Top Tweets for #factsArena
Usishangae
Uliyemfuta Vumbi
Ipo Siku
Akakumwagia
Matope Sio Wote
Wanashukurani...✍
#factsArena []
Link up #juliastemuMEDIA
Usione Watu
Wanatembea Au
Kutabasamu...Watu
Wana Mizigo Mizito
MioyoniVifuani
Mwao. Shukuru
Kwa Ulichonacho
Endelea Kuomba
MUNGU..🚶♂️🚶♂️
#factsArena[]
Link up #juliastemuMEDIA
Kama pesa inakufanya ujihisi wewe ni boss kwa marafiki zako basi wewe ni mpumbavu kwa sababu kete ya maisha bado inazunguka haijasimama.bado...
BE HUMBLE..✍
#factsArena
Link up #juliastemuMEDIA

Maisha Ni
Kubadilika Sio
Kukamilika..Kila
Hatua Unayo
Chukua Ni
Ushindi..Endelea
Kupambana..✍
•
#factsArena []
Link up #juliastemuMEDIA
cheo,pesa, umaarufu
visikufanye
ukaharibu
mahusiano na
watu..watu ndio
kila kitu...✍
•
#factsArena []
Link up #juliastemuMEDIA
Kua na Ndoto
kubwa maishani
isikupe hofu
ukajiona
umechelewa pale
unapoangalia
wenzako, simamia
ndoto zako,
usibadili malengo
badili mbinu
utafika salama....🚶♂️
#factsArena []
Link up #juliastemuMEDIA

Mapungufu ya Mwili hufichwa na Akili ila kamwenmapungufu ya akili hayawezi kufichwa na mwili...
👇📍
INVEST IN YOUR MIND THAN YOUR BODY..
#factsArena []
Link up #juliastemuMEDIA
Nirahisi kuelewa tabia ya mtu akiwa baa kulikoni akiwa kanisani, rahisi mtu kudanganya kupitia mgongo wa dini, ngumu mtu kudanganya akiwa amekunywa bia, mke au mume bora waweza mpima kirahi katika mazingira ya baa kuliko kanisani kila mtu anaonekana mwema


Usishangae Unae msaidia Akaja Kuwa Kinara Kati Ya wake Wanaokupa Lawama..📍
•
•
#dreamchaser🔑
#FACTSARENA
Link up #juliastemuMEDIA
-#Ukitaka kumtii kila mtu na kumfurahisha kwa kiasi kikubwa, utaishia kujichanganya, Cha muhimu kuishi katika mapungufu yako Ndio sifa ya Binadamu, Kuwa mwema, kuwa jasiri, cheka kidogo, Cheka sana(kwa nguvu),Ogopa, Panic, Tengeneza na Haribu.
#factsArena
#juliastemuMEDIA
#Nikikumbuka changamoto za nyuma, siogopi yajayo mbele ikiwa ni Kauli ya "Yajayo yanafurahisha" . Lakini yatafurahisha tu pale Ambapo uwekezaji wa akili yako pamoja na nguvu utakuwa mkubwa kuliko uoga na kukata Tamaa.. 🚶♂️😃
#juliastemuMEDIA
#dreamchaser🔑
#FACTSARENA 📌
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers



