NASAHA
Vijana mnao jinasibisha na kufuata mafunzo ya dini , tahadharini na ku like , ku retweet post zenye mambo ya hovyo yasiokua na maana , mambo yenye kuhamasisha zinaa na haraam kufanya hivyo kwanza ni dhambi lakini pia unautangaza Uovu mcheni mola wenu
BREAKING NEWS: Eid Al Fitr is on Friday, 20 March 2026
The Crescent of month of Shawwal 1447 was NOT SIGHTED anywhere in the Kingdom today, subsequently the month of Ramadan will complete 30 days tomorrow and Eid Al Fitr will be on Friday
قال الشيخ العلامة عبد الرحمن بن ناصر السعدي في تفسير هذا الحديث
"فمن حقّق الأمرين: ترك المفطرات، وترك المنهيات، تم له أجر الصائمين. ومن لم يفعل ذلك فلا يلومن إلا نفسه"
[Hifadhi Hadithi Za Mtumeﷺ]
Anasema Al-Haytham bin 'Imrān: Nilismkia Tabii Abū 'Abdulhamiid 'Ismail bin Ubayd Allah Ad-Dimashqī [Allah Amrehem] Akisema:
"Inatakikana Kwetu Tuzihifadhi Hadithi Za Mtume [Swala Na Salaam Ziwe Juu Yake] Kama Ambavyo Tunahifadhi Qur'an, Kwa Sababu Allah Aliyetukuka Anasema;
وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ
Na Lolote Analokupeni Mtume, Bas Lichukueni
[59:7]"
[صحيح]
[الكفاية في معرفة أصول علم الرواية (١٧)]
@mangekimambi@realDonaldTrump Majority ni Christians? Why them? Si mlisema hakuna udini?
Watanzania wameona uzuri wa amani ndio maana wamechagua kuilinda, mradi wenu wa kuichafua nchi umekwama.
Kwa sasa mngetulia tu kuliko kuzua taharuki.
[Tukithirishe Maneno Haya]
Anasema Mtume [Swala Na Salaam Ziwe Juu Yake]:
أفضل الذكر: لا إله إلا الله، وأَفضل الدعاء :الْحمْد لِلَّه
Bora Ya Utajo, Ni Kutamka La Ilaa Ila Allah [Hakuna Mola Apasaye Kuabudiwa Kwa Haqi Isipokuwa Allah], Na Bora Ya Dua Ni Kusema Alhamdulillah [Sifa Zote Njema Ni Za Allah]
[حسن]
[سنن ابن ماجه (٣٨٠٠)]
Mtazame na msikilize Kadinali Rugambwa kutoka Tanzania akila kiapo kwa lugha ya Kilatini kabla ya uchaguzi wa Papa muda huu. Mkono unawekwa juu ya Injili yaani maandiko matakatifu.
Jambo la kuuliza walimu wa mtu fulani wamelifanya watu wema,siyo jambo jipya.
جاء في مُقدِّمة صحيح مسلم عن محمد بن سيرين أنّه قال : لم يكونوا يسألون عن الإسناد ، فلما وقعت الفتنة قالوا : سموا لنا رجالكم : فينظر إلى أهل السنة فيؤخذ حديثهم ، وينظر إلى أهل البدع فلا يؤخذ حديثهم
PUNDA MCHAPE KWA BAKORA YAKE ATAENDELEA NA SAFARI
Masheikh gani wasiojulikana tanzania hiii⁉️
🫴acha tadlis kijana
Ukiulizwa swali umesema wapi unaona tunakufanyia husda??
🔹️Huo ni msingi wa ahlisunna wal jamaa ...mbona maimam wakubwa wanataja sanadi zao za kusoma wamesoma wapi
🔹️na huu msingi wa kujua SANADI YA USOMAJI WA MTU ANAYELINGANIA _Si hata wewe mwalimu wa kiarabu uliitaja kwenye posti yako⁉️
_SISI KUKUULIZA UMESOMA WAPI TUNATAKA TUJUE ILI TUSIINGIE MKENGE KWENYE DINI YETU
🫴kama ulivyosema wewe mwenyewe kwenye posti yako kwamba
"Wala usichukue elimu ya sheria kutoka kwa kila mtu.Ichukue kwa tu kutoka kwa ambaye UNAAMINI katika dini yake na elimu yake"
🔹️Sasa sisi TAAMINI VÌPI ELIMU YAKO KAMA HATUJUI UMESOMA KWA NANI⁉️
🫴wewe unaona kusema kuficha umesoma kwa nani ndio UCHAMUNGU⁉️ hahaha
NB; HII TUNAKUCHAPA KWA FIMBO YAKO NDIO UTALEWA
HAYA NI MANENO YAKO NA ULIYAPOSTI..ALLAH AMEAMUA KUKUFEDHEHESHA
ALHAMDULILLAH IMETOKEA BAHATI NIMEYANASA NA SIKUA NAJUA KWAMBA UMEPOSTI KITU KAMA HIKI
﷽
RAAFIDHWAH [MASHIA]
2 - HUU NI MUENDELEZO SEHEMU YA 2 JUU YA ITIKADI ZA RAAFIDHWAH [MASHIA] NA WANAYOYAAMINI KATIKA DINI YAO KUTOKA KATIKA VITABU VYAO WAO WENYEWE.
EWE MUISLAM JICHUNGE NA UJIEPUSHE JUU YA ITIKADI HIZI MBOVU NA CHAFU UPATE SALAMA YA DINI YAKO. ALLAAH سبحانه وتعالى AWAHIFADHI NA AWABAARIK AAMIYN.
ITIKADI ZAO KUHUSU ALLAAH سبحانه وتعالى
1. Allaah Ana sifa ya ‘Badaa.
Hii inamaamisha kwamba:
a. Anasahau
b. Anakosea
c. Anapanga lakini mara nyingine mipango yake haifanikiwi
d. Hajui nani atakayemteua kama Imam anayefuata.
{Uswuul al Kaafi- Babul bad'aa - Al- Kaafi Juzuu - 1 –uk.283 chapa ya India. (a.) Ibid (b.) Ibid (c.) Ibid (d.) Ibid}
2. ‘Sisi (Mashia) hatumuabudu Allaah ambaye anawapa uongozi wahuni kama Yaziyd, Mu’awiyah na ‘Uthmaan’.
{Kashful Asraar - 107 - Khomeni.}
3. Wanasema, ‘Aliy anasema……Mimi ni wa mwanzo na wa mwisho. Mimi ni wa dhahiri na aliyefichika na ni Mrithi wa hii ardhi.’ [Rijaalul Kashhi, 138 Chapa ya India]
4. Mashia husema Maimamu wao ni uso wa Allaah. [Uswuul al Kaafi uk.83.]
5. Na macho yake katika viumbe vyake. [Ibid]
6. Na ulimi wake miongoni mwa viumbe vyake. [Ibid]
KALIMA YAO MPYA.
(Matamshi Yao Ya Shahada)
1. Laa ilaaha illaahu Muhammadur Rasulullaah – 'Aliy waliyullaah, Khomeni Hujjatullaah (Hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allah na Muhammad ni Mjumbe wake- Ali ni Walii wake na Khomeini ni Hoja yake). [Wahdat Islaami – Juni 84 uk.1- Gazeti la Serikali ya Iran la kila Mwezi]
2. Laa Illaaha Muhammadur – Rasulullah, 'Aliy waliyullah wasi Rasulullaah wa Khalifatuhu bila Faslin” ((Hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allah na Muhammad ni Rasuli wake- 'Aliy ni Walii wake na Muusiwa wa Nabiy [kuwa Khalifa baada yake] na Khalifa wake bila kipingamizi). [‘Aliy Waliyullah – Abdul Kareem Mushtaq.]
3. Ushia umejengwa juu ya misingi mitano – Swalaah, Zakaah, Swawm, Hajj, Wilayat (Utawala). [Uswuul al Kafi.]
4. Adhana ni Ash Hadu Anna 'Aliyan Waliyullah Wasii Rasulullah wa Khalifatuhu bila Faslin (Nashuhudia kwamba Ali ni Walii wa Allah na Muusiwa wa Rasuli (kuwa Khalifa baada yake) bila kipingamizi, Utawasikia huko Arafaat.
UIMAMU.
(Imani Yao Ya Uongozi Baada Ya Rasuli Swalla Allaahu 'alayhis-sallam)
1. Wanaamini Maimamu 12 baada ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
a. Wa kwanza ni 'Aliy.
b. Wa mwisho ni Imam wa 12 aitwae Mahdi (ambaye kajificha pangoni).
[Uswuul al Kaafi.]
2. Wanaamini Maimamu wao ni Ma’asuum (wamelindwa na makosa na kutenda madhambi kama vile RUswuulu('Alayhis-salaam). [Uswuul al Kafi Juzuu 1 uk.225 / Kafi – Kitaabul Hujjah.]
3. Wana uwezo wa kuifanya halali kuwa haramu na haramu kuwa halali. [Uswuul al Kafi Juzuu 1 uk.225.]
4. Wanaweza kubadilisha Sheria ya Dini. [Ibid]
5. Wamezaliwa kutoka kwenye mapaja ya mama zao. [Uswuul al Kaafi/Haqqul Yaqeen uk.126.]
6. Wana elimu ya Ghaibu. [Uswuul al Kafi Juzuu 1 uku225.]
7. Wanaamini kuwa Maimam wao wana daraja kubwa kuliko RUswuuli ('Alayhis Salaam) pamoja na Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam). [Ibid / Al Hukumatul – Islaamiyaa – 52 Khomeni. Hayaatul Qutoob Juzuu 3, uk10 /Ibid Juzuu 2. uk. 787 tanbihi]
8. Ni lazima kuamini Wilayat (Utawala wa Maimamu). [Uswuul al Kafi Juzuu 2. uk.278.]
9. Kama mtu hawakubali Maimamu basi yeye ni kafiri. [Uswuul al Kafi Juzuu 1. uk.225.]
﷽
RAAFIDHWAH [MASHIA]
3 - HUU NI MUENDELEZO SEHEMU YA 3 JUU YA ITIKADI ZA RAAFIDHWAH [MASHIA] NA WANAYOYAAMINI KATIKA DINI YAO KUTOKA KATIKA VITABU VYAO WAO WENYEWE.
3 - ITIKADI YAO JUU YA QUR-AAN.
EWE MUISLAM JICHUNGE NA UJIEPUSHE JUU YA ITIKADI HIZI MBOVU NA CHAFU UPATE SALAMA YA DINI YAKO. ALLAAH سبحانه وتعالى AWAHIFADHI NA AWABAARIK AAMIYN.
1. Wanaamini kwamba Qur-aan haijakamilika.
[Uswuul al Kafi 1:228/ Faslul Khitaab fi Tahrif Kitaabi Rabil Arbaab ya Nuri Tabarsi kilichothibitishwa na Khomeni katika ' Al- Hukumaat -ul- Islaamiyyah".]
2. Qur-aan ina aya 17,000. Ya kwetu (Waislamu) ina aya 6,236. [Uswuul al Kaafi uk. 671]
3. Abu Bakr Asw-Swiddiyq alipinga Qur-aan. [Uswuul al Kaafi uk. 671]
4. Qur-aan ya asili iko kwa Imam wa 12. [Kashful-Asraar uk. 111]
5. Qur-aan itasomwa, itfundishwa na Imam wa 12 atakaporudi. [Uswuul al Kaafi 2-632]
6. ‘Aliy aliwaonyesha Swahaba Qur-aan ya asili wakaikataa. [Uswuul al Kaafi uk. 622]
7. Aayah zinazozungumzia fadhila za ‘Aliy zilitolewa kwa makusudi katika hii Qur-aan tuliyonayo. [Maqbool - 1067 - Uswuul al Kafi Juzuu1 uk. 228]
8. Kuna Hadiyth kama 2000 za Mashia zinzozungumzia Aayah. zilizokuwepo halafu zikatolewa katika hii Qur-aan na kuondolea kwa ayah zingine. [Tafsir Ali Qummi - 308 /Uswuul al Kaafi 1:416/Tanbihi ya Tafsiri ya Maqbool 637/ Al- Ihtijaj – Tabrasiy - 1-254/ Tafsir ya Saafi - 1- 32/ Muqaddamah 6, kutoka Tafseer Saafi uk.32 Juzuu -1]
9. Murtaddiyn (walioritadi) waliondoa jina la ‘Aluy katika Qur-aan. [Uswuul al Kaafi 1:228/ Faslul Khitwaab fi Tahriyf Kitaabi Rabbil Arbaab cha Nuuri Tabrasiy]