wizara ya Ujenzi kutimiza majukumu kwa kulipa stahiki za Watumishi wa Kanda ya Ziwa.
Zaidi tembelea https://t.co/u7xLw4qgkM
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026

DAR: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imesaini mkataba na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (#TEMESA) unaogharimu Tsh. Milioni 514 wa usimikaji wa mifumo ya kamera za ulinzi katika barabara na maeneo ya Kariakoo ili kuhakikisha biashara zinafanyika kwa Saa 24
Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema lengo ni kuimarisha usalama wa Wananchi na Wafanyabiashara na kuongeza ufanisi wa shughuli za kibiashara katika kusaidia kurahisisha utambuzi wa matukio, kuimarisha ufuatiliaji wa wahalifu na kutoa ushahidi wa haraka inapohitajika
Soma https://t.co/3kOloypu0A
#JamiiForums #Accountability #Governance #ServiceDelivery
MWANZA: Baada ya Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv kuripoti uwepo wa kero ya foleni katika Kivuko cha Kigongo-Busisi, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano, Alfred Mgweno Wakala wa Ufundi na Umeme (#TEMESA), amesema TEMESA inaomba radhi kwa changamoto hiyo iliyosababishwa na kivuko kimoja cha MV Sengerema kupata hitilafu katika injini
Mgweno amesema “Mafundi wetu wako kwenye kivuko wakiendelea kutatua changamoto iliyojitokeza, Shule zimefungwa na leo ni wikiendi hivyo kuna idadi kubwa ya Watu wanahitaji kuvuka.”
JamiiForums ilipomtafuta Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga amesema “MV. Sengerema ina shida kidogo katika mfumo wa injini, mafundi wanaendelea na kazi, vivuko vingine (MV Mwanza na MV Misungwi) vinafanyakazi, hata MV Mwanza nayo juzi ilileta shida ikarekebishwa ikakaa sawa.”
Soma https://t.co/ic0FZnVXns
#JFHuduma #Accountability #JamiiForums

Ukaguzi wa #CAG katika Ujenzi na Ukarabati wa Vivuko ulibaini Injini za Kivuko cha #MVKilindoni zilikuwa zinapata joto kupita kiasi zinapokuwa katika mwendo wa mizunguko 1800 kwa dakika (rpm)
Licha ya matakwa ya kimkataba kwa #TEMESA kukagua Bidhaa kabla ya Usafirishaji na Kanuni za Sekta zinazohitaji uthibitisho wa vipimo kwenye injini mpya, wataalamu wa TEMESA hawakushiriki katika jaribio la kupima injini ya Kivuko iliyofanyika Nchini Korea
Kwa hivyo, utendaji wa mfumo wa Injini ya baharini haukuthibitishwa, kinyume na matakwa ya kabla ya usafirishaji
Soma https://t.co/BkH3QUh0yR
#JamiiForums #Accountability #ServiceDelivery #JFHuduma #RipotiUkaguziMiradi #RipotiYaCAG24

Kwa mujibu wa #RipotiYaUwajibikaji Mwaka 2020/21, #TEMESA, #TPA, #RUWASA na Halmashauri ya Jiji la Dar zilikusanya Tsh. Bilioni 6.53 nje ya GePG, huku Tsh. Bilioni 1.2 zikikusanywa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi nje ya Mfumo huo
Kukusanya mapato nje ya Mfumo kunaongeza mianya ya upotevu wa Mapato ya Umma kwasababu ya kukosekana kwa rekodi sahihi za kiasi kinachokusanywa kila Siku
Soma https://t.co/rwaqoyG1Mu
#JamiiForums #JFUwajibikaji23 #MapatoNaMatumiziSerikalini #RipotiMapatoNaMatumizi

Tukutane ndingani kuanzia saa 10:00 jioni hadi 1:00 usiku #EastAfricaRadio
Cc @IreenEyes #DjMackay #Lupokela #Dialoian #TaaZaBarabarani #TEMESA #NdingaMpyaTown
New Paper Published!
⛏️Evidence of #Copper and #Iron #Deposits of the #Protohistoric City of #Temesa
💞Congratulations to Dr. Virgilio Vecchio's team
📖#OpenAccess: https://t.co/EVm0IVtsBT
#minerals #Geological #Heritage

il #consiglioDiStato dice no al referendum per la formazione di #Temesa tra #CamporaSanGiovanni (#Amantea) e #SerraDAiello.
Campora San Giovanni https://t.co/tVZ7YmHOLD
Nel comizio referendario tenutosi a Campora San Giovanni, #FrancoIacucci dice che #Temesa è aggregazione, l'unione tra #SerraDAiello e #CamporaSanGiovanni è solo l'inizio di un percorso. Poi si potranno/dovranno unire altre realtà. #Amantea no però!
idee regalo per Natale
#Ceramica #Design #CamporaSanGiovanni #Amantea #Calabria #Italia #CeramicaArtistica #Temesa #CeramicaContemporanea Campora San Giovanni

#CamporaSanGiovanni #Amantea #Temesa #Calabria festa in onore di San Francesco da Paola fino al 3 settembre a Campora San Giovanni

#Temesa #CamporaSanGiovanni #Amantea saremo presenti col nostro stand alla #nottebianca di Campora San Giovanni, martedì 16 agosto 2022. Non mancate 😎

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
























