Top Tweets for #UDom
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM), Dkt. Melikisedeki Kaijage aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, anakabiliwa na shtaka la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa UDOM (UDOMASA), Dkt. Gerald Shija, amesema: “Wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga. Sijajua watampeleka Mahakama gani, sababu wamefungua kesi katika Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi.”
Ikumbukwe, Julai 21, 2026, Dkt. Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma baada ya kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Chang'ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiwa, amekutana na shtaka lingine.
✍️ || JamiiForums
#MeaMswahiliUPDATES

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM), Dkt. Melikisedeki Kaijage aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, anakabiliwa na shtaka la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa UDOM (UDOMASA), Dkt. Gerald Shija, amesema: “Wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga. Sijajua watampeleka Mahakama gani, sababu wamefungua kesi katika Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi.”
Ikumbukwe, Julai 21, 2026, Dkt. Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma baada ya kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Chang'ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiwa, amekutana na shtaka lingine
Fuatilia zaidi https://t.co/AS6AqaQp4V
#JamiiForums #JFSheria #JFMatukio

DODOMA: Wakili Prosper Malangalila amesema hayo Julai 21, 2026 nje ya Mahakama na kudai mteja wake, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM), Melkisedeki Kaijage alikaa mahabusu kwa siku 12 bila kufikishwa Mahakamani, licha ya kosa analotuhumiwa kuwa linadhaminika.
Kaijage alikamatwa na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano ya "Sabasaba" na baada ya upelelezi kukamilika, anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu rasmi tuhuma zinazomkabili.
Fuatilia zaidi https://t.co/H5QNE8KNHe
#JamiiForums #JFSheria #JFMatukio
The 3rd UDOM Scientific Conference on Health (USCHe) has been rescheduled, enhancing opportunities for participation.
Register by 15th July 2026 at https://t.co/Q6H80WWF8C
Submit your abstract by 30th June 2026 at https://t.co/Sx61kKjagr
#USCHe2026 #OurHealthOurFuture #UDOM

Dr. Godfrey Temba returns to #USCHe2026 with groundbreaking insights on how local African foods can shape inflammation, immunity & disease prevention.
📍Dodoma City Hall
🗓️10–12 June 2026
🔗Register: https://t.co/7btQQOXPGA
#USCHe2026 #UDOM #OurFoodOurHealthOurFuture

Our health is our future!
Join global health leaders at 3rd @USCHe_official in Dodoma on 10–12 June 2026.
🎙️ Plenary Speaker: Prof. Dr. Fatmahan Atalar (@atalftm) from @istanbuledu.
🔗 Register now 👉 https://t.co/C3OjYtAlIz
#USCHe2026 #UDOM

Abstract submissions for the 3rd UDOM Scientific Conference on Health have been extended until May 26, 2026.
Submit your abstract today to secure your participation.
Submit Here: https://t.co/ibvd0hnDJN
#USCHe2026 #UDOM #Abstracts #HealthResearch #Tanzania

📍Arusha, Tanzania
@udomtheofficia kimeibuka mshindi wa Kwanza katika mashindano ya Girls in ICT Hackathon 2026 yaliyofanyika 28 Machi, 2026 baada ya wanafunzi wake kushiriki kubuni mfumo wa kuhakiki taarifa kwa kutumia Akili Unde (AI) unaoitwa “Hakiki Scanner.”
Source: #UDOM

DODOMA: Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv anatoa wito kwa mamlaka husika kufuatilia uhalali wa fedha taslimu wanazotozwa Madereva Pikipiki na Bajaj wanaopita eneo la geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM) kama ni halali au kuna mazingira ya 'upigaji'.
Zaidi https://t.co/sjEi3B4zjn
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji

@PolycarpMDM @kishoka_ Nikizungumza na wadau wa built environment mwaka nikataja #UDOM. Akajitokeza aliyehusika akasema wanasiasa waliingilia plan wakasema tuna maeneo makubwa kimoja weka kule nyingine hapa basi shagala bhagala.kisha ndio wa kwanza kujidai chuo kubwa kuliko vyote barani
Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv ametoa wito kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM) kushughulikia kero ya Wanafunzi hasa wanaoendelea na masomo chuoni hapo kulipia gharama za 'hostel' wakati wa usajili lakini baada ya kufanya malipo huambiwa vyumba vimejaa.
Zaidi tembelea https://t.co/JGh4VflT3y
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji


Sema wanangu mlio soma hapa hamna tofauti na kuwa waflme chuo kama hekalu la mfalme suleiman
#udom havard ya eastafrica na viunga vyake 🇰🇪🇷🇼 🇧🇮 🇸🇴 🇹🇿 🇺🇬 🇨🇩 wote njooni udom kwa elimu na ufanisi🤓
#kazinautu

Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv kupitia Jukwaa la Elimu ameeleza kuwa kuna kero kuhusu changamoto inayowakumba Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM) katika upatikanaji wa ajira kupitia mfumo wa Serikali (Ajira Portal), kutokana na uandishi wa vyeti.
Amedai Wahitimu waliosomea Psychology of Education in Mathematics and Economics hukosa nafasi hizo kwa sababu vyeti vyao vinaandikwa "Bachelor of Education in Psychology," jambo linaloonekana kutofautiana na sifa za kazi zilizotangazwa, hata kama mafunzo yao yanaendana kikamilifu.
Ametoa wito kwa uongozi wa UDOM kurekebisha namna ya uandishi wa taaluma katika vyeti ili kuwapa nafasi stahiki wahitimu waliotimiza vigezo.
Soma zaidi https://t.co/tajviH99pR
#JamiiForums #JFElimu #JFMdau2025 #Accountability

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amefafanua taarifa ya kufutwa kwa baadhi ya kozi za Ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM) kwa kueleza mabadiliko yamefanyika ili kurahisisha njia za ufundishaji zisitumie muda mrefu.
Amesema hayo Julai 22, 2025 akitolea mfano, Kozi ya “Bachelor of Education in Science and ICT” iliyofutwa itatolewa kupitia “Bachelor of Science with Education”, ambayo inalenga kumuwezesha Mwanafunzi kusoma kwa kina masomo ya Sayansi kabla ya kujifunza mbinu za Ualimu.
Julai 16, 2025, kupitia https://t.co/dDd21Ugmlv Mwananchi aliandika “Wizara ya Elimu na Taasisi zinazosimamia Elimu ya Juu kuweni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali, Sera ya Elimu huandaliwa kwa muda mrefu kupitia tafiti, mijadala ya kina na michakato thabiti ya kitaalamu lakini hii ya sasa imekuwa ghafla sana.”
Zaidi soma https://t.co/UaSrKevNyv
#JamiiForums #JFElimu #Accountability #Governance #JamiiAfrica
Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat(*)(*)(*) filter:videos
Seen from Korea
chinesewife
Seen from Jordan
เมืองเลย
Seen from Thailand
川口蕨ノーヘイトスタンディン
Seen from Japan
minichat
Seen from Turkey
tarsustravesti
Seen from Turkey
murgapunishment
Seen from India
PhatAssAsian
Seen from United Kingdom
yaoi #mako #aiart
Seen from Poland
SummerCade
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers















