Top Tweets for #mkataba
ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA MKATABA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #sheriayamkataba #mkataba

ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu
SHERIA YA MKATABA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #maswalinamajibu #sheriayamkataba #mkataba #contract

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 11 (1) cha kutoka Sheria ya Mikataba, kinachosema mtu chini ya umri wa miaka 18 hawezi kuingia mkataba.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #mkataba #mtoto

IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo inafafanua endapo mkataba umekiukwa, fidia italipwa kwa upande unaopata madhara.
#skijuekatiba #katiba #tanzania #sheriakiganjani #sheriakiganjaniapp #legalgurus #legaltech #justlers #katiba #haki #sheria #nchi #mkataba

ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA MKATABA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #sheriayamkataba #mkataba

Je unafahamu kuhusu Kamati ya Majadiliano ya kiserikali duniani #INC? Tunapokaribia mwisho wa mazungumzo ya #Mkataba wa #plastiki, kukubaliana na mkataba kwa ajili ya kufikia mwisho wa mwaka 2024 haitoshi. #BreakFreeFromPlastic #plasticpollution #PlastikiYakoMazingiraYetu

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 64 cha kutoka Sheria ya Ardhi kinachosisitiza mkataba wa ardhi kuwa wa maandishi na usajiliwe.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #sheriayaardhi #ardhi #landact #mkataba #usajiliwe

FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Kifungu cha 79 (1) kutoka SHERIA YA MTOTO kinachokataza mtoto kuhusishwa na mkataba ya kufanya kazi usiku.
#sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #sheriayamtoto #mkataba #kazi

YANGA SC NA HERO DAMDAM: Neno kutoka kwa Meneja Masoko wa Karimjee Mobility, Nadah Dhiyeb baada ya kuingia mkataba na Yanga SC.
(Imeandikwa na @allymuftiTZ )
#YangaSCHero #YangaSC #Hero #Mkataba #AzamSports
YANGA SC ๐ค HERO: Hivi ndivyo Klabu ya Yanga SC ilivyosaini mkataba wa miezi 18 na Karimjee Mobility kupitia kampuni ya Hero wenye thamani ya shilingi 300 leo Februari 22, 2024 Jijini Dar es Salaam.
(Imeandikwa na Anoth Paul )
#YangaSCHero #YangaSC #Hero #Mkataba #AzamSports
โ๏ธ Mnazi mmoja wa #Mkataba anajiaminisha kuwa wao wanamiliki #Madubwasha by cash kwa kubandika Stika ya jina la #Mkurugenzi kama zile stika wamebandika za online booking ama zile za Sauli wakati ule ambazo zilibanduliwa kwa dakika 1 na nusu.๐๐
โ๏ธ Hilo #Dubwasha likirudi Vingunguti pale leo usiku kesho asubuhi hatoamini kama ndilo lilikuwa na mastika na majina makubwa ya #Mkurugenzi.

@MariaSTsehai Nafikiri hawa wabunge wote majina yao hayatarud kugombea tena upya 2025 kwakile wanaweka majina mapya wakija na kusema wataenda ongelea upya #mkataba huo wakichaguliwa ety nao wakidai wazaman wale magufuli hawakueza
@AusiSan @lifeofmshaba Hakuna udini #Mkataba nimbovu mbovu. Km uwekezaji ni kipande cha Bandari ya Dsm kwaniji maziwa yahusishweee...?
Km bandarini kuna wezi kwanini hamuwataji, hamchukui hatua
@Ndolezi_Petro @nelsonchamisa Tuwaache wananchi wa ZIMBABWE wachague wanaemtaka.Sisi tuendelee kupinga #mkataba #mbovu wa DP WORLD na kudai #KATIBAmpya na #TumeHuru ya #UCHAGUZI.
ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA MKATABA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjaniapp #sheriakiganjani #ulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #mkataba #sheriayamkataba

Kuna wakati mkataba unaweza kuvunjwa kutokana na mgongano wa maslahi. Hii ni hali ambapo mtu anayehusika na mkataba ana maslahi binafsi ambayo yanaweza kuharibu uaminifu na usawa. Katika thread hii, tutajadili njia za kutatua tatizo hili. #Mkataba #MgonganoWaMaslahi

@PMadeleka yupo gerezani kwaajili ya ukweli wake hakika serikali imekosa maarifa kabisa @SuluhuSamia umebariki huu uovu mkataba umesaini mwenyewe ila watu wakikosoa mabaya ya mkataba huo wanatishiwa kiukweli #mkataba niwa hovyo

Last Seen Hashtags on Sotwe
nojudgies
Seen from United States
pendikgay
Seen from Turkey
NationalRootBeerFloatDay
Seen from United States
adanacd
Seen from Turkey
anxiouspanda(**) filter:videos
Seen from Israel
latex
Seen from Italy
เธเธเธเธ_เธเธคเธฉเธเธฃ
Seen from Japan
cowgirl
Seen from Spain
realnsfw
Seen from Colombia
ูุงุฑู_naroiq
Seen from Israel
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers











