Top Tweets for #foby
Msanii @fobyofficial amewaomba wasimamizi wa wasanii @basata.tanzania kusaidia wasanii baadhi ambao wamejitokeza hadharani na kusema wanasumbuliwa na Depression (Msongo wa mawazo)
Kwenye post yake #Foby amewataja wasanii #Mavokali #ZeeCuty na #NuhMziwanda kama wasanii ambao kwa namna moja ama nyingine wametajwa kuwa katika hali hiyo ya msongo wa mawazo (Depression )
✍️ @mkogoty

Tarajia kukutana na ngoma mpya kutoka kwa msanii @fobyofficial akiwa na #MejaKunta mapema siku ya kesho, #Foby ameshare video hii katika ukurasa wake wa instagram akiwa studio na msanii huyo wanarekodi
Unahisi goma hili litakuwa ni #Singeli au #BongoFleva?
✍️ @mkogoty
#EastAfricaTV #HainaKuchoka #TogetherTunawakilisha #NchiIkoBusy
#BURUDANI Mwanamuziki Foby akinyoosha maelezo alivyokimbia na pesa za Usajili wa Timu ya MajiMaji, Songea na kutumia pesa hizo kupanga nyumba Dar es Salaam kuendeleza shughuli zake za kimuziki.
#FridayNightLive #FNL #Foby #YangaSC
@DullahTheking2 Kama hukusikiliza Acoustic ya Punguza ,uliikulupukia Muda, Hujui story ya Ode hadi kuombwa remix na wasanii wa nje,Ulikua huujui mziki kipindi inatoka Star ,ulikuwa bize na masomo/utafutaji Kipindi Niokoe inatoka,ulikua hutongozi wakati inatoka bwana mkubwa....au bhasi #Foby🎻🎧.
Maisha na Muziki. (e01) #ConnectWithYourStar
Kesho, Jumamosi, Saa 3:00 kamili usiku tutakuwa live on X - Space na #Foby.
Mengi atazungumza kuhusu muziki wake, bila kusahau burudani kidogo.
- Hosted @_amutiqun
- Co-host @MrBeeTanz & Me
✨Guest @fobyofficial
Tutatoa Fursa kwa wadau kuuliza Maswali
Pia ukiwa na swali lako, Drop kwenye comment or Dm, ntaliwasilisha
Are you already?


"Hawa wawili niliwapata kwa sababu ya mziki wangu, huyu wa Crotia aliji-snap nikaipost kwenye status yangu, ndiyo tukaanzia hapo" - Msanii wa Bongo Flava #Foby
Interview nzima ipo kwenye YouTube ya #EastAfricaRadio
#MamaMia #OngezaBando #Foby #BongoFlava
"Yule mzungu ambaye watu waliniona naye mara ya mwisho hakuwa wa kwanza kwangu mimi, nishazoea kutoka na wazungu, nimeshakuwa na Mjerumani, Msweden na Crotia" - Msanii wa bongo Flava #Foby
Interview nzima ipo kwenye YouTube ya #EastAfricaRadio
#ALIKIBA.
"Uchungu wakulia daily,Mapenzi yalinifanya nisile" - #Mahaba
#FOBY 👇
Nisiwe muongo sio kama silagi,nakula, ila nikikukumbuka ndo naacha - #Niokoe
Kati yao Nani kadanganya umma na yupi katuambia ukweli? 🥳
#Wetalkmusic
#Foby aongelea tuzo 🗣️ https://t.co/Ttx3y9uxFP

@Rich_Msafii amekuja na hii kwenye #OffAir ya #PlanetBongo kuhusu @fobyofficial kuwajibu watu ambao hawaamini kama msanii kutoka Marekani @NeYoCompound alimtumia ujumbe kwenye ukurasa wake wa instagram lakini hakuuona kwa muda mrefu.
#Foby #BongoFlava #Burudani #EastAfricaRadio
GOLI LA 'AZIZK KI' ANAFUNGA MESSI, RONALDINHO NA ZIDANE TU.
Msanii na shabiki wa Klabu ya Yanga @fobyofficial amesema goli alilofunga Aziz Ki dhidi ya Simba wanafunga mastaa kama Messi, Ronaldinho na Zidane tu.
#EastAfricaRadio #Foby #WorldCupKitaa @abissay_stephen
#BURUDANI NAKUJA KUWAFUNDISHA MZIKI
Msanii wa BongoFleva @fobyofficial amesema anakuja kuwafundisha mziki wasanii ambao wanafuata Trending za mziki wa Amapiano kutokea nchini South Africa.
#EastAfricaRadio #Foby #WorldCupKitaa @abissay_stephen
#BURUDANI MIKATABA HAIPO SAWA KWA WASANII.
Msanii @fobyofficial amefunguka issue za mikataba kwa wasanii na kusimamiwa kwenye Management kwa kusema haipo sawa.
Maelezo zaidi kuhusu aliyoyasema Foby interview kamili tayari ipo Youtube ya #EastAfricaRadio
#EastAfricaTV #Foby
"Nilikua na ndoto huko nyuma, Linah ni staa mkubwa kabla yangu tangu nipo kijijini kwentu. Nilikuwa naota ndoto hata ya kupiga naye picha tu, nimetimiza ndoto yangu" - - @fobyofficial
#PlanetBongo #EastAfricaRadio #Foby
Kuna wasanii Kama #Ibranation , #Foby wanaimba Sana Sanaa mziki mzuri lakini watanzania ni Kama vile hatuwaoni,tunaishia kuwasikiliza wasanii ambao hata wenyewe hawaelewi wanachokiimba.
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.2M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.3M followers









