Top Tweets for #YAja
I just made an Android app using AI/ #vibecoding
#Yaja is a minimal journal. Fast, private and 100% local.
Looking for beta testers. DM me your Gmail
more at:
https://t.co/mX0990SKdd
#GoogleAntigravity #BuildInPublic #AndroidApp #Journaling #AIBuilt #IndieApp #MadeWithGoogle
HATI FUNGANI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA YALETA NEEMA KWA MAKANDARASI WAZAWA.
#Yaja kukabiliana na changamoto ya kifedha kwa Makandarasi wazawa nchini.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa lengo kuu la kuanzishwa Hatifungani ya Miundombinu ya Barabara za Wilaya (Samia Infrastructure Bond) ni kuwasaidia Makandarasi wazawa kukabiliana na changamoto ya kifedha wanazokutana nazo na kuwawezesha kushiriki katika Miradi mikubwa ya Miundombinu ya Barabara.
Kauli hiyo ameitoa wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hatifungani ya Miundombinu ya Barabara za Wilaya (Samia Infrastructure Bond) uzinduzi uliofanywa na Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mhe. Mchengerwa amesema kuwa wakati alipoteuliwa na Mhe. Rais kushika wadhifa wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI na kusimamia eneo la TARURA aliona baadhi ya mambo hayakuwa yakienda vizuri akitolea mfano wa baadhi ya Miradi yenye thamani ya bilioni tano hadi kumi kushuhudiwa kufanywa na wakandarasi kutoka nje ya nchi kazi ambazo zingeweza kutekelezwa na Makandarasi wazawa.
"Mimi na timu yangu tukaona tufanye utafiti ni namna gani tunaweza kuwanyanyua wakandarasi wazawa na wao washiriki moja kwa moja katika utekelezaji wa Miradi mbalimbali ambayo inaweza kuleta manufaa makubwa Kwa Taifa letu" Alibainisha Mhe. Mchengerwa
Mhe. Mchengerwa ameendelea kufafanua kwa kueleza kuwa huo ni utaratibu wa kifedha ambao utatoa fursa kwa Makandarasi wazawa kupata fedha za kutosha ambazo zitawezesha kutekeleza miradi kwa ufanisi na kulipwa kwa wakati kulingana na matakwa ya mikataba ya kazi wanazofanya Ili kuimarisha ustawi wa Makandarasi na ustawi wa uchumi wa Taifa letu Kwa njia endelevu.
"Mhe. Makamu wa Rais, Hatifungani hii inaishi falsafa ya aliyosema Mahtama Gandhi kuwa ‘Maendeleo ya kweli ya Jamii hupimwa kwa jinsi yanavyoboresha maisha ya watu"
" Leo ni siku muhimu sana katika historia ya Taifa letu kwani tukio la leo linaleta faraja kwa Watanzania wengi hasa Makandarasi." Aliongeza Mhe.Mchengerwa
" Hatifungani hii ni sehemu makini katika juhudi za kuhimarisha miundombinu yetu hasa barabara za Wilaya zinazosimamiwa na TARURA chini ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI ambazo ni nguzo muhimu za maendeleo ya Taifa letu". Amesema
Amesema Serikali imekuwa ikifanya juhudi kubwa za kutatua changamoto za miundombinu hasa kupitia Makandarasi wazawa na hatua hii ya uzinduzi ni ishara ya mafanikio ya juhudi za utekelezaji wa maelekezo ya kutatua kero mbalimbali wanazokabiliwa Makandarasi
Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi, Naibu Waziri, Wizara ya Ujenzi Mhe. Mhandisi Godfrey Kasekanya amesema kuwa wao kama Wizara ya Ujenzi yenye dhamana ya ujenzi wanatambua changamoto kubwa ya mtaji ambayo wakandarasi wazawa wanakutana nayo katika kutekeleza miradi mbalimbali ya Serikali iwe ni miradi iliyo chini ya TARURA au TANROADS na kusisitiza kuwa uzinduzi wa hatifungani hii ya ‘Samia Infrastucture Bond’ ni sehemu ya juhudi za kutatua changamoto hizi na utasaidia sana wenzetu wa TARURA katika kukamilisha miradi kwa wakati.
"Tukiwa wadau wenza katika sekta hii ya miundombinu, hatuna budi kufurahia mafanikio haya tukiamini kuwa tunahitaji TARURA na TANROADS zenye ufanisi kwa ajili ya maendeleo endelevu ya sekta ya miundombinu".Mhe. Kasekanya.

JAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJSJSJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJJAJAJAJAJAJAJAJAJJAJJAHAJAHAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJAJA #YAja
@petrogustavo FRACASO ROTUNDO
Paloma Valencia no me quiso responder por el FRACASO de la marcha de los Uribistas 🤣🤣🤣🤣🤣 y le quería preguntar porque celebraban que no le llegaran ayudas a la Guajira, de paso le iba a preguntar si ells está detrás del GOLPE DE ESTADO, pero salió HUYENDO
@Jambotv_ @mwigulunchemba1 tuna bachelor za economics and taxation unadanganya na unajua sisi wananchi ndio tunalipa madeni, tunalipa ada za watoto wenu huko feza schools, tunalipa mitaji ya biashara zenu, tunalipa luxurious lifestyle zenu ila wazazi wetu mnawalipa kwa kikokotoo #SAA #YAJA
Se hizo el trabajo! Último largo pre- CAF ¡Nos fuimos! 🥳🏃🏽♀️😃
La Felicidad de haber terminado en el último clip 🤣🤣
#RunKeRun #Correr #NosFuimos #MaratonCAF #21K #MediaMaraton #Retate #YAja #Dale #Caracas @MeEncantaCorrer @maraton_CAF
Cómo dijo la gran pensadora #Yaja “Umpupular Opion” ojalá a una persona cercana a mi nunca le toque un profesor de este tipo, es que creer que el acto educativo y formativo es castigar, le aleja de su verdadero propósito: formar. El profesor perdió la oportunidad…
Te invito a mi primera vez poniendo 0 en un trabajo por fraude con ChatGPT.
No faltes.

Siguiendo...o tratando de seguir las indicaciones del Dr 😇: No te pases de tu FC mínima! Ahí vamos, toca correr los 10K Agua ritmo tranquilo, ya vendrán otras carreras😁💪🏼🏃🏽♀️
#RunKerRun #controlateker #yaja #correr #run #YoElegiCorrer #Caracas

Lancement du #ForumDesPossibles à #Laon première réunion publique de @yjadot !
La grande famille #écologiste au rendez-vous 🌻
#presidentielles2022 #yannickjadot #yaja

Nkn blast
Swpla Planning maddkoli
Boss😍😍
@darshan_samrajya
#bossofsandalwood @darshanthoogudeepashrinivas
#odeya #roberrt #dbosssamrajya
#pòrkí #kfi #superstar #only
#kannada #kannadamovies #actor #karnataka #forest #brandambassador #mass #chakravarthy #kurukshetra #yaja…

Taking Their Stories to the Streets - #IndigenousArt Program 2019 'Shared Connections' https://t.co/IyYv9ZNJgX @MuseumofBris @CQUni #Journalism @YAJATALK #YAJA #JournalismAward

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.7M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.8M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

























