Top Tweets for #YukoWapiAzory
Katika kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani leo, pamoja na kutetea haki ya uhuru wa kutafuta, kutoa na kupokea habari kuhusiana na hali ilivyo hapa nchini kuhusu #Corona, pia tunaendelea kuuliza #WhereIsAzory? #YukoWapiAzory? #WorldPressFreedomDay

#Justice4Azory #WhereIsAzory #YukoWapiAzory
Naona inabidi tuanze kukumbushana maana sijaona jibu kuhusu “disappeared and died”
#ChangeTanzania
Wanaomtetea Prof Kabudi wanatakiwa kuelewa ili suala ni la kitaifa, Ndugu Kabudi alipokuwa anaongea alitakiwa kuheshimu hisia za Watanzania. Kabudi hakuwa na utulivu kabla ya kuzungumzia uhai Azory Gwanda, Tunapojibu masuala ya uhai wa watu tukumbuke kuna Mungu na dini zetu
Shangazi @MariaSTsehai toka umeanza kupost habar za #Mkiru alizowahi andika #Azory yaan moyo wangu unaumia sana sana😰 daaah! #YukoWapiAzory .
#JusticeForAzory
Mwanahabari wa Tanzania aliyetoweka Azory Gwanda aorodheshwa miongoni mwa visa 10 vya wanahabari duniani vinavyohitaji dharura https://t.co/9db2OcpE7m
#AzoryGwanda ni Baba, Mume na Mlezi wa Familia yake. Kupotea kwake ni pigo kwa watoto, mke na familia yake.
Ukimsikiliza mke wa #AzoryGwanda katika mahojiano haya na @WateteziTV kiukweli inaumiza sana.
@MariaSTsehai
@OlengurumwaO
#WhereIsAzory? #YukoWapiAzory? #MrudisheniAzory
Over 500 days after journalist #AzoryGwanda went missing in #Tanzania, his wife spoke to @WateteziTV about life without him and pleaded for the government to complete investigations into his case.
#WhereIsAzory? #YukoWapiAzory? #MrudisheniAzory https://t.co/6P9SxjN18U
Over 500 days after journalist #AzoryGwanda went missing in #Tanzania, his wife spoke to @WateteziTV about life without him and pleaded for the government to complete investigations into his case.
#WhereIsAzory? #YukoWapiAzory? #MrudisheniAzory https://t.co/6P9SxjN18U
O.M.G.... How can this happen watu wetu wataisha jaman
#WhereIsAzory
#MrudisheniMdude
#YukoWapiAzory
#ChangeTanzania
Hatutaacha kuuliza #WhereIsAzory #YukoWapiAzory
Kwa nini tuache - je amepatikana? Au anayetaka tunyamaze anajua alipo? Kama jibu kwa maswali haya ni hapana kwa nini wanataka tuache kuhoji? Kila mtanzania ana haki ya kuishi na kuwa salama kwa mujibu wa katiba #ChangeTanzania

Indeed. My colleagues from CPJ who were detained there last week found that out -- https://t.co/HkXwcP0zVo - The big squeeze: John Magufuli is fostering a climate of fear in Tanzania. https://t.co/A58TGZy8mr via @TheEconomist
@MariaSTsehai #WatanzaniaSiWapumbavu
Katu hatutonyamazia #Dhulma ukiniona sisemi ujue nimekufa.
#YukoWapiAzory
#YukoWapiBenSanane
#MaitiNgapiCocoBeach Kina Nani?
#AlfonsoMawazo
#AliJuma Mulimuua #Zanzibar
#FreeUamsho Miaka 6 Bila Mashtaka
#AkwilinaMumedanyanganya
#TunduLissu
#MoDewji 🙃
#UtamaduniWetu
◾Kuhoji tutaendelea #YukoWapiAzory #WhereIsAzory
◾Dr Mwakyembe na wenzako mkumbuke #KilaNafsiInaThamani #EveryLifeMatters
◾Hata mkijenga SGR mikoa yote,Mkanunua ndege haina thamani sawa na nafsi/Uhai wa Mtanzania mmoja
#KatibaMpya
#TzKwanza
#ChangeTanzania
Mwakyembe awataka watu waache kumuulizia Azory Gwanda https://t.co/d1qoxzUjsN #MtanzaniaDigital

Mwandishi #AzoryGwanda alikuwa akiandikia gazeti la @TheCitizenTZ na @MwananchiNews juu ya mauaji ya ajabu. Zaidi ya siku 500 baada ya kupotea kwake, ni wakati sasa kwa serikali kujibu swali:
#YukoWapiAzory?
#WhereIsAzory?
#MrudisheniAzory
https://t.co/sgDt5KQppw

#Tanzania: Mwandishi Azory Gwanda amepotea kwa muda gani? Ni muda mrefu kiasi kwamba serikali haina sababu za kutosha kwa kushindwa kufanya uchunguzi wa uhakika. #WhereIsAzory? #YukoWapiAzory? #MrudisheniAzory
https://t.co/23Vacz6BYK
Mwandishi wa kujitegemea #AzoryGwanda alikuwa akiandikia gazeti la @TheCitizenTZ na @MwananchiNews juu ya mauaji ya ajabu. Zaidi ya siku 500 baada ya kupotea kwake, ni wakati sasa wa kujibu swali: #YukoWapiAzory? #WhereIsAzory?
https://t.co/23Vacz6BYK
#Tanzania: Mwandishi #AzoryGwanda alionekana mara ya mwisho 2017, akiwa na watu wasiojulikana katika Land Cruiser nyeupe. Kuna sababu za kuamini kwamba watu hawa walikuwa watu wa usalama wa serikali.
Rais @MagufuliJP:
#YukoWapiAzory?
#WhereIsAzory?
https://t.co/23Vacz6BYK
Mama yake Azory Gwanda pamoja na mkewe wameiomba serikali ya @MagufuliJP kumtafuta mwandishi huyo ambaye alionekana mara ya mwisho Novemba 2017. Je! wataendelea kuishi kwa muda gani bila kujua hatima yake? #WhereIsAzory? #YukoWapiAzory?

#Tanzania: Mwandishi wa kujitegemea #AzoryGwanda alikuwa akiandikia gazeti la @TheCitizenTZ na @MwananchiNews juu ya mauaji ya ajabu. Zaidi ya siku 500 baada ya kupotea kwake, ni wakati sasa kwa serikali kujibu swali: #YukoWapiAzory?
#WhereIsAzory?
https://t.co/sgDt5L80O6

#Tanzania: Mwandishi wa kujitegemea #AzoryGwanda alikuwa akiandikia gazeti la @TheCitizenTZ na @MwananchiNews juu ya mauaji ya ajabu. Zaidi ya siku 500 baada ya kupotea kwake, ni wakati sasa wa kujibu swali: #YukoWapiAzory? #WhereIsAzory?
https://t.co/sgDt5L80O6
Last Seen Hashtags on Sotwe
momson
Seen from Guatemala
letsgo
Seen from United States
oatmanroad
Seen from Indonesia
nolimit()** filter:videos
Seen from Poland
ometv
Seen from Germany
jilat memek
Seen from Indonesia
dadandson
Seen from United States
ระยอง
Seen from Thailand
Broadcasterroyale
Seen from Indonesia
nolimit filter:videos
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers















