Top Tweets for #dazbaba
"Siwezi kuhama CHADEMA naweza kufanya lolote muhimu kwenye nchi hii kupitia chama changu na sina sababu ya kuhama" - @therealjongwe
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #DAZNundaz #Ferooz #DAZBaba #Sugu

"Mtaji wa msanii mkongwe sio nyimbo mpya ni nyimbo zake za zamani, kama mimi silaha yangu ni zile nyimbo za zamani kama Sugu, Yale hayakuwa mapenzi na moto chini" - @therealjongwe
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #DAZNundaz #Ferooz #DAZBaba #Sugu

Unaambiwa #DAZNundaz #Ferooz #DAZBaba #LaRhumba mara yao ya mwisho kufanya kazi ya pamoja ni miaka 22 iliyopita.
"Hawajafanya kazi ya pamoja kwa miaka 22" anasema Sugu @therealjongwe
Leo wanakutana Stejini kwa pamoja kupitia show ya BongoFlava Honors hapa Ware House Masaki.
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #DAZNundaz #Ferooz #DAZBaba #Sugu

#BURUDANI Jana tulifika kitaani kwa #DazBaba leo zamu ya Ferooz na ameifikisha #eNewz Maskani mwa DAZ Nundaz ambapo walikuwa wanakutana na kupanga mipango ya nyimbo zao.
#DAZNundaz watafanya show ya #BongoFlavaHonors Ijumaa hii WareHouse Masaki.
#eNewz
#HeshimaYaBongofleva: Ukiondoa TANO ππΎ ni salamu gani nyingine maarufu zaidi?
#DazBaba #HainaKuchoka #Muziki #Salamu

#BURUDANI Old is Gold na Daz Baba Mwalimu akiimba Chorus na Verse ya ngoma zake kali!
Ipi umeikumbuka kutoka kwake?
#OldIsGold #DazBaba #Muziki #BongoFlava
#BURUDANI Mwalimu Dazbaba Tanzaniano #DazaBaba Ana Hits kibao tu ameteziteneza kwenye muziki wake wake. Leo amepita kwenye #HeshimaYaBongoFleva ya #PlanetBongo.
Tuambie hapa unaukumbuka wimbo wake upi ukimuona Daz Baba?
#PlanetBongo #HeshimaYaPlanetBongo #DazBaba

Kuna haja ya kubalance hii story @P_Majani yuko hai bado na #DazBab yuko hai.
Heshima kwa @P_Majani heshima kwa #DazBaba.
Hizi ni story mbaya kwenye muziki kuwahi kutokea.
@JabirSaleh
ππͺπ₯π€ π¬ππ₯π πΏππ― π½πππ? #MadiniNaPatron
Urahibu wa Madawa ya kulevya na kidhulimiwa Mauzo ya Album ya "Elimu Dunia" na Bongo Records.
Kizuri hakidumu. Miaka ya 2000 nilianza kumfahamu msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Daz Baba aliyekuwa ndani ya kundi..
Thread π§΅π

βWatu wengi wajiuliza nini maana ya Rastaman, elewa haya ni maisha ya mtu mwenye imaniβ #DAZBABA
Member wa kundi la #DazNundaz na Hit maker wa ngoma kama wife, mrembo namba 8 na nipe tano Daz Babaamefunguka mengi ikiwemo taarifa za kutumia madawa ya kulevya na pombe kali.
Hapa anaimba baadhi ya Hits zake, Interview nzima ipo Youtube ya #EastAfricaTV
#BongoFleva #DazBaba
#BURUDANI Mwalimu #DazBaba ameiambia #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio kuwa hana mpango wa kuchora tattoo kwa sababu rasta zake alizofuga kwa miaka 10 zinamtosha.
Bora uchore Tattoo au ufuge rasta kutengeneza muonekano wako?
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFleva #DazBaba
#BURUDANI Member wa Daz Nundaz #DazBaba amefunguka idea ya wimbo wake wa 'Wife' aliyofanya na Mangwea (RIP) akisema alitoa wimbo kwa sababu watu waoane na waache kufanya ngono zembe.
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFleva #DazBaba
#BURUDANI Msanii #DazBaba anasema hawezi kuchagua ipi ni ngoma yake bora ya muda wote kati ya zote ambazo amezifanya.
Anasema ngoma zake zote kali labda mashabiki ndio wanaweza kuchagua ipi bora zaidi.
Ipi ngoma yake kali unaielewa?
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFleva #DazBaba
Msanii #DazBaba ametokea kwenye #HeshimaYaBongoFleva ndani ya #PlanetBongo
Amezungumza historia ya kundi lao la #DazNundaz na Hit zake zilizofanya vizuri kwenye game kama wife, nipe tano na mrembo namba 8.
Ngoma yake ipi unaikubali zaidi?
#PlanetBongo #DazNundaz #DazBaba

#NowPlaying #NikoBize ya #Jaffarai akiwa na #Dazbaba ipo hewani ting'ani #EastAfricaTV
Tupate kupitia king'amuzi cha DStv - Chaneli 384 | Azam - Chaneli 409 | Digitek - Chaneli 1102 | StarTimes - Chaneli 108 | Zuku - Chaneli 066
#TBT #TogetherTunawakilisha

Daz Nunda , Scout Jentaz ,Sewa Side tamaaaaa zilinifanya kuwa gaidiiii / fikra zangu ulimwenguuu nitaumuduuuu Leo unanifunza kwa molaa natubuuuu ,yeee maulana unikoeeee ~ fezuri
#ElimuDunia
#DazBaba

Ile ngoma inaitwa "Elimu Dunia" ya
#DazBaba ft @afandesele_king ile ni bonge moja la ngoma,linafundisha na kuburudisha mno.
Upi ni Wimbo wako Bora kabisa wa Muda wote wa Bongo Fleva.....!??
Last Seen Hashtags on Sotwe
snapchat
Seen from Switzerland
mothersonincest
Seen from India
malluinctrolls
Seen from Netherlands
giannamichaels
Seen from Turkey
damlasΓΆnmez
erotik filmler
Seen from Turkey
Nhiα»uTinh
Seen from United States
tΓΌrk liseli sex
Seen from Turkey
minichat
Seen from United States
caught masturbation
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers













