Top Tweets for #mtaala
#TujifunzeKiswahili
#KiswahiliKitukuzwe
Samahani @CloudsMediaLive .
Neno #Mtalaa ndilo sahihi bali sio #Mtaala .
Natumaini tumeelewana hapo.
@bwaya naenda chachi,akijibu utanitagi:@EduTalkTz kwa hiyo unataka baadhi ya wanafunzi—mf.ambao maishani hawatakuwa wahandisi,wasanifu majengo,maprograma wa GIS,Google Map,wana-NASA n.k—wawe na #mtaala wao wa pekee usio na bikari na #mkebe wake maana haitakuwa na umuhimu kimishe?
Kwa mfano,unapofundisha ‘a e i o u’ huwa unafahamu “implications” muda huo au unakuja kujua baadaye?
Pili,tulisema juma lililopita shule zote hazifundishi(au kutofundisha)vile-vile #mtaala ule-ule ‘standardized’ kutokana na tofauti mbali-mbali.
Hivyo ndivyo ilivyo kote duniani.

Ndiyo ulikuwa #mtiririko wa hivyo vitabu vya Jiografia kwenye #mtaala kwa hiyo kama ‘hakufundishwa’ kuhusu Mafinga ndiyo yale niliyoyasema—ama alikuwa mtoro kama mimi nilipokuwa darasa la nne,au hakuwa na Mwalimu wakati wa darasa la somo hilo,au shule haikuwa na kitabu hicho n.k.
@Udadisi @Ufafanuzi Ndio maana nikasema ningekuwa mtafiti wa hili jambo, ningemuuliza William alimaanisha nini aliposema “hata kidogo” ili nisiimpose tafsiri yangu.
Lakini pia, Steven alijuaje kama William au wengine walifundishwa kuhusu Mafinga?
Ndiyo ulikuwa #mtiririko wa hivyo vitabu vya Jiografia kwenye #mtaala kwa hiyo kama ‘hakufundishwa’ kuhusu Mafinga ndiyo yale niliyoyasema—ama alikuwa mtoro kama mimi nilipokuwa darasa la nne,au hakuwa na Mwalimu wakati wa darasa la somo hilo,au shule haikuwa na kitabu hicho n.k. https://t.co/BauxnOnyNH
Naona umeamua kuingia kwenye #relativism na #postmodernism,lakini kuna vitu vinapimika na vinathibitika kwa 'triangulation' na 'methodolojia' mbalimbali,kama tutasema kila kitu ni sahihi hata kama 'facts don't add up' basi kila mtu awe na #shule na #mtaala wake tu,kila la heri👋🏿.
@Udadisi Unachokishuhudia hapa ni sahihi kutokana na vile unavyoona. Yule anashuhudia pia kwamba haoni maana ya alichokisoma naye yupo sahihi kutokana na kile anachokiona katika matumizi ya kile alichojifunza. Mm naona shida inakuja pale ambapo tunatamani wote waone matokeo Sawa.
@bwaya @JosephClowry @Udadisi @ystanzania Hoja yangu ya awali nilisema “labda” tatizo linaweza kuwa muundo wa mtaala kushindwa kufikia lengo lililokusudiwa. Linaweza pia kuwa walimu (kama alivyosema @Udadisi ) au mazingira au mtoto mwenyewe au changamoto nyingine nyingi. Tunauzungumzia mfumo hapa; mtaala ni moja tu!
Rejea jibu la @slwendo hapo👇🏿.
Hii mijadala ya wahenga kuhusu tuliyofundishwa ZAMANI ni hasa kuhusu hali zetu SASA.
Mtu unaona umeshindwa kuwa mjasiriamali tajiri LEO,kwa mfano,kwa kuwa eti JANA ulielezwa habari za Kilimo cha Buni Brazil🤦🏿♂️.
Ila #Mtaala ni Buffet-in-Retrospect.

@Udadisi Lengo la muundo wa mtaala fungani ni lipi haswa? Tukumbuke pia wanaolalamika ni hao hao waliofundishwa na huo mtaala fungani kwa hiyo kama hawaoni relevance yake, basi pengine hawakukipata kilichokusidiwa.
Labda tugeuze swali—kwenye ‘muundo mzuri wa mtaala’ kila mwanafunzi anaona alichofundishwa kina maana?
Tuliwahi kulalamika kuhusu kozi kwenye chuo kimoja cha kishua sana hadi tukaandika ‘#mtaala’ wetu.
Maprofesa wakagoma,wakatueleza kwa nini wao una maana.
Leo naona maana yao.
@Udadisi Partly inawezekana nilichofundishwa au muundo mzima wa ufundishaji ulishindwa kufikia lengo. Je, hapa nikilalamika kwamba nilichofundishwa hakikuwa relevant nitakuwa na makosa?
@EduTalkTz @Udadisi Kaka kuna katabia kamepata umaarufu cha kushambulia tu mtalaa na kuuona kama tatizo kitu ambacho mimi na wewe tunafahamu hakiko kama kinavyosemwa. Tatizo kubwa ni aina ya walimu wanaopewa kazi ya kuutekeleza. Natamani watalaam wa mitaala kama @albertkissima waliseme vizuri hili.
[#UECL] Le #MaccabiTelAviv 🇮🇱 dispose d’#Alashkert 🇦🇲 4-1 !
⚽️ #Perica 13’
⚽️ #Kanichowsky 32’
⚽️ #Biton (pen) 45’+3
⚽️ #Hozez 72’
⚽️ #Embalo 17’
#MTAALA
![SystemFoot's tweet photo. [#UECL] Le #MaccabiTelAviv 🇮🇱 dispose d’#Alashkert 🇦🇲 4-1 !
⚽️ #Perica 13’
⚽️ #Kanichowsky 32’
⚽️ #Biton (pen) 45’+3
⚽️ #Hozez 72’
⚽️ #Embalo 17’
#MTAALA https://t.co/TGuIj23qje](https://pbs.twimg.com/media/E_RbA64XEA0OtC9.jpg)
Stipe Perica 🇭🇷 will go into history books as the first goalscorer in the Europa Conference League proper. #MTAALA
Stipe Perica 🇭🇷 will go into history books as the first goalscorer in the Europa Conference League proper. #MTAALA
Waar was u op 14 september 2021, de historische dag dat de Conference League-wedstrijd tussen Maccabi Tel Aviv en Alashkert Yerevan volledig live en integraal werd uitgezonden op de Nederlandse televisie? #mtaala

@danielmarr_ @KennedyMmari @tonyalfredk @ThabitSenior @Talentino42
Can our local #mtaala do such a thing?! If the answer is #no, why?! The gov’t doesn’t have to legalise it yet, but as a means to stay ahead of the curve.
@MabalaMakengeza @Udadisi
Students at Lake Superior State University have had the unique opportunity to pursue a degree in cannabis chemistry since 2019.
Now, the university in Sault Ste. Marie, Michigan, is offering its first cannabis chemistry scholarship. https://t.co/OizG5cyKRF
Changamoto iliopo ni #Mtaala ufundishwao katika sector ya #Elimu, ilikuweza kutatua changamoto ya sekta ya elimu tuanzie kwenye mizizi bali sio tatizo dogodogo #MwananchiForum #ElimuNaAjira @MwananchiNews @TheCitizenTZ @unescodar
@halimamdee nahis me presha yangu itashuka maana me ni mwalim dadangu,#mtaala sijawai kuuona hata siku 1
Last Seen Hashtags on Sotwe
anxiouspanda
Seen from Canada
minichat
Seen from Turkey
japs8005
Seen from Germany
techupdates
Seen from United States
sofia ansari
Seen from United States
minichat():video
Seen from Germany
connectwithcarrie
Seen from United States
AnalPlugKeyholder
Seen from Thailand
nolimit #nolimit #nolimit #nolimit #nolimit #nolimit
Seen from Israel
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers















