Top Tweets for #VoteCCMOut
Malipo ya Dhuluma kwa wananchi kutoka Chama Cha Majambazi @ccm_tanzania
#VoteCcmOut #CCM_MustGo
#WakataeWagombeaWaCCM
#IkataeCCM #UsiwapigieKura
#KataaDhulma #KataaUonevu
#ChaguaTunduLissu
#ChaguaCHADEMA
#ChaguaHakiNaUhuru
MWIGULU ATEKA, ATESA NA KUJERUHI MTU
- Ni baada ya Mkutano wake kukosa watu
- Kisa ni Mwananchi kumuomba asikilize kero
- Tazama video:
Now reading: The bulldozer rumbles on - President Magufuli is likely to win an unfair vote in Tanzania | Middle East & Africa | The Economist https://t.co/NQvfFZ09XI
๐ฅMakala ya Uongozi wa Rais na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ndugu John Pombe Joseph Magufuli 2015-2020.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
#ChaguaCCM
John Magufuli amewaambia wana KARATU kuwa alijenga barabara kilometa 1.5 tu za lami kwa kuwa mwaka 2015 KARATU walichagua upinzani. Amesema alishindwa na alikuwa hana jinsi kwa kuwa Mbunge wa Jimbo hilo alikuwa wa upinzani.
"Nichagulieni Daniel muone kama sitamalizia barabara"
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali hainunui korosho, kahawa wala pamba bali inaweka mazingira ya kufanikisha biashara. Amesema serikali ya CCM itaendelea kuhakikisha wakulima wa mazao hayo wananufaika kwa kupata masoko yenye thamani ya juu.

NEC: JINA LA LISSU NI LA MWISHO KWENYE KARATASI KWASABABU ALIKUWA WA MWISHO KURUDISHA FOMU
> Ofisa Elimu kwa Umma wa NEC amesema, kigezo kilichotumika ni urejeshwaji fomu
> Amesema, hii sio sababu ya Mpiga Kura kutompigia Mgombea anayemtaka
Soma https://t.co/Bcmts0c1zq
#TZ2020


Lowassa oyeee! CCM oyeee!

Haiwezekani #Katiba iseme Mahakama ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kutoa haki katika Jamhuri, halafu Mtunge Sheria ya Uchaguzi eti Matokeo ya Urais hayapaswi kuhojiwa Mahakamani.
We uliona wapi?
#VoteCcmOut #CCM_MustGo
#ChaguaTunduLissu
#ChaguaCHADEMA
#ChaguaHakiNaUhuru

Haiwezekani katiba iseme Mahakama ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kutoa haki katika Jamhuri, halafu Mtunge Sheria ya Uchaguzi eti Matokeo ya Urais hayapaswi kuhojiwa Mahakamani.
We uliona wapi?
#VoteCcmOut #CCM_MustGo
#ChaguaTunduLissu
#ChaguaCHADEMA
#ChaguaHakiNaUhuru
Jeshi la Polisi limewataka wananchi kutumia vizuri mitandao ya kijamii kuelekea uchaguzi mkuu na kutambua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ndizo mamlaka zenye dhamana ya kutangaza matokeo. Wananchi wametakiwa kuwa watulivu wakati wote wa uchaguzi.

Waziri wa Ulinzi Dr Mwinyi anatumia Jeshi kuwatisha wazanzibari je akiwa raisi? Mkataeni mapema.
#VoteCcmOut #CCM_MustGo
Hii ndio maana halisi jinsi Watanganyika kupitia mawakala wao wa CCM wanavyo ichukulia Zanzibar. Tanganyika kuna uchaguzi pia lakini hakuna Vikosi vya JWTZ vikitembea na Vifaru mitaani.
Mmewatapeli watu korosho mnakuja kuwaambia nini tena?
KUSINI ni wakati wa kuikataa #CCM na #UtapeliWaCCM
#VoteCcmOut #CCM_MustGo
#WakataeWagombeaWaCCM
#IkataeCCM #UsiwapigieKura
#KataaDhulma #KataaUonevu
#ChaguaTunduLissu
#ChaguaCHADEMA
#ChaguaHakiNaUhuru

'Msinichagulie shikamoo'
https://t.co/H83rW4kTtp
Matajiri Tanzanite kumpatia Magufuli zawadi ya ng'ombe
https://t.co/zX27cc1DW2
Tanzaniaโs opposition faces a new obstacle in its quest to unseat President John Magufuli in Wednesdayโs election: It says the government has made it difficult to accredit thousands of opposition electoral observers who want to ensure the vote is fair. https://t.co/rEZooBz392
"CCM ina wabunge 28 wamepita bila kupingwa, waulize kuna chama kingine kina mbunge aliyepita bila kupingwa, madiwani ndio usiseme. Halafu mtu anasema yeye atashinda, na akishindwa eti ataandamana, mwacheni aandamane yeye na mke wake" Dkt. @MagufuliJP.

Last Seen Hashtags on Sotwe
เธฃเธฑเธเธเธฒเธเธเธฒเธฌเธชเธดเธเธเธธเน
Seen from Thailand
abuela #incesto
Seen from Mexico
Yaoi
Seen from Germany
teenageee
Seen from Japan
ๅฎๆ
ๆฆ
Seen from Thailand
Bigass solo
Seen from Australia
turkifsalarฤฑ
Seen from Turkey
เธเธฑเธเนเธขเนเธเธกเธ
Seen from Thailand
Otovowen
Seen from United States
เธเธฑเธเธซเธฒเธเธฑเธเนเธชเธเธ
Seen from Thailand
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers














