Top Tweets for #Updates24
!!!!Legal Alert!!!!!
The Constitutional Court rules that access to maternal health services in all public facilities in Uganda is now a universal right.
#Petition16
See Judgement > https://t.co/oO3ygFFQY0
#MbaleTowerNews #Updates24/7
European Union delegation meets FDC leadership at Najjanakumbi, this comes after they met the
Leadership of NUP led by Bobi wine. It should be noted that in the meeting there was no Dr.Kiiza Besigye.
#MbaleTowerNews #Updates24/7

@HEBobiwine case commences at MBALE high court. In his pleadings he avers that he was illegally stopped from entering appearance at BCU radio two weeks ago.
#MbaleTowerNews #updates24/7

#Updates24 Andy Murray says playing with Serena Williams in the Wimbledon mixed doubles is potentially a once-in-a-lifetime opportunity
Full story ๐ https://t.co/UUh641O5QU

#updates24 TBT hots Remember those days?@qcheif @tidmyama
Kiungo wa time ya taifa ya Misri, Amri Warda atimuliwa katika kikosi hicho kilichopo katika mashindano ya Afcon kwa utovu wa nidhamu. Baada ya kukututwa kawatumia meseji na picha wanawake waliopo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii.
#updates24

Aliyekuwa mchezaji wa simba sports club ya Tanzania James Kotei, ameaga rasmi timu na mashabiki wote wa simba, huku tetesi zikisema kuwa anaenda kukipiga katika klabu ya mamelody sundowns ya nchini South Africa
#updates24
Wananchi wa jiji hong Kong nchini China, waandamana jijini humo kupinga utawala mbovu na unyanyasaji wanaofanyiwa waandishi wa habari wa jiji hilo.
#updates24
Mkuu wa mkoa wa Dar ea salaam ndugu Paul Makonda achukizwa na kitendo cha watanzania kuwaponda wachezaji kwa matokeo mabaya kulinganisha na wao ndio waliotupa heshima ya kwenda Afcon baada ya miaka 39
#updates24
Mwanamke mmoja raia wa Tanzania alikamatwa wikendi iliopita kufuatia madai ya mauaji ya jirani yake kutoka Kenya katika eneo la Chhattapur kusini mwa jimbo la Delhi kufuatia mgogoro kati yao kuhusu chupa ya pombe.#updates24
#updates24
๐๐๐Happy Birthday ๐ฅณ ๐ ๐
Lionel Messi, leo ametimiza miaka 32.
#updates24
Arsenal inafikiria kumuuza Lucas Torreira
https://t.co/Wkkadrwv8L
#updates24
Mshambuliaji wa timu ya Nigeria Samuel Kalu amepelekwa hospitalini wakati timu yake ikijiandaa kucheza mchezoo wa kwanza katika michuano ya kuwania kombe la mataifa barani Afrika baada ''kukosa maji mwilini
#Updates24 Inter Milan kumsajili mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku lakini watalazimika kumuuza Mauro Icardi. https://t.co/MZzMKVb4xP
IRAN YAITUNGUA NDEGE YA MREKANI
Iran imetungua ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani Alhamisi katika tukio ambalo maafisa wa Iran wanasema ndege hiyo ilikuwa katika anga ya nchi hiyo, lakini maafisa wa Marekani wamesema ilikuwa katika anga za kimataifa
#updates24
WANAJESHI kadhaa wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) wameondoka kwenda Sudan kulinda amani kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Meja Jenerali Alfred Kapinga alisema kusafirisha wanajeshi hao kwa kutumia ndege ya ATCL ni uzalendo wa hali ya juu kwa nchi.
#updates24
ikiwa leo tar 16-6 ni siku ya mtoto wa Africa ,chuo kikuu cha kumbukumbu ya mwal Nyerere chini ya uongozi wa Gender Club chuoni hapo wameandaa semina ya kutoa elimu kuhusu haki za mtoto, semina hio imefanyika katika ukumbu wa Utamaduni ndani ya chuo hicho.
#updates24
#Updates24 After University of Ottawa campus security carded and arrested black student @Jamal_KB, Iโm posting video of security forcing into my office and carding me and my black PhD student @bumblebrie. I complained, but nothing was done #racism @uottawa https://t.co/R6iNgUJLmj
#backtoschool Day 9 and 10: I love unwrapping new books with CDs and I love pitching cassette tapes๐ #21stcentury #updates24/7
Last Seen Hashtags on Sotwe
arabicgirls
Seen from Oman
FรกbricaDeNegocio2025
Seen from United States
๋ณด์ถ
Seen from Korea
RaisinaDialogue2026
Seen from United Kingdom
PopDigital
Seen from Venezuela
daddysgirl #incest
Seen from United States
gofunๅจๆจๅ
Seen from Venezuela
femalemask
Seen from Germany
kayseripasif
Seen from Turkey
SPFzh21
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.2M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers











