Top Tweets for #UTASHI
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Juma Haji Duni โBabu Duniโ amesema ili Katiba mpya ipatikane ni lazima kuwepo kauli ya pamoja na utashi wa kisiasa miongoni mwa wanasiasa.
@tanpol Kaka @Nnauye_Nape shida kubwa kwa jeshi la polisi when it comes to haki siyo vifaa wala technology. Shida iko kwenye utashi wa Polisi wenyewe. Kukosekana kwa haki ni mtaji kwa Polisi. Sina hakika kama vifaa hivyo vitazuia Polisi kubambikia watu kesi ili kujipatia vipato. #Utashi
@HildaNewton21 Mungu niwawote ila Wana wa Mungu si wote,elewa!!.@ChademaTz ni Chama kinacho #Ona,#Hisi,#Jari,#Fanya na kishaaTunasonga mbele kwa #Utashi na #Maarifa ya kanuni za Taifa hili,lakini chama hiki hakitaki uwe na #kiburi,#jeuri na #maslahiBinafsi nje na Taifa #KatibaMpyaNiSasa
Labda tuulizane ishu ya Akwilina nani aliwajibika?
Na je katiba ya SASA inasemaje?Sheria zinasemaje?Nani alishtakiwa?
#Utashi ndo kila kitu
#Siku100 za Mhe. Rais Mama @SuluhuSamia - nikiongea na @bbcswahili #DiraYaDunia na @venusnyota kuhusu #Demokrasia , #Haki , #Sheria , #UtamuduniWaSiasa na #Utashi wa kiongozi
https://t.co/vzuKpFnCgN
Binadamu na Wanyama: Tofauti yao kubwa ni kuwa na #Utashi. Au nmekosea ndugu zangu?
#ChukuaHii | #ThamaniYaMtaa

@KennedyMmari @PeterCMmbaga @AdnanySa @saidmuhammed Hapo umeongezea tu tafsiri yako,msimuliaji kaweka hicho kionjo ila hajatumia neno kuliko-alichofanya muuza sera ni pale penye utashi,wadau wakatumia utashi wao kama nasi tunavyotumia utashi wetu kuamua hili au lile.
Hakukuwa na kosa katika kutumia #utashi bali kwenye #uchaguzi.
@PeterCMmbaga @KennedyMmari @AdnanySa @saidmuhammed Hiyo ni hoja ngumu,lakini ina urahisi pia-#utashi wa Lucifer ulihusisha pia #uhuru wa yeye kuuza sera yake kwa malaika na viumbe vingine(sisi);hivyo,hakukuwa na namna maana ukimbana na kumshughulikia ndiyo hoja yake inashinda kuwa wewe ni dikteta usiyetoa uhuru na haki ya utashi.
#UtamaduniWetu
โพHaki haiangalii #Itikadi wala #Utashi. Mwanachama wa @ccm_tanzania akionewa ni wajibu adai haki na aipate. Vivyo hivyo Mwanachama wa @CHADEMATaifa au @ACTwazalendo
#KatibaMpya
#TzKwanza
#ChukuaHatua
#ChangeTanzania
Vya Kusikia #Changanya
Na #AkiliYako
Akili yenye Maarifa Ni #Utashi Aliopewa Mwanadamu
#GodIsGoodAllTheTyme
Uzuri wa Hoja toka kwa Kijana #ChangeTanzania hauhitaji Lugha chafu na zilizozaliwa na Mihemko Ya Kiitikadi. #Utashi
Last Seen Hashtags on Sotwe
Exhibits
Seen from Turkey
NobruDay
Seen from United States
mlbb angela nsfw
Seen from Malaysia
ใขใฉใซใชๅคง่ผ
Seen from United States
kalogerasisters
safetywithmecampaign
Seen from United States
๋ฉค๋ฒ์ปฌ๋ฌ๋จํ
Seen from United States
comgirl
Seen from United States
KarลฤฑKonulamazKonfor
Seen from United States
lurkingboyfriendisalwayswatching
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.5M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



















