3) 🕋 “Hakika amekwishakujieni #mtume kutokana na nyinyi wenyewe; yanamhuzunisha yanayokutaabisheni; anakuhangaikieni sana. Kwa waumini ni mpole na mwenye huruma.” (9:128)
3) 😡Hao #viongozi wa #dola la kiislamu lililoshindwa pembe zote za dunia wanajifanya walinzi wa #dini lakini kwa kweli “Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno #hatari hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila #uongo tu.” (18:5)
2) 😡Waumini wenzangu wa #Afrika Mashariki, hivi ndivyo viongozi waovu wa #daulat wanavyofanya. Wamechagua makamanda wao wa #Somalia ati wawe ndio wanaongoza #Watanzania#Wakenya#Waganda nk. #Somalia ina #elimu kidogo zaidi na umaskini mwingi zaidi kuliko hizo nchi nyingine 3