Top Tweets for #ULALAMISHI
@SdkKalula CDM na wanaowapa support kufanya siasa wanazozifanya nimeanza kuwaogopa silaha yao kubwa ni #ULALAMISHI
@JideJaydee Kwani wewe unachotaka ni nini? Unataka Lockdown? Serikali imekataza wananchi wake kujilockdown?
Wacha #ULALAMISHI usio Na maana..Kama wewe unaweza kujilockdown endelea kukaa ndani..
Tahadhari ndio muhimu
Watu wakifa njaa utakuwa wa kwanza kulalamika?
Tafuta kwanza #UKWELI kabla ya kuwa sehemu ya #ULALAMISHI usio na kichwa wala miguu
Ulipaswa kuwashauri nduguzo @ChademaTz na @ACTwazalendo kuwasimamia vyema #UJAZAJI wa fomu kwa usahihi
Kanuni na Sheria ndizo zimewaengua #TuheshimuSheria
hata chini ya utawala wa chama kimoja tulipewa nafasi ya kuchagua kati ya watu wawili. Leo ...
Umevuna ulichopanda, vumilia kamanda ..nasubiri kwa hamu yale maandishi yako marefu ya kujirudiarudia ambayo #WAFUASI wako wanapoyasambaza mitandaoni huanza na
....Anaandika @tundu_lissu 😂😂😂😂 nataka nione kiwango chako cha #ULALAMISHI kimefikia wapi
@ellybanyambala Wanapaswa kubadilika, Mazingira ya Siasa na wakati sio yale ya wakati wa Dr Slaa lakini pia Watz wa kipindi hicho si hawa wa sasa
Siasa za #ULALAMISHI #UBEZAJI #UZUSHI #UZANDIKI #UCHOCHEZI na #UCHONGANISHI hazina tena nafasi
#ProtectTanzania
@NchimbiRas @BobWangwe @mgagagigikoko1 @UsalamaWaTaifa @pallangyo54 @Yahya_Kifyatu @CheGuev14094000 Kwa hiyo wakati @BobWangwe na wenzake wanapata ushindi wa #KESI hakukuwa na #MAAGIZO kutoka juu?
Mmeshaanza #ULALAMISHI hata kabla ya #RUFAA kuanza
Hapa ndipo huwa siwaelewi #WAPINZANI wa Tz
Jiandaeni Kisaikolojia
#TukutaneMahakamani
Mwambieni #TunduLissu ashughulikie afya yake aache #ULALAMISHI maana hana jipya tena kila siku anazungumza hayohayo #TUMEMCHOKA
Mwambieni #MTESI wake #MBOWE naye anateseka #SEGEREA baada ya kuhujumiwa na vijana wake #LISSU akina #KIBATALA
Hakika #WAMEMUWEZA
Upinzani kama huu ndio ule ninaouita wa #KIPUMBAVU kila siku #ULALAMISHI tu na kuilaumu Serikali
Ukiulizwa hapo ninyi kama CHADEMA mmesaidia nini katika hilo au #MMESHAURI nini hutokuwa na majibu au utajibu ni wajibu wa SERIKALI
Hopeless kabisa
Inasemekana idadi ya watu waliokua kwenye kivuko cha MV NYERERE walikua 400,waliookolewa ni 37 na waliokufa walikua 44,wengine hao 319 waliambiwa Jana kwamba walale kwenye maji tu wataokolewa leo, sasa najiuliza wapo hai au wamekufa?
😂😂😂😂😂 mheshimiwa @HecheJohn jana hapa hapa nilisema tarehe 12-08-2018 kabla ya saa nne asubuhi CHADEMA mtakuwa mmeshaitisha press conference nyingi za #ULALAMISHI
Ulalamishi wa mapema hivi ni dalili za kushindwa na kukata tamaa
Tarime Mkurungezi anagoma kuapisha mawakala wa Chadema. Inasikitisha uhuni huu unaoendelea kwenye nchi.
Hakuna tena uchaguzi katika nchi hii maana tunaoshindana nao hawawezi tena kushinda kwa wananchi.
nazijua zile “@AlbertMsando: @MwanaFA au wale wale mbona hunisalimii na mimi ni fan wako!! Dah! #ulalamishi #inferiority”
Last Seen Hashtags on Sotwe
omegle
momson filter:videos
Seen from United Kingdom
cdtvでニモニモ
Seen from Turkey
nolimits
Seen from Guatemala
momson or #exny or #zoophilia or #zopositivity or #nolimit() +filter:native_video
Seen from Denmark
热播短剧
Seen from Vietnam
nepaligay
momson()****** video
viral
Seen from Netherlands
nolimit #omegle ()
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers





