Top Tweets for #VIZURI
Jichanganye #Vizuri wew samia na Genge lako!
Nakuambia utaondoka ikulu iwe asubui mchana au jioni
Tumekuchokaaa!
#MAANDAMANO ni lazima ni haki yetu
#MAANDAMANO ni lazima ni haki yetu
#MAANDAMANO ni lazima ni haki yetu
#SamiaMustGo2024 💪
BREAKING: Tumepokea taarifa za uhakika kwamba wachunguzi wa mahakama ya kimataifa ICC wamewasili nchini Tanzania, siku chache kabla ya maandamano yaliyotangazwa na Chadema. Rais Samia na Jopo lake wajiandae, hasa kama Polisi watafanya mauaji ya raia wasiokuwa na hatia.

#MAISHA #YANABADILIKA #ISHI
#NA #JAMII #VIZURI
🌹🌹Unaweza ukakutana nae kimwili siku ya kwanza na akakupenda kuanzia siku hiyo na kuendelea kuwa na wewe au akakuacha.
Na vilevile unaweza ukasubiri miaka mitano ndio mkutane kimwili na akakuacha baada ya kufanya sex au akabaki na wewe.
Wewe muombe Mungu tu akupe mtu atakayekupenda kweli na kwa moyo wote. Kwa sababu hakuna ilani au manual nyingine mbadala itakayo kuhakikishia kwamba mtu huyo atabaki na wewe! Ni Mungu tu.
🌹🌹Mambo ya nyuma yasikufanye ushindwe kuifurahia leo yako au kupanga mipango kwa ajili ya kesho yako. Hakuna ambaye hajawahi kuumizwa iwe ni maisha,mtu, watu au hali. Kinachotofautisha ni uamuzi wa kuachilia maumivu na machungu ya nyuma na kusonga mbele.
🌹🌹Kuendelea kuyashikilia na kuyabeba kama bango haiondoi uhalisia kuwa yametokea wala hakufanyi leo yako kuwa nzuri.
Tambua kuwa maisha yako ni jukumu lako na si mwingine yeyote.
🌹🌹Haijalishi umeumizwa vipi, unawajibika kuishi maisha yako kwa furaha na kufanya bidii ili kesho iwe bora zaidi.
Aliyekukosea au kukusababishia maumivu hawajibiki kukupa furaha wala kukuondolea maumivu, ni jukumu lako asilimia mia. Amka sasa, jikung’ute maumivu yote na uchungu wa yaliyopita na usonge mbele..
Neno hili likawe faraja kwako wewe ambaye una maumivu ya aina yoyote yale katika moyo wako
Hauko Peke Yako.
🌹🌹Kuisha kwa kuamini Mt bdala ya Mungu utaishia kuumia na kupata tabu maana wat wanabadilika
yule wa leo sio atakaekuwa kesho watu wanapenda kuobwa na ukiomb wanakusimanga simama na mungu tu ndio msada wa pekee
watu wanapita ila Mungu atabaki milele na milele yote
ijapo watu watabadilika Mungu atabaki yeye daima kuwa MUNGU.
🌹🌹Shika haya mawili,
kwanza, kifutio cha uongo si uongo mwingine bali ni ukweli. Pili wino wa kuandikia uongo hufifia na kufutika wenyewe baada ya muda. Maana yake ukweli unahitaji muda kujidhihirisha".
Festes de Sant Pere dv30juny al Serrallo, Tarragona
Penúltima dia
#SantPereElSerrallo #ElSerrallo #Tarragona #DjRayo #Vizuri #Serrallo #XarangaTocabemolls @Tocabemolls @AV_Serrallo @gegantsserrallo @marejants @MolldeCosta @PortTarragona @agendatgn @QueferaTarragon @MagradaTGN
Carnaval, carnaval...🎶
Dissabte passat vam gaudir d'una gran festa de carnaval! Vam gaudir del concert de Vizuri i de l'actuació d'en PD BROOT, més de quatre hores de festa!!
A nosaltres ens va encantar, i a vosaltres?
#Vizuri #PDBROOT #Carnaval2022 #ensorrat22

Avui #CarnavalBlanes2022 A les 17h Batucada dels Diables @SaForcanera; 17'30h #RuaCarnaval des del Banc dels Músics del Passeig de Mar i a les 19h #BallDisfresses a la Plaça dels Països Catalans amb els #Vizuri seguit a les 21h pel DJ #PDBroot
#carnavalblanes
#música
#gresca

Carnaval, carnaval... 🎶
Us esperem Dissabte a les 19h a https://t.co/feLN1fo9RGïsos catalans.
Porta la teva millor disfressa i moltes ganes de festa.
Fem una prèvia? 🍻
#VIZURI #PDBROOT #carnaval2022 #ensorrat22

No pots esperar a la festa major?
Tenim la solució! Dissabte 26 de febrer vine a celebrar CARNAVAL amb nosaltres.
A les 19h a pl. països catalans, després de la rua de carnaval...
VIZURI (Versions)
i PD BROOT
Vine a fer una prèvia!
#VIZURI #PDBROOT #carnaval2022 #ensorrat22

#VIZURI kutamani😋 mafanikio lakini ni hatari kama spidi ya tamaa😋 zako ipo kasi sana kuliko uhalisia wa maisha yako🌴🌴
=======¤¤♡¤¤========
Follow me ☺☺☺☺
@harunamsquare 🤓🤓

1)🗣Kuondoka vizuri ni kuondoka bila kuumiza, kusamehe #vizuri ni kusamehe bila kukemea, na #uvumilivu mzuri ni kuwa mvumilivu bila kulalamika - Ibn #Taymiyyah

Hahaa,najua unajua kabisa hapa hoja siyo kutotumia Kiingereza;hoja kuu wala siyo kutumia Kiswahili,bali kuiwezesha jamii yetu ijue Kiingereza #vizuri badala ya hiki cha kubabaisha,tunataka hicho ambacho wateule wachache mmekimanya na kisha mnatumia barometa yenu kupima watu wote.
@Udadisi Mjadala wenyewe tunaufanya kwa kiingereza 😂
@AskofuTZA Una Mtoto? Anasoma shule? Ameshawahi kukuletea mtihani wake au Daftari ameandikiwa
#Vizuri #Vema #VizuriSana #Dhaifu ??
@Eric_Bernard94 Saana ,aliboresha #vizuri saana #MAFAO YA WAZEE WETU.Kustaafu hafu unapewa nusu Mshahara sio leo mtu analeta #Kikokotoo kipya.R.I.P Benjamini ww ni baba wa Taasisi🙏
Humu ndani wote tupo #vizuri,tuna Magari sio Magali,tunaishi Kino,tunatumia Uber,tuna bima za Resolution insurance,tunafanya Mabiashara makubwa K/koo, achilia Nyumba wengi tunaishi kwa apartments Tabata,tunatumia Iphone na Samsung tu...Hutosikia mtu anatumia usafiri wa 🚲😁😁
Wana humu wana tweet unaeza sema wanaishi Georgia au Boston 😂
Last Seen Hashtags on Sotwe
ばんばんざい流出
Seen from Japan
விடுதலை_சிறுத்தைகள்
Seen from Colombia
王者荣耀
Seen from Singapore
creepshot
Seen from Turkey
murrsuit
Seen from Germany
eskisehirtraveſti
Seen from Turkey
omegle (((((*********)))))***** filter:videos
Seen from Germany
konyabayan
Seen from Turkey
omegle (((***)))*** filter:videos
Seen from Turkey
udhay
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.2M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


























