Top Tweets for #kfdata
And thanks for the #KFData shout-out @ettieeyreπ
https://t.co/ageC28Ygga
Great to be collaborating with you on this and @pachyderminc - looking forward to bring data driven pipelines to @kubeflow π
#KFDATA: Kasi ya zoezi la uhakiki na ununuzi wa korosho kitakwimu:
Ongezeko la kasi kwa asilimia kutoka Nov 30-Dec 1:
*Wakulima waliolipwa: 30,918-34,938(12.94%)
*Fedha zilizolipwa:31.69-35.54b(12.14%)
*Korosho zilizokusanywa: Tani 152.054-153.498(22.74%)
Data: @TADBKilimo

#KFDATA: Kasi ya zoezi la ununuzi wa korosho kitakwimu:
Ongezeko la kasi kwa asilimia kutoka Nov 23-24:
*Uhakiki wa Amcos:116-119(2.5%)
*Wakulima waliolipwa: 8,501-10,365(24.5%)
*Fedha zilizolipwa:8.09-10.365b(28.12%)
*Korosho zilizokusanywa: Tani 137,376-138,398.8(0.74%)

#KFDATA: FAHAMU TAKWIMU ZA ZAO LA KOROSHO, UZALISHAJI, BIASHARA, BEI NA MAHITAJI KATIKA SOKO LA AFRIKA NA DUNIA.
Soma hapa: https://t.co/Byoppb89iG

#KFDATA: Nchi ya Chad ndio inayoongoza barani afrika ambapo sekta ya kilimo inachangia pato kubwa la nchi hiyo kwa wastani wa 52.7%. Zaidi ya 85% ya wananchi wa Chad wanategemea kilimo,ufugaji na uvuvi kama shughuli kuu za kiuchumi nchini humo.
Chanzo: AfDB, 2018 REPORT,

#KFDATA: Ripoti ya Feed Africa Strategy(2016) inaonyesha bara la afrika linatumia zaidi ya $35b kuagiza chakula nje. Ripoti hiyo imependekeza kiasi cha $315-400b kinahitajika kuendeleza miradi ya uzalishaji wa mazao na uimarishaji wa minyororo 18 ya thamani ili kuzuia uagizwaji.

#KFDATA: Ripoti kutoka FSDT ya mwaka 2017 inaonyesha kilimo na uvuvi bado ni sekta tegezi inazoongoza nchini tanzania kuwaingizia watanzania zaidi ya 41% kipato.

#KFDATA: Ripoti ya hali ya sekta ya fedha ya mwaka 2017 inaonyesha mpaka sasa Saccos(35%) na watoa huduma ya fedha kwa simu(23%) ndio wanaongoza kuwafikia wakulima wengi kwenye huduma katika sekta ya fedha nchini Tanzania. Mabenki yana 12% tuu ya bidhaa zilizowafikia wakulima

#KFDATA: WFP katika ripoti yao ya mwaka 2018 wametuletea ramani ya dunia inayoonyesha maeneo yenye watu wengi zaidi wanaokabiliwa na tatizo la njaa duniani. Zaidi ya watu 821 Milioni(sawa na 11% ya watu duniani) wanakabiliwa na tatizo la njaa duniani mpaka mwaka huu 2018.

#KFDATA: Takwimu za Sekta ya Uvuvi Tanzaniaπ
*Mahitaji ya Samaki= Tani 731k/mwk
*Samaki wanaovuliwa = Tani 387k/mwk
*Idadi ya watu wanaojishughulisha na sekta ya uvuvi kiuchumi = 4mill
*Mchango kwenye Pato la Taifa = 2.2%
Chanzo: NBS & Wizara ya Mifugo na Uvuvi(TZ)

#KFDATA: Ramani ya dunia ikionyesha kiwango cha ajira kinachotengenezwa na sekta ya kilimo katika nchi mbalimbali duniani katika asilimia(%).
Sekta ya kilimo barani afrika bado iko juu katika kuzalisha ajira nyingi kwa watu duniani.

.@BJHC_news report on @katewarriner/@DrChrisGrant's talk from the #kfdata event in Leeds earlier this week https://t.co/5LSxkw6pLz
Trust proposes three areas for #GDE blueprint via @BJHC_news https://t.co/wRn5kaRG97 @RoyalLpoolHosps @katewarriner @TheKingsFund @DrChrisGrant @sibowers @NHSCIO @InsideHealthCIO #digitalLiverpool #KFdata
Such a privilege to represent our city and #ILINKS #HLP #digitalliverpool at #kfdata today, look forward to further work with @HarryAEvans and @TheKingsFund in 2018 π @DrChrisGrant @sibowers @InsideHealthCIO @AidanKehoe1
And thatβs a wrap for #kfdata. Some people in my sessions expressed an interest in the Liverpool iLINKS information sharing framework. You can find a version here @katewarriner https://t.co/ivQahnsbXH
#kfdata @Andy_Kinnear talks about @INTEROPenAPI s biggest achievement -> spirit of belief. Organisations can work together to create a common approach. #pinksocks ππ


@Phil_Koczan #ccio Energetic and insightful presentation on @ProfRecordSB current status and plans #kfdata
Following the disaster of NHS Information systems it now appears that each city is setting up its own patient record system #KFdata big problems for junior doctors and patients who move around
Last Seen Hashtags on Sotwe
nurmahmt
Seen from Indonesia
nsfw
Seen from United Kingdom
degirmenalti
Seen from Turkey
batΔ±kenttravesti
Seen from Turkey
michalisleventogiannis
Seen from Greece
cruising
Seen from Netherlands
mom son scene
Seen from Turkey
sexmaroc
ΰΈΰΈ±ΰΈΰΉΰΈ’ΰΉΰΈΰΈͺΰΈ²ΰΈ‘ΰΈ’ΰΉΰΈ²ΰΈ
Seen from Thailand
ε¦Ήε°Ύζ΅©δΈζ
Seen from Japan
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.3M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.4M followers










