Top Tweets for #malembofarm
Heri ya Siku ya Vijana Duniani.
@MalemboFarm Moja ya maeneo ambayo “interests” nayo basi ni Vijana
Ujana ni moja ya hatua ngumu sana kuzipita salama
Ndoto nyingi zinazikwa kwenye umri huu
Wataalamu wengi wa leo na kesho wanakwama kwenye umri wa ujana
#MalemboFarm tunalisaidia kundi la vijana kwenye kilimo kwa kuwapatia maarifa na taarifa za kilimo,mifugo na uvuvi. #KilimoNiAjira

#FarmingTips
Did you know?
Soil is made up of 45% minerals, 25% water, 5% organic matter and 25% air. #Soil #OrganicMatter #Agribusiness #Farming #MalemboFarm

If we fix agriculture we can surely fix Tanzania's employment gap.
The beauty of farming is in farming.
Let's discover the beauty of it.
#KilimoNiAjira
#MalemboFarm
#AgribusinessTanzania
@MalemboGlobal
@MalemboFarm
@AcademyFarms

Umewahi kufahamu kilimo kisichofata misingi na kanuni ni chanzo cha uharibifu wa mazingira(tabia ya Nchi) #Mazingira #Kilimo #MalemboFarm

@MalemboFarm Tanzania ilipofikisha umri wa miaka mitano nilimwambia Mungu kwenye miaka mitano ya #MalemboFarm naomba mgeni rasmi awe katibu mkuu wa wizara ya kilimo na Ilikuwa hivyo siku moja ntaeleza kwa urefu zaidi, ukimwamini Mungu ukasema kwa kutenda Mungu ujibu maombi.
Licha ya kuwa ofisi yetu ilikuwa Mwananyamala- Kinondoni nilisema maadhimisho ntafanyia hapa hapa ili ajionee ni kwa jinsi gani unaweza kufanya kilimo ukiwa Mjini,niliomba kibali kwa mamlaka cha kufunga mtaaa, zoezi lilienda vizuri na kwa mafanikio makubwa.
Funzo;
Mikono yetu inabarikiwa mara tukubalipo kujikabidhi kwake aliye muweza wa yote. Kumkumbuka siyo hisani kwake ni nidhamu ya kwetu kwenye ukuu wake unachokiona nimefanikiwa kwa macho yako ni kwasababu ya kumtegemea Mungu. #KilimoNiAjira

Yesu alimwambia rafiki yake Lazaro “Amka”
Wito huu wa kuamka si kwa ajili ya wafu tu bali kwetu sisi wote tulioamua kulala kwenye mambo ya maana.
KIJANA AMKA KUMEKUCHA. @AcademyFarms

Thrilled to have met with Mr. Honest Mserri @honeemseri , CEO of @ANSAFForum , at the Dar es Salaam Yacht Club. 🤝 Fruitful discussions on Agriculture, sustainability, and community development pave the way for exciting collaborations ahead! 💼🌱 #ANSAFTanzania #MalemboFarm #Partnerships

@MalemboLE @MalemboFarm @MalemboGlobal @AcademyFarms One day nitatamani tuwe na genge la mboga mboga kutoka #MalemboFarm na pembeni ni #MalemboFood, ambapo kutakuwa na chakula cha asili tuu kama pichani!.
Good morning, from @MalemboGlobal 🐓🐓🐓🐓🐓🍗! 🌄
Redefines the taste of Africa with their authentic urban farming of indigenous chickens.
🍗🌿 #FlavorfulMornings #MalemboFarm"@MalemboFarm

Good morning from @MalemboGlobal🍃🥗
We're bringing you the true taste of urban farming. Our organic veggies are ready to be savored.
So if you're in Dar es Salaam, swing by and try our delicious cassava leaves! 🍃 #MalemboFarm #UrbanFarming #OrganicVeggies" @MalemboFarm

@kipepe123 @MalemboLE @BarakaMaviatu @Balyx_ Za ndani ndani kabisa naskia hata #malembofarm ni branch ya kipepe cafe unaambiwa jamaa anazalisha mazao ya cafe yake yaani ni fresh kabisa 😂
Good morning, Twitter fam!
@MalemboGlobal is dedicated to driving change in Agribusiness. With our HQs in 🇹🇿 & 🇰🇪, we're redefining the future of farming in East Africa.
Join us on this journey! 🌱🌍 #MalemboFarm #AgribusinessInnovation"
@MalemboFarm @AcademyFarms

Kula ugali na Malembo
#malembofarm

Kula ugali na malembo
#malembofarm

@EliasMnyavanu Tafuta;
✅Maarifa ya kile unachokifanya(zao)
✅Taarifa sahihi(masoko) N.k
✅ Jifunze namna bora ya kusimamia mradi.
Dokezo;
Waone @MalemboFarm wanayo madarasa ya kilimo biashara watakusaidia zaidi.
#KilimoTips
Ujasiriamali si lelemama wengi wanatembea na mawazo tu kichwani bila utekelezaji.
Yakobo 2:26
[26]Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa. #Hustler
#Nanenane2023
#MalemboFarm

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat filter:native_video()
Seen from Netherlands
small fuck
Seen from Belgium
encuentroanuiestic
Seen from United States
CardiovascularFitness
Seen from Mexico
ชายแท้โคราช
Seen from Thailand
飛び込むぐらいなら私にそっと話して
Seen from United States
試飲会イベント
Seen from United States
jewelzblu
Seen from Chile
anxiouspanda
Seen from United Kingdom
momsonn
Seen from United Kingdom
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers













